Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,493
- 96,062
Ndio nini sasa weweAaaah jaman
Ndio nini sasa weweAaaah jaman
Hujasoma maelezo yote.Dereva ataonaje kitu wakati alikuwa kalala na wote waliokuwa kwenye gari walilala.Gari ilikuwa inajiendesha.duuh!! lazima dere aliona jini mbele akaingiza gari porini
Angalizo: Ukiwa unaendesha gari usiku na ukaona kitu chochote kimetokea mbele yako ktk mazingira tata usikanyage breki wala usikunje kona we lenga pale pale kilipo/alipo
Mkuu Tunda Man mzima,Aliyefariki anaitwa Man KATUZO.REST IN PEACE TUNDAMAN
Mkuu kafanya makusudi huyo achana nae.Mkuu Tunda Man mzima,Aliyefariki anaitwa Man KATUZO.
Yaani ukishapita tu mafinga kama unaelekea mbeya kuna mashimo balaaa,yaani nimepita juzi na mvua zinapiga yaani ni balaaa,mahandaki ya kutosha.
Kuna na ile sehem wanakaa trafic mpkn mwa njombe na mbeya,aisee ni mashimo tu.
Ulevi ndio chimbuko la ajali nyingi!
tatizo bange zinawasumbua..huwezi fanya ujinga wa namna hiyoMkuu ulevi changanya na kukosa kulala ni hatari, watu wamepiga show usiku kucha halafu usiku huohuo mnaanzisha safari unategemea nini.!?
YesMkuu Tunda Man mzima,Aliyefariki anaitwa Man KATUZO.
Angechelewa kufika Dar kwa sababu hayo mabasi yanaondoka saa 12 asubuhi, wao unaona wameondoka saa 10 alfajiri, aidha, ukumbuke kuwa kwa kuwa walikuwa na show, huenda imemalizika saa 9 hivyo, huenda hawakupata muda wa kulala. Halafu utasikia watu wanasema, hiyo ni Kazi ya Mungu !!! Hakuna kazi ya Mungu hapo, bali hiyo ni kazi ya hao wenyewe. Tujifunze kupitia kwa makosa ya wengine.Hivi angetumia bus - rungwe, New forces etc ingekuwaje?
Upo sahihi,Angechelewa kufika Dar kwa sababu hayo mabasi yanaondoka saa 12 asubuhi, wao unaona wameondoka saa 10 alfajiri, aidha, ukumbuke kuwa kwa kuwa walikuwa na show, huenda imemalizika saa 9 hivyo, huenda hawakupata muda wa kulala. Halafu utasikia watu wanasema, hiyo ni Kazi ya Mungu !!! Hakuna kazi ya Mungu hapo, bali hiyo ni kazi ya hao wenyewe. Tujifunze kupitia kwa makosa ya wengine.