Mwananchi Mwanza; mtaa wenye mabilionea wengi kuliko hata Capripoint

Mleta mada umeng'ang'ania mwananchi mwananchi aah me nikadhani ile hospital pale makproboi
Ndio sababu mwananchi kupewa jina hilo,Mwanzo hiyo hospital ilikuwa huko kabla ya makofoboi
 
Ndio sababu mwananchi kupewa jina hilo,Mwanzo hiyo hospital ilikuwa huko kabla ya makofoboi
Duh mbona hii hosp ipo kitambo tangu nikiwa mdogo aiseee pamoja na kwamba ni mwenyeji wa mwanza kwenye mambo haya utanipiga chenga tu,kufatilia vitu hivi kazi kweli
 
Mwanza nzima tajiri wanaemtegemea ni Kishimba peke yake yule mwenye gorofa pale karibu na soko kuu upande wa juu kidogo karibu na dadadala (vipanya) vya kwenda Nyegezi.
Huyo ndio pekee aliyebaki baada ya Nyehunge kufariki kwa kugongwa na basi akiwa kwenye Basikeli.

Arusha nao walikua wanaemtegemea tajiri mmoja tuu... Yule bilionea alikufa kwenye ajali ya helikopter yake.

Tanga mji mzima wanaemtegemea B. W. Mkapa.

Shinyanga mji mzima wanawamtegemea watu watatu tuu Phantom, Gaki investment na Fresho kwisha habari...

Tabora nzima wanaemtegemea Mayor Hotel (mzee mnene kishenz hata kutembea kazi)

Bukoba nzima wanaemtegemea yule tajiri mwenye Kaizirege Secondary.

Morogoro nzima wanaemtegemea Abood.

Kifupi matajiri wa mikoani ni wa kuokoteza.

Njooni jijini Dar muone mapedeshee walivo jazana.
Hapo nyehunge umedanganya aliekufa kwenye baiskel ni lushanga mjomba
 
i wonder!.. Bilionea anapanda private jet bwana! I think hawajui maana ya bilionea!..
Hata mimi nauwezo wa kupanda jet lakini natumia gari ndogo au bus..nauwezo wa hapa mjini nikala Tilapia Hotel,Malaika Hotel lakini nakula kwa mama ntilie chakula fresh kisichowekwa kwenye kipozeo kikaharibika.uamuavyo kuishi ndivyo utakavyoishi
 
Mwanza nzima tajiri wanaemtegemea ni Kishimba peke yake yule mwenye gorofa pale karibu na soko kuu upande wa juu kidogo karibu na dadadala (vipanya) vya kwenda Nyegezi.
Huyo ndio pekee aliyebaki baada ya Nyehunge kufariki kwa kugongwa na basi akiwa kwenye Basikeli.

Arusha nao walikua wanaemtegemea tajiri mmoja tuu... Yule bilionea alikufa kwenye ajali ya helikopter yake.

Tanga mji mzima wanaemtegemea B. W. Mkapa.

Shinyanga mji mzima wanawamtegemea watu watatu tuu Phantom, Gaki investment na Fresho kwisha habari...

Tabora nzima wanaemtegemea Mayor Hotel (mzee mnene kishenz hata kutembea kazi)

Bukoba nzima wanaemtegemea yule tajiri mwenye Kaizirege Secondary.

Morogoro nzima wanaemtegemea Abood.

Kifupi matajiri wa mikoani ni wa kuokoteza.

Njooni jijini Dar muone mapedeshee walivo jazana.

Wewe kama siyo mtoto ni mshamba! hivyo tu basi

Wanalipa kodi?

Wanalipa mkuu

Jaribu kuficha uongo wako. Phantom na gaki ni watu wawili tofauti. Gaki investment ni ya mchaga anayeitwa GAsper KIleo. Kachuku ga na ki. Phantom ni ya shombeshombe pamoja na kuchanganya huko bado kuna vibopa kama jambo, ndegesela, fresho n. k. Halafu elewa siyo matajiri wote wanaopenda kujionyesha kama dar walivyo. Arusha kuna kaburu(kibo), sanje, abbas, moshi kuna zara, asante n. k

Achana nao hawa ni matrilionea.yaani mabilionea wa dolari.hawa wanawaongelea mabilionea wa madafu
 
Unapotaja matajiri wa Mwanza kwa haraka haraka watu wengi mawazo yao yanaenda Capri Point,lkn kuna mtaa wa Mwananchi ambao una matajiri wengi ambao wanapenda Low profile,mtaa huu uko pembeni ya stendi ya Buzuruga una mabilionea wanaokadiliwa kufika 54 na hivyo kuufanya kuwa moja ya mitaa michache sana yenye bilionares per sq km kubwa nchini.
Baadhi ya bilionea hao ni Fortes, waarabu wa Nyehunge, Ngassa, Mluga/mruga (ndg wa Gachuma) ,Baraka,Njiwa Pori, Lunara, CF builders, yusuph golds, Shilinde, (Zakaria, Midimu, Kitana, nk hawa wana nyumba zao Huko)
Now you know
Mkuu hivi Dr.Chogo bado yupo pale kwenye kona jirani na maghorofa ya NSSF?
 
Back
Top Bottom