Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 44,553
- 78,815
Neno la mwisho nimezingatia mkuuMkuu hata vikombe kwenye kabati vinagongana itakuwa sie?? Hayo mambo ya kutofautiana yapo kila sector kikubwa kuelewana
Neno la mwisho nimezingatia mkuuMkuu hata vikombe kwenye kabati vinagongana itakuwa sie?? Hayo mambo ya kutofautiana yapo kila sector kikubwa kuelewana
Hapo kwenye no 3 kuna ukakasi mkuu sasa huko kuzirazira means upendo hakunaMapenzi ya kweli na halisi ni :- 1. Uaminifu (uwazi kuaminiana kujitoa).
2. Mawasiliano tena ya karibu sana , mfanye mpenzi wako mke / mume wako kuwa rafiki mtawasiliana vizuri na kwa uwazi mkifundishana mengi. Mawasiliano ni muhimu sana.
3. Upendo, upendo hauchunguzi chunguzi wala kuzira, wala hauna kisirani , wala hautafuti makosa.
Sasa cha kufanya jenga tabia ya kutafuta muda wa kukaa na mwenzi wako na kuongea juu ya mambo yenu na Maisha yenu , pia juu ya tabia zenu , muwe wazi kila mmoja. Mawasiliano mazuri yanajenga penzi zuri na tamu. Na mawasiliano yawe katika lugha nzuri ya upendo na urafiki . Hata siku moja usiwaze kuachana na mpenzi wako , happy ujue unajenga kuachana na hutakaa na mpenzi tena itakuwa ni karma tu hapo.
Mbadilishe mpenzi wako sema naye atabadilika na atakuwa unavyotaka.
Kuzira inaweza ikawa ni tabia yake toka utoto , na unajua sometime wanaume katika mahusiano ni kama watoto ndiyo maana wanakuwa na tabia ya kuzira tena zaidi akijua anapendwa sana.Hapo kwenye no 3 kuna ukakasi mkuu sasa huko kuzirazira means upendo hakuna
Yaani sio MTU wa kusema kabisa kama kuna kitu kimemkera hasemi utaona tu reaction.. Hapo ukimuuliz ndo atasema ulinikera hiki na hiki lkn kuongea hajuiKuzira inaweza ikawa ni tabia yake toka utoto , na unajua sometime wanaume katika mahusiano ni kama watoto ndiyo maana wanakuwa na tabia ya kuzira tena zaidi akijua anapendwa sana.
Muda mwingine kuzira kwa kuwa anajua kuna wanawake wengi wanampenda, pia kutokujitambua yeye ni nani katika mahusiano yenu, kwamba anatakiwa ajitambue kuwa yeye ni mwanaume wa kweli kwa ajili ya kuhakikisha wewe unafuraha na amani.
Sasa hapo sema naye kwanza , yaani mkuze, ukiona haelekei basi kuna mengine.
Mimi ninachojua kama umempenda mwenzio hutakuwa unazira zira zaidi sana utakuwa unaongea kile kinachokukwaza ili mkimalize na kukiondoa kisiwaharibie penzi lenu.
Nakukumbusha tena, Huyu mtu anakupenda sana na ni moja kati ya wanaume wachache sanaYaani nyinyi ni vigumu kueadefine asee
Amshikilie . Asimwache aende zakeNakukumbusha tena, Huyu mtu anakupenda sana na ni moja kati ya wanaume wachache sana
watu wanawaza hela wewe unataka story za kupendana siku nzima
Kwa tabia gani hapo niliotaja mpaka useme ananipenda? Kuzira? Au kutopiga simu? Au kununanuna??Nakukumbusha tena, Huyu mtu anakupenda sana na ni moja kati ya wanaume wachache sana
Mkuu mapenzi ni more than huko kukazana cjuimiezi mitanoo tuuuu.......mshakazana weeeeee......mshachokana.......wanawake mnataka nini hasa????
MmmhAmshikilie . Asimwache aende zake
wanajisahau sana, au labda hawaelewi, anaweza akaleta upuuzi na kero akakuboa kabisa halafu anategema eti uanaume ni kumchekea chekea, ukiamua kumpuuza ili hasira ishuke ufanye ya maana anaona umesusaMwanaume nae ana hisia ifahamike hvo
na hilo ndio tatizo lakoSijakuelewa mkuu
Mpende hivyo hivyo, lakini kaa ukijua hapo hauna mwanaume, bali wewe ndie mwanaume
Usigune mrembo. kuna wanaotafut hata huyo anayesusasusa.Mmmh
Miss Charming, nikwambie kitu, jifunze kuwa na kawaida ya kujishusha kwa mpenzi wako na kuongea naye vizuri kwa upendo, na jitahidi taratibu kumweleza nini unapenda kwake ambavyo vitaufanya moyo wako uwe na furaha muda wote.Yaani sio MTU wa kusema kabisa kama kuna kitu kimemkera hasemi utaona tu reaction.. Hapo ukimuuliz ndo atasema ulinikera hiki na hiki lkn kuongea hajui
Nataman haya maelezo mtu fulani angeyasoma naamini yangemsaidia sana.Miss Charming, nikwambie kitu, jifunze kuwa na kawaida ya kujishusha kwa mpenzi wako na kuongea naye vizuri kwa upendo, na jitahidi taratibu kumweleza nini unapenda kwake ambavyo vitaufanya moyo wako uwe na furaha muda wote.
Penda kuzisoma tabia zake na kujaribu kufanana naye japo kidogo maana hakuna aliye sahihi maishani isipokuwa MUNGU BABA pekee.
Kuna muda wa kuongea aina hiyo ya maongezi na kila kitu kinawezekana chini ya jua. Mfanye mpenzi wako azidi kukupenda. Jitahidi kumuaminisha kuwa yupo peke yake kwako, yaani jiachie! Tafuta ni kitu gani hasa anakipenda uwe unamfanyia Tena kwa ubora zaidi.
Kuwa muwazi kwa chochote ukitanguliwa na hekima.
Hapa kwenyewe katoka kuzira kwenye simu huyu mm simuwez aiseekuzirazira inaonekana ana umama sana.
inaonekana unapenda waongeaji wakukudanganya
achana nae njoo kwangu upate mahaba.Hapa kwenyewe katoka kuzira kwenye simu huyu mm simuwez aisee