Mwanaume yamenifika naomba ushauri kama Watanzania wenzangu

....kunisaliti naijuwa kanisaliti tarehe 30 /1/2017 muda wa saa 4 usiku na pia tarehe 31/1/2017 tena kanisaliti muda kuanzia saa 3 usiku kalala kwa hyo jamaa....

Ila na sisi wanaume tuwe wastaarabu, demu wa mtu unaanzaje kumtumia kwa ulafi namna hii? Mi nashauri kama utampata mke wangu, aisee nakuomba sana, piga kisela, mpige kistaarabu ili abaki na hamu zake na mimi pia anikumbuke!
hahahahahhaha nimecheka kama mazur
 
Ikiwa huo utafiti wako ni genuine sasa mbona kila kitu kipo wazi mkuu. Hivi unatarajia mkifunga ndoa huyo mkeo atakua mwaminifu? ?? Mkuu narudia tena ikiwa uliyosema ni kweli kabisa basi hapo hakuna mke. Fanya maamuzi magumu au jipange kushare
 
....kunisaliti naijuwa kanisaliti tarehe 30 /1/2017 muda wa saa 4 usiku na pia tarehe 31/1/2017 tena kanisaliti muda kuanzia saa 3 usiku kalala kwa hyo jamaa....

Ila na sisi wanaume tuwe wastaarabu, demu wa mtu unaanzaje kumtumia kwa ulafi namna hii? Mi nashauri kama utampata mke wangu, aisee nakuomba sana, piga kisela, mpige kistaarabu ili abaki na hamu zake na mimi pia anikumbuke!
DUUUUH!kwamba wanatumia kwa urafi!!!NA MIMI NIMELIONA HILI,,,,,,,,,
 
Kwa hiyo unasubiri jamaa akishamtema na ndiyo ufunge ndoa au? Achana naye, simamisha mipango ya ndoa na waeleze wakwezo, utapata tuu atakayekufaa, vinginevyo ukigeuka nyuma wafwaa!! Hapo jamaa inawezekana keshamjengea banda la kufugia virusi kwenye mwili wake!!
 
Habari za jioni watanzania wenzangu
Nianze moja kwa moja kuna mkasa umenifika kama mwanaume ninayetarajia kufunga ndoa miezi minne ijayo lakini imetokea sintofahamu kubwa cn kwa mwenzangu kubadilika mm

Nafanya kazi dar na yy mkoani. mwenzangu katokea kubadilika kabisa ni ugomvi usioisha mpaka imefikia hatua tunashindwa kupanga vitu kuhusiana na ndoa yetu. Pia mahari kila kitu nilishatoa na mpaka ss hv pande zote mbili zinaendelea na vikao vy shughuri.

Mabadiliko haya yametokea gafla bila hata kutibuana wala kugombana ila kutokana na upelelezi hakinifu nimekuja kujuwa kaanza mahusiano na jamaa mmoja anafanya naye kazi nimefatilia kupitia system nilizonazo za cm za kila kitu nimejuwa kuwa ananisaliti na mpaka tarehe ya kunisaliti naijuwa kanisaliti tarehe 30 /1/2017 muda wa saa 4 usiku na pia tarehe 31/1/2017 tena kanisaliti muda kuanzia saa 3 usiku kalala kwa hyo jamaa

Imeniumiza sana nikifikiria kwa sasa tulipo hiki kitu kinatokea naumia naenda kazini sio mimi nimejaribu kutaka kuchukua maamuzi mazito moyo unasita najaribu kuuliza watu kupitia indirect way wanajibu inatakiwa kuwa na subira na kuwa na uvumilivu sana ila inauma sana.

Wanandugu naombeni ushauri nifanyeje kuhusiana na hili swala kwani nikiwa peke yangu nawaza sana inanibidi nijichanganye kupiga story kwa sana ili nijisahaulishe lakini jaman naomba ushauri nifanyeje

samahani kama nitakuwa nimewaudhi mnisamehe.
Ni mm mwajamii mwenzenu.
Unaibiwa. Fanya utafiti. Mi simo
 
Back
Top Bottom