Tamama
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 887
- 1,106
- Thread starter
- #41
Basi mama punguza povu khaaa mana kama ndio ushamjua mchepuko wa mumeo me nimeleta mada tu nisogeze foleniHata mimi sisupport mke kuivaa michepuko, but again kila mtu ana njia yake ya kureact, na siwezi kumzuia mke, akikupopoa na chupa ni sawa tu pia. Nafikiri kabla ya kufika kote huko ushauri mzuri kwa yule binti ni kwamba "usitembee na mume wa mtu" period.
Teh michepuko have nothing to lose, who lied to you? Wengine wana majuto milele, pata tu muda wakusimulie + hakuna kitu kibaya kama losing your sense and self worth (kuwa second best)
Punguza iyo mood, nikuhudumie kinywaji gani