Mwananchi: Mahujaji Tanzania Hatarini kuzuiwa kwenda Hijja Saud Arabia

Hakuna cha diplomasia, na tunataka Magufuli aingilie na serikali wala ubalozi usihusishwe na hili.

Lipeni madeni, wezi wakubwa.
Umesema vema. Mahujaji wanalipa fedha, hizi taasisi wanapeleka wapi hizi fedha? Au nazo zinafanya ufisadi.
Sijawahi kusikia mahujaji ambao wanaenda hija bila kulipa.
 
Wa Saudia waache uonevu hilo deni n Dogo sanaa..afu nchi yetu n masikin watusamehe tu Hilo denii. ..
 
wasaudia wenyewe nao wameyasabisha haya yote kwa nini wanawapatia ama kuwapokea watu bila masharti kukamilika

hivi hata kwenye ndege wanasafiri halafu nauli baadae?

na hawa bakwata kumbe hawaishii kwenye kuuza waqfu tu hata huko wamo?
 
Bakwata ni rafiki wa makonda nadhani leo hii hii atawalipia Deni lote.
Mi bado sijaelewa hapo inayo daiwa ni taasisi za dini au ni selikari na kama ni taasisi za dini kwanini wadaiwe wakati mahujaji wanapo taka kwenda hija hua wanatanguliza malipo kabla ya safari tena malipo yote ikiwa pamoja na chakula na mahema
 
Wa Saudia waache uonevu hilo deni n Dogo sanaa..afu nchi yetu n masikin watusamehe tu Hilo denii. ..
Wasamehe vipi? Tatizo Mahujaji Wa Tanzania wamelipa hiyo hela kwenye hizo Taasisi.

Tatizo hizo Taasisi ndio wao hawakuilipa Saudia.

Yani Sio kuwa Hela haikuwepo bali kuna uwezekano ilipigwa na wajanja
 
Hakuna Hujaj anaedaiwa, kama hauna uwezo umepewa exemption ya kutokuhiji. Wanaodaiwa ni hizo taasisi, zinakusanya fedha na hazilipi huko.

Kwanza kama kweli, Magufuli akamate wote watumbuliwe bila kuwaonea aibu, ni wezi tu. Wanaibisha Waislam wa Tanzania kwa taaa zao za kijinga, watafutwe wote wafilisiwe na fedha ilipwe Saudi Arabia.

Tunawaona humu wanaendesha maari makubwa, makubwa, wanaoa wake wanne wanne, wanajenga majumba ya kifahari kube ni fedha za Waislam.

Kama hauna uwezo umepewa exemption ya kutokuhiji.
taaa = taasisi
maari = magari
kube = kumbe

Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mi bado sijaelewa hapo inayo daiwa ni taasisi za dini au ni selikari na kama ni taasisi za dini kwanini wadaiwe wakati mahujaji wanapo taka kwenda hija hua wanatanguliza malipo kabla ya safari tena malipo yote ikiwa pamoja na chakula na mahema
Wanaodaiwa ni Hizo Taasisi zilizotajwa hapo zonazojishughulisha na Hijja na sio Serekali.
 
Wasamehe vipi? Tatizo Mahujaji Wa Tanzania wamelipa hiyo hela kwenye hizo Taasisi.

Tatizo hizo Taasisi ndio wao hawakuilipa Saudia.

Yani Sio kuwa Hela haikuwepo bali kuna uwezekano ilipigwa na wajanja
But brother hiyo n pesa ndogo sana kwa nchi ya saudia. . Uwamuz wao n mkubwa sanaa..
 
Lengo la Saudia ni kukomesha tabia ya watu kuchukua pesa za Mahujaji na kuzila kifisadi

Hata kama ingekua laki moja ndio uile? Mwenzako kahangaika miaka nenda kudunduliza pesa ya Hijja kisha wewe unaikwapua kiholela? Kisha utegemee kusamehewa na Saudia?
 
Hakuna Hujaj anaedaiwa, kama hauna uwezo umepewa exemption ya kutokuhiji. Wanaodaiwa ni hizo taasisi, zinakusanya fedha na hazilipi huko.

Kwanza kama kweli, Magufuli akamate wote watumbuliwe bila kuwaonea aibu, ni wezi tu. Wanaibisha Waislam wa Tanzania kwa taaa zao za kijinga, watafutwe wote wafilisiwe na fedha ilipwe Saudi Arabia.

Tunawaona humu wanaendesha maari makubwa, makubwa, wanaoa wake wanne wanne, wanajenga majumba ya kifahari kube ni fedha za Waislam.

Kama hauna uwezo umepewa exemption ya kutokuhiji.

Mkuu vipi tena - "kwa taa zao",
"maari makubwa",
"kube ni fedha"
Mtu anaweza kudhani umeamka na viroba kichwani mkuu.
 
taaa = taasisi
maari = magari
kube = kumbe

Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?

Waliosomea ujinga ni wale wanaochanganya R na L.

Hapo ni keyboard yangu tu inakwama kwenye "M" mpaka niishindilie kisawasawa.
 
Back
Top Bottom