Ndugu wadau,Kuna muda nilikuwa nafatilia Mada za Antorio kuhusu Forex. Nakumbuka kunakipindi nilikuwa nje ya JF kwa muda wa miezi 3 nikakuta Uzi wa Antorio Una maelfu ya wachangiaji lakini haikunipa uvivu wa kisoma comments kutokana na Utamu na hamasa alizokuwa anazitoa Antorio.
Wadau naomba kujua wale wadau waliowahi kufanya biashara ya Forex wamefanikiwaje?
Je, Antorio mwenyewe amefanikiwa? na yupoje?
Binafsi naomba mrejesho Kwa faida ya wadau wengine!
Wadau naomba kujua wale wadau waliowahi kufanya biashara ya Forex wamefanikiwaje?
Je, Antorio mwenyewe amefanikiwa? na yupoje?
Binafsi naomba mrejesho Kwa faida ya wadau wengine!