Mwita Waitara: Sitakubali kudhalilishwa kama Vedasto Mbunge wa CUF jimbo la Lindi

Magamba wanajifanya miungu watu, ila mjue mnachokipanda mtakivuna tu kama sio nyie wenyewe hata vizazi vyenu vitakuja kuvuna tu ili waje wajue mlivyokuwa mkijifanya miungu watu.
 
Magufuli alimtoa nishai Nape kule lindi ije kuwa waitara kweli,

Nape kadai dispensary imejengwa kwa milioni 40,JPM akasema twende nikapaone,

akaingia kwenye pagale,"hii nyumba ndo umesema milion 40 hii,bati 25,aah hapa watu wamekula,kwanza wewe Nape umetoa hela ngapi",

Nape-"mimi nitatoa milioni 3".

Jpm-"milioni 3?!!",akishangaa,"kwani pesa ya jimbo umepata ngapi?".

Nape-akijiuma uma,"mmmmm,milioni 70"
jpm-"sasa milioni 70 unatoa milion 3?,sasa hapa tumalize kabisa,mimi nitatoa milion 15 hata leo hii,wewe toa milioni 10,utatoa lini hizo hela?"
 
Hahahaaaa huyo nae kala pesa za maendeleo ya jimboni, upinzani hawapeni tujue ukweli wa wanyopata. Ni aibu kubwa,badala ya kukaa na kusema zake mil 70 naecaliyopokea ameitumiaje jimboni anajiwahi. Mpinzani mlafi huyo

Na bado watanyooka tu, upinzani wajaza matumbo yao tu.

Hapa kazi tu
Hahahahaha kichwa box muda si mrefu anakuwa mkuu wa mkoa huyo mwaka huu lazima lumumba mtafutane mzee kagundua hamjiwezi kaanza kusajir toka upinzani
 
Back
Top Bottom