Mwanamke niliyemchukua bar usiku kanifanya vibaya

Rudi apo kwa uyo kuadi wako umtafute wanajuana awezi kumpa mtu dili asie mjua maana uwa wanatoana ukimkosa uyo uwezi mpata maaana malaya wa 'Picnic Pub na shivas waki haribu wana kimbilia mpakani namanga
 
Daah..pole sana mkuu,kabla ujafikia wamuz wa kuopoa ungetakiwa ujiulize ni kwanini kila basi/lori yanayotoka arusha kwenda mikoa mingine hukaguliwa na polisi njia nzima? Bora ww kakuachia cm wengine wanajikuta wameachwa na boxer tu.
 
Ukome usikute mkeo hata out hujawahi mtoa
Mfate yule muhudumu akutafutie huyu mwizi wako
 
Back
Top Bottom