Mwenendo wa Dunia & the Prophecy

Daudi kambona

Member
May 21, 2023
7
2
Habari:

Kuna mataifa kadhaa duniani ambayo haya ndiyo ya kutizama sana Israel, Marekani, Vatcani ukiangalia vizuri Israel utagundua kuwa Kuna maandalizi makubwa ya kumkaribisha masihi kumbuka baada ya kifo cha Allen Sharon pm rabi yitzak kaduri alisema masihi atakua karibu kuijilia Israel

Note: ndio maana Israeli ameanza kujitenga na mataifa taratibu soma story ya yusuph Israel hata ikikosa siraha hakuna taifa la kuwapiga duniani kwa sababu MUNGU bado anawapigania nitachambua kwa kina wakati mwingine
 
Mbona unakosea kosea spelling za majina? Angalia vizuri usije ukakosea tena
 
Back
Top Bottom