njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 12,955
- 6,706
Hahaha, ndio nilikuwa najiuliza atabishana naye au atapiga ngumi...Rais ndiye anakuwa mzungumzaji wa mwisho na itakuwa vigumu ku respond kw atamshi lolote la kuudhi au kudhalilisha.Ikiwa utanyanyuka kwa ubishi ina maana umeshindwa kumheshimu Raisi na wale jama wa earphone watakushughulikia.BUSARA-Mwache azungumze ili upate muda wa kutafakari kabla ya kujibu.