Mwanaume yamenifika naomba ushauri kama Watanzania wenzangu

Wanawake ni washenzi mno mkuu, mi nimeshawakatia tamaa nawaona kama wadudu wasio na huruma wala busara maana kila nikipenda kwa dhati na kukea balaa naishia kuonekana kihiyo ambae najikombakomba sana katika penzi. Najua unaumia ila jikaze mkuu, mwache aendelee na huyo anaemuona wa maana mungu atakupa mwengine mzuri zaidi yake. Trust me...mi pia nimeumia sana kwa staili kama yako.

Sidhani kama nitaweza penda tena na kuamini mwanamke yeyote. Na hata nikipenda sintoweza kumjali kwa lolote. Nimeapa kuwa selfish dhidi ya mwanamke mpaka mwisho wa maisha yangu ikiwa namtumia kwa mahitaji yangu tu akiona vipi apite vilee siwazi tena yani! Na sio kumtumia tu, nitawatumia na kuwagaragaza mbaya mbovu wakafie mbali huko.
 
Kama anakusaliti akiwa mchumba hatowacha kukusalitu akishakuwa mke. Subira ipi hao wanao kushauri uwe nayo? kuna jamaa mmoja alibakisha mwezi mmoja kuowa alimkuta mchumba wake na jamaa mwengine, alichokifanya kudai hela ya mahari yake na kusepa.

Ndukiiiii
 
ndo shida ya long distance relationshp,, nami kuna mmoja hapa analeta picha picha fulan cziekewi. ila huyu wangu sihtaj hata ushauri akizingua napiga chini fasta sana cjali ametumia kiac gn changu
 
Mimi nakushauri kama vikao vinaendelea na mama yake yupo na ni mtu unaweza kuongea naye mfuate mama yake mueleze.
inawezekana amesha ongea na mama yake kuwa hajisikii furaha kuwa na ww wanawake hawana siri mbele ya mama zao
Nadhani utapata pa kuanzia
 
Pole kwa kusalitiwa na lazima uumie lakini with time kuumia kutapungua. Hapa cha kufanya ni kuendelea na yako wala usijihusishe naye kwa namna yoyote labda kama unataka uendelee kudhalilishwa.

Habari za jioni watanzania wenzangu

Nianze moja kwa moja kunamka mkasa umenifika kama kama mwanaume ninaye tarajia kufunga ndoa miezi minne ijayo lakini imetokea sintofahamu kubwa cn kwa mwenzangu kubadilika mm nafanya kazi dar na yy mkoani mwenzangu katokea kubadilika kabisa ni ugomvi usio hisha mpaka imefikia hatua tunashindwa kupanga vtu kuhusiana na ndoa yte pia Mali kila kitu nilishatoa na mpaka ss hv pande zote mbili zinaendelea na vikao vy shughuri.

Mabadiliko haya yametokea gafla bila hata kutibuana wala kugombana ila kutokana na upelelezi hakinifu nimekuja kujuwa kaanza mahusiano na jamaa mmja anafanya naye kazi nimefatilia kupitia system nilizonazo za cm za kila kitu nimejuwa kuwa ananisaliti na mpaka tarehe ya kunisaliti naijuwa kanisaliti tarehe 30 /1/2017 muda wa saa 4 usiku na pia tarehe 31/1/2017 tena kanisaliti muda kuanzia saa 3 usiku kalala kwa hyo jamaa imeniumiza cn nikifikilia kwa ss tulipo hiki kitu kinatokea naumia naenda kazini sio mimi nimejaribu kutaka kuchukua maamuzi mazito moyo unasita najaribu kuuliza watu kupitia indirect way wanajb hinatakiwa kuwa na subira na kuwa na uvumilivu cn ila inauma cn.
Wanandungu naombeni ushauri nifanyeje kuhusiana na hili swala kwn nikiwa pekeyangu nawaza cn inanibidi nijichanganye kupiga story kwa sana ili nijisaulishe lakn jaman naomba ushauri nifanyeje samahanini kama nitakuwa nimewahudhi mnisamehe.
Ni mm mwajamii mwenzenu.
 
sorry sana brother first of all apo nimeona kuna typin error ila maelezo yako yanaonesha kuwa wewe ni mwanaume na anayefanya hivyo ni mkeo mtarajiwa let i make one thing clear sometimes usiuamini sana moyo wakusema uvumilie na kujipa matumaini juu ya swala hilo, moja upo ktk hatua yakuingia ktk kifungo cha mapenzi( ndoa) and so unatakiwa uwe na partner ambaye u will almost match with her in many things, apende na ajue wapenda na kuchukia nn ktk maisha, kuingia ktk ndoa na mtu ambaye tayari ni mhalifu kwa kigezo atabadilika ni kupalilia bomu ambalo lita ruin ur life decades to come, ur man NAKUSHAURI ANGALIA MARA MBILI HIYO MIPANGO YAKO YA NDOA SO LONG AS UMESHAJUA NA UMETHIBITISHA(90%) APPROVAL kuwa she aint faith to you, walk and take the right decision and direction which can not harm and ruin ur future BETTER LIVE LONELY RATHER THAN HAVING SORROW MARRIAGE, mbili je mliwahi kuelezana juu ya haya mabadiliko na response yake ikawaje? kuna kamsemo kamoja cha mapenzi wanakuambia LOVE IS EQUAL TO DISTANCE TIMES EYES, ukimaanisha umbali una affect sana mahusiano hasa kuingiwa na ushawishi wa usaliti kwa two couples ambazo ziko mbali mbali, kadri mnavyo kuwa mbali kimahusiano asilimia za usaliti zinaiongezeka hasa ikiwa mmoja kati yenu hayuko imara ku resist temptations, THE EYES DOES NOT SEE THE ONE HE LOVES SO SHE/HE MAY CHOOSE TO LOVE THE ONE HE SEE, ukweli unauma sana ila kikubwa WALK ON THE RIGHT DIRECTION BORA AIBU KULIKO MAISHA YENYE FEDHEHA, MAHARI IS nothin on making right decision, usiishi wala kufanya maamuzi yakuionea huruma mahari yako alafu uje uishi maisha ya mfadhaiko milele, ACHA KUISHI KWA HISIA KULIKO UHALISIA BROTHER, wake up from ur downstreams and walk to the MAINSTREAMS. hopeful umenielewa nachokushauri and nice steps and decision upon u bro, two decision may cover ur life within marriage and life as whole RIGHT OR WRONG
 
Unazo msg kama ushaidi mpaka sasa ivi?jibu nikupe ushauri..!
 
mshukuru mungu umeonyeshewa mapema kabla ya kuingia kwenye ndoa, jitathmini mwenyewe kama una moyo wa kuvumilia kusalitiwa funga naye ndoa ila kama unaona huwezi kuvumilia ni bora ufanye maamuzi magumu mana kuvunja uchumba ni rahisi lakini kuvunja ndoa ni zoezi gumu sana, pole sana ndugu yangu
 
Mwanzo tu kabla hujasema kuwa kuna mwanaume anakuibia mimi nilishajua.Dalili za ukali,kuwa busy sana mwenzi wako,lawama n.k zote zinaashiria kuna wadudu wameingilia penzi lenu.Kwakuwa hamjafunga ndoa bado take easy achana naye na usifanye maamuzi ya hasira kuoa mwingine haraka.Tulia wanawake wazuri na wa kila namna wapo.Yaani kwangu mimi mwanamke akinisaliti kabla ya ndoa kufungwa ndo kama kanitua mzigo na nitashukuru maana amenipa warning,kwamba nisimwoe tajuta mbele.
 
Pole kwa kusalitiwa na lazima uumie lakini with time kuumia kutapungua. Hapa cha kufanya ni kuendelea na yako wala usijihusishe naye kwa namna yoyote labda kama unataka uendelee kudhalilishwa.
We usimdanganye mwenzio!! Kuchapiwa ni siri ya ndani.
 
Mimi kwa sasa Nina miaka mingi sana nafanya mambo yangu,mapenzi nimewaachia wengine ambao may be wao yanawalipa.
 
Back
Top Bottom