Mwigulu amewaagiza Wataalamu wa Wizara yake kukaa na Wajumbe wa IMF wajadili Athari za Upungufu wa US Dollar kwenye Uchumi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
95,106
166,529
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD amewaagiza Wataalamu wa Wizara yake kukaa na Ujumbe wa IMF wajadili Athari za Upungufu wa US Dollar kwenye Uchumi wa nchi.

Dr Mwigullu amewataka Wataalamu hao kujadili namna ya kushughulikia Upungufu wa mzunguko wa Dollar ya Marekani Ili kunusuru Uchumi

Source: Ayo tv
 
Walisema Mama alifungua nchi,nchi ilikuwa imefungwa, Mama amefungua wajanja wameondoka na dollar 🤣🤣🤣kuongoza nchi sio familylia,subiria hadi 2025 muone huo mporomoko wa uchumi,hapo hauwezi sikia akina Zitto wakitoa takwimu kuwa awamu ya 6 uchumi unakwenda kuporomoka,siajabu ukasikia wanasema matatizo ya kukosekana kwa dollar kumesababishwa na Magufuli.
 
US Dollar imeadimika duniani kote!
 
US Dollar imeadimika duniani kote!
.
Screenshot_20230525-184541.jpg
 
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD amewaagiza Wataalamu wa Wizara yake kukaa na Ujumbe wa IMF wajadili Athari za Upungufu wa US Dollar kwenye Uchumi wa nchi

Dr Mwigullu amewataka Wataalamu hao kujadili namna ya kushughulikia Upungufu wa mzunguko wa Dollar ya Marekani Ili kunusuru Uchumi

Source: Ayo tv
Ujinga mkubwa huu, nchi ya kuimport hadi vijiti vya kuchokonolea meno mnajadili nini na IMF?
 
R.I.P Magufuli uliacha madola ya kutosha
JPM alituachia Jeshi kubwa sana la wajinga nchi hii....

Hujui hata kinachoendelea duniani.

FYI, kuna jitihada kubwa inafanyika duniani kwa lengo la kuizika Dollar ya Kimarekani.

Anyway, hilo litachelewa kutimia lakini something tells me LITAFANIKIWA hasa kwa kuzingatia China ndiye Largest Trading Hub duniani.
 
Mkifeli, mnataka muwaaminishe wajinga kuwa dunia inafeli kama mnavyofeli nyie.

Hakuna sehemu yoyote ya dunia ambayo uchumi wake umeporomoka. Hapa TZ, uchumi umeporomoka!

Vilaza wako mstari wa mbele kuongoza kundi la mbuzi kuvuka road
Umeambiwa duniani uchumi umeporomoka au umeambiwa duniani Dola imeadimika?! Yaani unashindwa kuelewa sentensi yenye maneno yasiyofika hata 10 halafu bado unaona wenzako vilaza!!
 
JPM alituachia Jeshi kubwa sana la wajinga nchi hii....

Hujui hata kinachoendelea duniani.

FYI, kuna jitihada kubwa inafanyika duniani kwa lengo la kuizika Dollar ya Kimarekani.

Anyway, hilo litachelewa kutimia lakini something tells me LITAFANIKIWA hasa kwa kuzingatia China ndiye Largest Trading Hub duniani.

Watu wameletewa Hadi link humu...za kuonesha kinacho endeleza dunia nzima na bado wanatukana tu....

Kuna uzi wa kumtukana January kuna watu wanasema wakati wa Kalemani umeme ulikuwa haukatiki kabisa kabisa ... imagine that
 
Misukule mingi ya JPM ina ufahamu mdogo sana! Sometimes unaweza kudhani wanachofanya is just politics lakini ukiangalia vizuri utagundua it's not about politics bali ni uelewa finyu!!
 
Dawa ni kujiunga na BRICS ili kuendeleza mpambano wa Dedollarisation. Inawezekana sasa hivi tunafanya biashara kubwa zaidi na nchi za Brics kuliko timu mkoloni, kwa nini tuendelee kulialia kuhusu dollar?
Achana na dollar, tulipane kwa local currency kama tunavyofanya na India.
 
Back
Top Bottom