Mwenye ushuhuda wa kufanikiwa kupitia Forex trading

Nsema

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
275
479
Ndugu wadau,Kuna muda nilikuwa nafatilia Mada za Antorio kuhusu Forex. Nakumbuka kunakipindi nilikuwa nje ya JF kwa muda wa miezi 3 nikakuta Uzi wa Antorio Una maelfu ya wachangiaji lakini haikunipa uvivu wa kisoma comments kutokana na Utamu na hamasa alizokuwa anazitoa Antorio.

Wadau naomba kujua wale wadau waliowahi kufanya biashara ya Forex wamefanikiwaje?

Je, Antorio mwenyewe amefanikiwa? na yupoje?

Binafsi naomba mrejesho Kwa faida ya wadau wengine!
 
Wapo waliofanikiwa wapo walipoteza na kuacha wapo waliopoteza na kujipanga upya,kwa ujumla fx ni biashara inayoitaji nidhamu ya hali ya juu ,ukiifanya kama gambling basi hutoboi ,jifunze wekeza kua taratibu ,sio lazima mtu afaulu nawe ndo ufaulu au afeli wewe ndo ufeli pia ,pambana kwa unachokiamini

Cc Ontario
 
Ndugu wadau,Kuna muda nilikuwa nafatilia Mada za Antorio kuhusu Forex. Nakumbuka kunakipindi nilikuwa nje ya JF kwa muda wa miezi 3 nikakuta Uzi wa Antorio Una maelfu ya wachangiaji lakini haikunipa uvivu wa kisoma comments kutokana na Utamu na hamasa alizokuwa anazitoa Antorio.

Wadau naomba kujua wale wadau waliowahi kufanya biashara ya Forex wamefanikiwaje?

Je Antorio mwenyewe amefanikiwa? na yupoje?

Binafsi naomba mrejesho Kwa faida ya wadau wengine!
Njoo kwenye crypto currency hutojuta.
 
Ontario hajafanikiwa kupitia ku-trade.

Mafanikio yake yanatokana na Kulima na kufuga kuku.

Kwenye Forex anapambana sana ili achume pesa kupitia Brokering commissiin ( hapa aliwategesha misukuke wakapigwa mno ili anufaike )

Na hivi karibuni akaanzisha kampuni yake kama Broker.

Kwahiyo nakushauri kama wewe siyo broker, utapigwa mnooo.
 
Ukitaka kutoboa kwenye forex, soma vitabu vya kutosha kuhusu hiyo fx, soma vitabu vya market analysis. Kiufupi jifunze kila wakati. Vitabu visipungue kumi. Then practice, piga zoezi la kutosha, na ukubali kupoteza pesa yako mara kwa mara.

Ukubali kupoteza pesa yako mara kwa mara .....hii kauli ikija kwenye matendo haivumiliki kabisa
 
Ndugu wadau,Kuna muda nilikuwa nafatilia Mada za Antorio kuhusu Forex. Nakumbuka kunakipindi nilikuwa nje ya JF kwa muda wa miezi 3 nikakuta Uzi wa Antorio Una maelfu ya wachangiaji lakini haikunipa uvivu wa kisoma comments kutokana na Utamu na hamasa alizokuwa anazitoa Antorio.

Wadau naomba kujua wale wadau waliowahi kufanya biashara ya Forex wamefanikiwaje?

Je Antorio mwenyewe amefanikiwa? na yupoje?

Binafsi naomba mrejesho Kwa faida ya wadau wengine!
Ontario ukitaka kumjua yupoje nenda Instagram kamsearch anaitwa sirjeff Denis angalia account yenye followers wengi ndo uyo anaitwa shaka Zulu uko😄😄😄
 
hii setup naweza ipata wapi kwa tanzania?
 
Attachments

  • sssss.jpg
    sssss.jpg
    24.3 KB · Views: 57
Back
Top Bottom