Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

Mapenzi ya kweli na halisi ni :- 1. Uaminifu (uwazi kuaminiana kujitoa).
2. Mawasiliano tena ya karibu sana , mfanye mpenzi wako mke / mume wako kuwa rafiki mtawasiliana vizuri na kwa uwazi mkifundishana mengi. Mawasiliano ni muhimu sana.
3. Upendo, upendo hauchunguzi chunguzi wala kuzira, wala hauna kisirani , wala hautafuti makosa.
Sasa cha kufanya jenga tabia ya kutafuta muda wa kukaa na mwenzi wako na kuongea juu ya mambo yenu na Maisha yenu , pia juu ya tabia zenu , muwe wazi kila mmoja. Mawasiliano mazuri yanajenga penzi zuri na tamu. Na mawasiliano yawe katika lugha nzuri ya upendo na urafiki . Hata siku moja usiwaze kuachana na mpenzi wako , happy ujue unajenga kuachana na hutakaa na mpenzi tena itakuwa ni karma tu hapo.
Mbadilishe mpenzi wako sema naye atabadilika na atakuwa unavyotaka.
Hapo kwenye no 3 kuna ukakasi mkuu sasa huko kuzirazira means upendo hakuna
 
Kuzira inaweza ikawa ni tabia yake toka utoto , na unajua sometime wanaume katika mahusiano ni kama watoto ndiyo maana wanakuwa na tabia ya kuzira tena zaidi akijua anapendwa sana.
Muda mwingine kuzira kwa kuwa anajua kuna wanawake wengi wanampenda, pia kutokujitambua yeye ni nani katika mahusiano yenu, kwamba anatakiwa ajitambue kuwa yeye ni mwanaume wa kweli kwa ajili ya kuhakikisha wewe unafuraha na amani.
Sasa hapo sema naye kwanza , yaani mkuze, ukiona haelekei basi kuna mengine.
Mimi ninachojua kama umempenda mwenzio hutakuwa unazira zira zaidi sana utakuwa unaongea kile kinachokukwaza ili mkimalize na kukiondoa kisiwaharibie penzi lenu.
 
Yaani sio MTU wa kusema kabisa kama kuna kitu kimemkera hasemi utaona tu reaction.. Hapo ukimuuliz ndo atasema ulinikera hiki na hiki lkn kuongea hajui
 
Miss Charming, nikwambie kitu, jifunze kuwa na kawaida ya kujishusha kwa mpenzi wako na kuongea naye vizuri kwa upendo, na jitahidi taratibu kumweleza nini unapenda kwake ambavyo vitaufanya moyo wako uwe na furaha muda wote.

Penda kuzisoma tabia zake na kujaribu kufanana naye japo kidogo maana hakuna aliye sahihi maishani isipokuwa MUNGU BABA pekee.

Kuna muda wa kuongea aina hiyo ya maongezi na kila kitu kinawezekana chini ya jua. Mfanye mpenzi wako azidi kukupenda. Jitahidi kumuaminisha kuwa yupo peke yake kwako, yaani jiachie! Tafuta ni kitu gani hasa anakipenda uwe unamfanyia Tena kwa ubora zaidi.
Kuwa muwazi kwa chochote ukitanguliwa na hekima.
 
Nataman haya maelezo mtu fulani angeyasoma naamini yangemsaidia sana.
 
Back
Top Bottom