ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,368
- 50,739
Nitashukuru mwenye kunisaidia video au link o zenye maudhui ya vita aidha body cam au za drone au ambazo ziko filmed kuonyesha mapigano baina ya pande mbili zote Kwa pamoja.. YouTube zipo hasa za vita gaza na huko Ukraine ila tatizo zinaonyesha upande mmoja tu mimi nataka video iwe zinaonyesha anayemimina risasi na upande wa wanaomiminiwa wakiendelea na harakati za kijeshi katika opereshen huku wengine wakihangaika wakifa live.