Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 19,081
- 31,695
Heshima sana wana ukumbi,
Nimesoma maandiko mengi ya wanazuoni wa Kiislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakimtwisha zigo Mwl Nyerere kama muasisi wa mfumo Kristo.
Katika tafakari yangu ta leo nimejikuta nikishangaa na kusikitika kwa wakati mmoja.
Muasisi wa mfumo Kristo alitengeneza mfumo ambao wananchi 1.5 miliion wamepewa upendeleo wa nafasi 80 za ubunge!.
Sote tunafahamu kwamba wabunge wote wanatokea Zanzibar ni swala 5. Mwl Nyerere alitengeneza mfumo ambao wapiga kura laki tano wanawakilishwa na wabunge 80.
Huu mfumo Kristo hata siuelewi, labda wadadavuzi kutokea kulee Tandamti wanaweza kutupeleka darsa kidogo.