nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,827
- 5,384
Habari za jioni wakulungwa.
Naleta habari hii usiku huu, nikiwa nimefuatilia ahadi za huyu mzee wetu kipindi hiki timu inatafuta namna ya kufuzu nusu fainal na kuitafuta fainali,
kwa jicho la tatu ahadi zake hizi zinavuruga timu sana, mchezaji badala ya kufocus timu ishinde qnafocus afunge yeye binafsi ili apate fedha alizoahidi huyu mzee. pls mzee huu upuuzi acha mara moja kuelekea mechi ya mkondo wa pili huko bondeni,
can you imagine ahoua lile goli dakika ya mwisho hakuwa na sababu ya kutaka kufunga yeye angemsogezea ateba akamaliza shughuli hapa Dar.
sasa tunahitaji tukapambane hasa bondeni kwa sababu za uchoyo wa baadhi ya wachezaji wanaotaka mafanikio binafsi.
mzee tunakuheshimu acha kutuvurugia timu bhana, toa ahadi kwa timu nzima.
nimemaliza
asalaim aleikum wa tawfiq