Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe

Mume na anaetembea nae wote hawana akili, kwahiyo ukiamua kuingia kwenye huo ujinga wao nawe si unakuwa hauna akili!!

Haya mambo bwana mi sitakagi hata kuyawaza maana chaaaah!!!
Ha ha ha eti hutaki kuyawaza, ni kuomba Mungu ilo jaribu lisiwepo.
 
Hapo haujampata, ukimpata si ndio nitaitwa polisi kila siku nitoe dhamana!! Yaani nakuacha huko wiki kabisa hata kui namwambia akuache kwanza hasira ziishe ndio tuje tukudhamini.
Haha enzi hizo ndo unanikuta wito wa ndoa umeniingia haswa, nakupigia tu "muache tu azurule, akizeeka na kufulia atarudi tu, all men cheat, me sijali" mtcheew. Yani ukiniona tu nawaza hivyo, nifunge kamba fasta kanisani teh

Usijekuta nimemfyatua stuli ya kwenye nanhii, iteguke tu apumzike kazi haha
 
Hahaha!, utatia mtu kilema wallah. Hawa watu ni kwenda nao sambamba.
 
mkuu sikiliza ni jukumu la mke na mume kulindana kama unaona kuna dalili za mtu kuchepuka kwa nini usianze kumchokonoa embu msitutie wazimu kabisa.. mnegejua wanawake tunavyochepuka tukiwachoka mngefunga midomo yenu .. unazubutu kabisa kuinua kibezi eti kihere here chetu si uache kuoa kama unajiona kimbolo dinda kila uke uingize,.. kuna magonjwa kibao mnataka kutuletea magonjwa ya aibu kisa starehe zenu na bado tutawafungia gps kabisa .. unaona huwezi kutuliza kidudu hicho achana na maswala ya ndoa.... nyie ndiyo mnazalisha watoto wa mitaani na yatima jinga sana.. nani alikuambia kukojoa inatofautiana ? nikusikie tena tena omba msamaha
Ngoja ninywe bia kwanza nipate sitimu nitakuja
 
Wine/dompo inafanyakazi
 
Sijui kwanini huwa nahisi mwanamke anaetembea na mume wa mtu akili zake huwa haziko sawa, labda akufiche kama hajaoa. Mwisho wake huwa nini? Maana kwa mwanaume anaejielewa hawezi akamuacha mkewe kwa ajili ya mchepuko.....binafsi siwezi ufanyia vurugu mchepuko wa mume wangu iwapo siku ntakugundua anafanya hivyo ila mwanamke anaefanya vurugu kwa mchepuko katu simshangai ni mume wake ni haki yake.....labda kwa kufanya vurugu anapata haueni......mwisho wa yote chanzo ni mume kutotulia na mkewe.
Kwa mara ya kwanza nalike coment ako
 
Hata mimi sisupport mke kuivaa michepuko, but again kila mtu ana njia yake ya kureact, na siwezi kumzuia mke, akikupopoa na chupa ni sawa tu pia. Nafikiri kabla ya kufika kote huko ushauri mzuri kwa yule binti ni kwamba "usitembee na mume wa mtu" period.

Teh michepuko have nothing to lose, who lied to you? Wengine wana majuto milele, pata tu muda wakusimulie + hakuna kitu kibaya kama losing your sense and self worth (kuwa second best)
Daah umeongea kwa hisia fulani
 
1. Ni vyema kabisa wanawake wadeal na waume zao wanaochepuka. But again usitegemee kila mke areact hivyo, kuna atakayekutoboa macho, kukuchana viwembe au kukukalisha kwenye chupa, kukupiga kipapai au akufanye vyovyote. Yes anaweza kushtakiwa but usisahau damage itakuwa imeshatokea. So ukijisikia kuvaa kofia ya "mchepuko" kwa sifa, jiandae kwa lolote. Usimpangie adhabu Le nyumba kubwa

2. Hakuna mtu anayelazimishwa ndoa. Huyo mwanaume Kwa utashi wake, katoa mahari, kaapa kiapo cha ndoa kwa Imani yake, kama alikuwa hataki angekataa yote hayo. Hana mtindio wa ubongo useme alitolewa mahari au kulishwa maneno

3. Ulitaka mke asimchunguze mumewe, akamchunguze mume wa jirani yake au? Kama mume mwenyewe hasomeki, si lazima mtu ajimwage uwanjani kujua kulikoni. Mnataka watu wasichunguze waume zao ili muendelee kuganda waume wa wenzenu, kwendreeeeeeeeni. Afu mnahisi kila mwanaume anayechepuka ni kwa sababu ya kero za mkewe, mabichwa yanakua hayoo, mnahisi nyie ndo wa maana, kalagabaho

5. Michepuko kwa kuhalalisha uchepukaji hawajambo, oooh eti ooh "hakuna mume wa peke yako" huku wenyewe kutwa kuchwa kuomba na kupuliza wapate waume zao wenyewe mtcheew. Kama huna mume wako kama HS hapa kitulize tu. Kutamani tu nyumba za wenzetu zivunjike ili wote tuwe sawa, tukome na tena tukomazike kabisa

Ok byeee
Ha haa ni wewe kweli?
 
Hehe ni mimi wa kila siku Vale, nimebadilika ka nini?
Naona umetoa ya moyoni mama...

Hii mambo ya kusema mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe upande mwingine unawapa kiburi hii michepuko...

Wengine wanajiona kumpata mume wamtu ndo washafika hivo yani... Kwamba maza haus kashindwa kusimamia show mpaka mume wamtu kumfanya kipoozeo chake.

Asijue mara nyingi ni tamaa tu ya mwanaume kutoridhika...
 
Wamezidi bana, jitu second option afu ngebe kibao, ujinga tu. Yani mchepuko unahisi wenyewe ndo "dream woman", mke ana mapungufu, sio kwa wanaume zetu hawa ambao "kucheat ni nature yao". Sema wake zao wenyewe washajikatia tamaa wanawaendekeza tu "all men cheat", ila still akisikia mume ana mchepuko anadondoka presha au anaenda kupigana, while ashakubali kuwa cheating ni lazima teh

espy alishasema na yeye "mwanaume mpumbavu, hujisababishia kifo chake mwenyewe"
 
Back
Top Bottom