Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,556
Wazazi wamejiondoa kwenye malezi na kuziachia shule
Unafikr mkuu unatak mtoto awe dokta afu Hana msingi wa sayansii..... Msingi hauend bila kumjenga kichwa kwanza... Then tuition na jtahda binafsii Tena tuition sio lzm aende mchkchn mtafutie table teaching mbn ataelewa tuu....Upo sahihi Sana Mimi kipindi nasoma nilikuwa namuona Mama mmoja anajinyima anawapeleka tuition watoto na mwisho leo hii ni wahandisi baada ya kuipasua PCM bila Huruma.
Yes ni kukwepa majumu Doubl mtoto hataki kujifunza vitu vipya mzazi hataki kukaa na mtoto wake, mtoto anaenda Preform one na ile Company yake alio toka nayo Darasa la saba wane da kujazana ujingaUSITUKANE
IKO HIVI
PRE FORM ONE
Ni sehemu ya walimu kujipatia kipato, ualimu hauna mishe za kipata kipato
PRE FORM ONE
NI sehemu ya mzazi kukwepa majukumu yake ,wazazi wapo bize na kazi, hawana muda wa kukaa nyumbani na watoto waohivyo bora wawe huko pre form one tena wakae hata boarding ili mzazi awe free na mambo yake,.
PRE FORM ONE
Ni sehemu ya mwanafunzi kukwepa majukum ya nyumbani, kufanya kazi za nyumbani muhimu, bora tu niende kusoma kazi za ndani nitamuachia house girl
MTOTO AKIWA PRE FORM ONE
Ni amani kwa mzazi maana watoto wakiwa nyumbani kutwa ni movie na miziki, wamekuwa kero, bora tu wakakae shule huko
MATOKEO YAKE SASA
Wazazi hawajui tabia halisi za watoto wao, ndio maana maadili yanaporomoka kila kukicha,
Tuition zipi? Mtoto anapaswa kumpumzika kama ana akili anazo tu, umasikini ndio shida, wala shida sio swala la aina ya shule.Nimependa wazo lako la kutaka awe daktar au mhandisi..... Unafikr km mzaz usipo muekea jitihada km vitabu/materials tuition za kutosha na kusoma kwa bidii ko mim vitu vngn sion km vya kupinga Ila ni kukaa na kuangalia lipi Bora zaid
Yes ila still bado mzazi ndio tatizo wazazi hasakai na watoto wao kabidmsa kabisa, watoto hawana muda na watoto hata siku za Weekend unategemea nini?Uswahilini sio mahali salama kabisa
Eti kupumzika ? Yaani ubongo ukiupumzisha unaacha kuwa activeUnafikr mkuu unatak mtoto awe dokta afu Hana msingi wa sayansii..... Msingi hauend bila kumjenga kichwa kwanza... Then tuition na jtahda binafsii Tena tuition sio lzm aende mchkchn mtafutie table teaching mbn ataelewa tuu....
Hii ni kweli tupu, mtoto mtoto kama ana akiki anazo tu, kama hana hana,Hii nakukatalia. Maarifa kuyapata hakuna Cha kuwahi bana. Kuna watu wanaenda shule mwezi wa nne na baadaye wanakuja kuelewa na hata kuwaongoza wenzao.
Yaani mtu anafundishws topic Ila ndiye anayekuja kuwasovia maswali. Kusoma mno hakuongezi uwezo wa kichwani. Kama mtu anaelewa anaelewa tu.
Mie nimeshuhudia mtu anajifunza kirsi mwaka mmoja anaingia chuo anasoma kwa kirusi anawaongoza warusi.
Kuna watu wanasoma additional maths Ila Advance maths wanaambulia c na wanapata A amabao hawajasoma additional maths olevo.
Wewe una kituo sema tu tukuelewe.
Haiwezekani mtt asome muda wote hata asipumzike. Pia kusoma Hakuna mwisho Ni sawa na kula tu. Mana hata mtu akiwa kazini anasoma mtandaoni kujiongezea ama kukazia maarifa take. Na elimu yetu Ni ya kukariri ili mtt ajibu pepa.
Napenda elimu aliyoainzisha Elon musk na anasema kuwa unaweza ukajifunza chochote mtandaoni bure na ukajua vitu vingi mno.
Elimu Ina ushindani gani yaani mie kujibidisha niielewe vizuri namna ya kupambana na magonjwa yanayoambatana na sikio nakuwa nashindana na Nani.
So unamhakikishiaje kuwa atakuwa competitive na Ajira atapata na asipopata ama kuajirika ama kujiajiri kwa maarifa yako uliyompatia competitive utarudisha gharama na mtt utamfidia muda wake uliokaa naye
Wanaenda wale wa Choka Mbaya ndio nasema tutafute pesa, usha ona watoto wa kishua wanahangaika na hizo JKT?Mbn wakitoka fom sx kwenda JKT msiseme wapumzike? Eeh watu wafanye vitu vinavyowapa amanii
Jinsi unavyoamka kwenda kazini bila kupumzika ndo hivyo na Maisha ya mtoto anabidi kukaa active na kusoma , zile siku mbili Jumamos na Jumapili zinamtosha yeye kupumzika vizuri Sasa sijui hoja yako ina maana ganiYes ila still bado mzazi ndio tatizo wazazi hasakai na watoto wao kabidmsa kabisa, watoto hawana muda na watoto hata siku za Weekend unategemea nini?
Alafu mwanangu primary hajasoma boarding nipo nae nyumbn mzee.... Sasa nikwepe majukumu kivip? Nikiwa nao jion tunafanya homework n.k Ila pre-fom one lzm aende akaonane na watoto wenzie na ninajua akrud Nina cross check daftar na kumwelekza pia...Kukwepa majukumu. Hakuna kitu hapo kwanza nyie hamjajua triend ya Dunia inavyo enda now,Hao watoto watawalaumu sana one Day, sasa jidanganye kwamba kumshindikua tuition na Preform one ndio anakuja kuwa kichwa
Mtoto kuanzia chekechra ni tuition hadi ana maliza chuoUpo sahihi kabisa mkuu. Yaani mtoto ananyimwa haki za msingi kwa kisingizio cha elimu.
Kabisa kama mtoto ana akili anazo tu kama hana hana, mtoto hana akili hanaSijawahi kwenda tuition yoyote wala upuuzi unaoitwa pre form one tangu naanza chekechea hadi namaliza masomo yangu.
Lakini hakuna mwanafunzi aliyekuwa akinipita darasani na hizo tuition zao uchwara.
Kama hujui ni hujui tu hakuna kinachoongezeka kwenye tuition mzee.
Mtoto anapaswa kupumzika kipindi cha likizo sio kumfanyisha kazi 24/7 kwa mwaka mzima.
Sema umasikini mkuu unatusumbua ungekuwa na pesa usingehangaika na huu ujinga,kaa na wakwako nyumbani wacha wa kwetu wakasome
Ko unatak sekondar wafundshe sheria? Au Mass com mbn mnajikuta wajuaji tz bdo ni less developing hatujafka ukoEti wanawafundisha hadi History, Geograph, kiswahili. Ni ujinga mtupu hao wanao wafundisha wenyewe ni full vilaza
Endeleeni kukwepa majukumu ila kuna day utajilaumu sanaFor mine it's better a student to go for studying rather to stay home coz we will not understand to each other
Kuna mmja alisema wengn pre fom one hawajui kudifaini nami nkamwambia wapo mpk fom foo hawajui ata hio why migrant sio pre fom mkuuMigrant labour ya nini? Huu ujinga ndio wanaenda kusoma Preform one?
Mweka mada kanuna..
Kwani mkuu hata asipoenda ndo atakuwa huyo Elon musk..?
Kama hamna ni hamna tu!
Wana uhakikaa na shule brohUmasikini ndio shida, mtoto kwa sasa alipaswa kuwa Vacation huko anapunga upepo, Umasikini unatufanya to force vitu ambavyo havina maana kabisa, tafuta watoro wa kishua kama kuna anaye hangaika na hizo pre
Vacation inategemea na mzazi.... Km wewe bahili na kuona ni anasa huez enda vacation na watotoUmasikini ndio shida, mtoto kwa sasa alipaswa kuwa Vacation huko anapunga upepo, Umasikini unatufanya to force vitu ambavyo havina maana kabisa, tafuta watoro wa kishua kama kuna anaye hangaika na hizo pre
HahahahaNa chekechea nao wanapelekwa Tuition, Kuna mpumbavu Jana nimemsikia mahali anamtumia Mwalimu pesa ya tuition ya Mtoto wa chekechea