Mwita Waitara: Sitakubali kudhalilishwa kama Vedasto Mbunge wa CUF jimbo la Lindi

Hahaha, ndio nilikuwa najiuliza atabishana naye au atapiga ngumi...
 
Mimi nlimwona yule mbunge anajielewa maana huwezi taka mtu abadili utaratibu waliojipangia WA allocation ya fedha ukataka afate mpango Wako. It is good kwamba alisimamia alichokiamini. Hii nchi kunamtu anatakaga watu wote wafate mawazo yake!!
 
Rais hakudhalilisha mtu ni tafsiri mapokea potofu za watu kama huyo Mura aliyerowea Dar ndiyo wanaweza kuona ule ulikuwa udhalilishaji.
Rowea = lowea

Huku shuleni mlienda kusomea ujinga
 
yaani aitisha icho kikao kwa AJILI ya kumjibu raisi ni akili kweli
Magufuri ni kiongozi asiyekuwa na heshima, hajui nguvu za office ya Rais. Kiongozi uliyechaguliwa na watu, lazima aheshimu viongozi wengine waliochaguliwa na watu hao hao. Tabia ya haka jamaa, huenda hata nyumbani kwake anamtreat mkewe kama mtumwa,
 
Mie mtazamo wangu wamsamehe mzee wetu huyu maaanake tunakokwenda itakuwa vita mura .. ukishajua tabia ya mtu bora ujifanye mjinga maaanake tutatoana roho wabakie watoto na wanawake kwenye matatizo
 
Magufuri ni kiongozi asiyekuwa na heshima, hajui nguvu za office ya Rais. Kiongozi uliyechaguliwa na watu, lazima aheshimu viongozi wengine waliochaguliwa na watu hao hao. Tabia ya haka jamaa, huenda hata nyumbani kwake anamtreat mkewe kama mtumwa,
 
Kujenga zahanati si ni kazi ya serikali??
Kwa nini amshupalie mbunge hali kuna waziri wa afya, kwa nini asiagize waziri ajenge zahanati.
Kwani fedha anatoa mfukoni mwake??
Watu ni waelewa sio mbumbumbu siku hizi!!
 
Magufuri ni kiongozi asiyekuwa na heshima, hajui nguvu za office ya Rais. Kiongozi uliyechaguliwa na watu, lazima aheshimu viongozi wengine waliochaguliwa na watu hao hao. Tabia ya haka jamaa, huenda hata nyumbani kwake anamtreat mkewe kama mtumwa,
Msichokijua ni kuwa magufuli anajua kila sehemu aliposhinda mpinzani yeye alipigwa kura za Urais na ndiyo chanzo cha chuki na visasi vyote hivyo na itaendelea kwa kila mpinzani hiyo.
 
Mbona mbunge mwingine wa Mtwara mjini wa CUF bwana Maftah Nachuma jana alipongezwa na raisi John Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya na sasa Mtwara mjini yapendeza?

Mbunge Maftah ameshiriki kikamilifu kuhakikisha nyumba za NHC zinakamilika pale Raha Leo
 
Msichokijua ni kuwa magufuli anajua kila sehemu aliposhinda mpinzani yeye alipigwa kura za Urais na ndiyo chanzo cha chuki na visasi vyote hivyo na itaendelea kwa kila mpinzani hiyo.
Uchaguzi umeisha, tuungane tujenge Taifa, sasa kuwashambulia wapinzani ni kurudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…