Inaonekna hutoagi sadaka kanisani /msikitini kuwa mpole
Habarin ndugu zangu.
Jana April 13,2017 niliwah hapa Arusha, nikaamua kujisogeza kidogo 'Picnic Pub' kwa ajili ya kupata moja moto, moja baridi. Huku nikiangalia mpira taratibu.
Basi kukawa na mhudumu mmoja mwenyeji wa Karatu,anaitwa Emmy akawa ndo mhudumu wangu.Nikienda msalani,analinda simu zangu na pombe kwenye glass.Maisha yakawa yanaenda vzr tu huku mijadala mbalimbali hasa swala la Daudi Bashite likiwa haliwatoki watu midomoni.
Usiku mnene ukaingia.Basi nikamwambia yule mhudumu (rafiki yangu) ajaribu kuniangalizia mtoto mkali wa kiMbulu akanipe raha.Na alifanya hivyo.
Walipofunga hiyo Pub, tukahamia Shivas kunywa kidogo ili twende tukalale.Nikajichanganya nikaagiza Konyagi kubwa (JIBAPA) ili nipate msukumo zaidi kitandani.Actually huwa nafanya hivyo.Tulimaliza hapo tukaenda kulala.
Nakumbuka kwa mbali sana kwamba nilifika Hotelini niliwa nae lakn sikumbuki kilichoendelea.Nilikuwa na TZS 600,000,simu 2 na iPad....kabeba vyote nimebakiwa na hii simu 1 tu na ndo naamka, njaa imenibana, nina kiu mno ya vitu vya sukari vya baridiii,sina hata 100.
Jina lake silikumbuki na namba yake sina ,hatukupeana.
Naombeni ushauri na msaada. Kwa sasa nipo stand ya mabasi Arusha.
Asanteni
jifunzeni na mbadilike
Tafuta sehemu tulivu mbali na watu uchukue fimbo ujicharaze kwa kutokuwa makini katika kujilinda na kulinda mali zakoHabarin ndugu zangu.