Termux
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 429
- 1,030
Habari JF
Naona hivi visa vya mapenzi sasa vinakuwa vingi na vijana wengi wanapoteza maisha yao na ya wenzao kisa mapenzi
Naomba nisisitize tena, mchumba, mpenzi hasomeshwi. Labda kidogo kama kawa mke wako na usitumie sana nguvu pia maana mnaweza pia mkaachana kwa iyo iyo elimu ulio mpa.
Asilimia kubwa sana ya wasichana wakipata kipato kukuzidi wewe ana asilimia kubwa ya kumpoteza.
Nimekutana na mkasa mmoja hivi ikabidi nije huku JF pia kwa kushare na watu wengine kuhusu vijana wanavyo jingiza katika maisha mabovu kwa kujitakia na mwishoe kupoteza maisha au kuwapotesa wenzi wao maisha.
Baada ya kijana kukutana na mpenzi wake toka akiwa anasoma kidato cha 3 na yeye akiwa anasoma form 5 katika shuke hiyo ya mchanganyiko, walianza mausiano ya kishule mpaka pale jamaa alipo faulu na kuanza chuo pale Mlimani city.
Jamaa akiwa katika mwaka wa kwanza na binti akiwa form 5, jamaa kipindi yupo chuo alipata bahati ya kazi ambayo ni ya masaa. Kila siku akitoka chuo anapitia kazini kwa kupata kitu chochote kwa ajili yake na msichana wake ambae ni mwanafuzi bado.
Kwa bahati mbaya au nzuri kijana ndio anahudumia familia ya uyo binti nyumbani na kumuhudumia uyo binti pesa za hostel na pesa za shule kila week. Mapenzi yalinoga na kwao binti wanampenda sana kijana na wana wasiliana kama kawaida ya maisha yanavyokuwa. Maana hii inaitwa kakabidhiwa mtoto kabla ajakumaliza shule.
Baada ya binti kuingia form 6 na kumaliza shule alipangiwa UDOM dodoma kwa kuendelea na masomo ya chuo. Binti yupo mwaka wa kwanza na jamaa yupo anamalizia chuo hapa mlimani city yupo mwaka wa mwisho.
Anasema anaona binti kaanza kubadilika sana toka aanze udom, na kitu ambacho kinamuuma zaidi ni kalipa mpaka posa ukweni. Sasa ajui atafanya nn au afanye nini kuhusu uyu binti maana anasema anampenda sana na alitumia sana mda wake kwa kuwekeza pesa kwa binti.
Anasme week hii sasa mwanamke ajamtafuta na namba zake azipatikani, kaenda kwao na kushtaki ila anona kama familia imekuwa nzito sana kwa malalamiko yake kuhusu binti yao.
Pesa ishariwa na bado jamaa alowanunulia familia boda boda kwa kujikimu na vitu vingi kawafanyia ila shida inakuja binti kabadilika baada ya kufika udom.
Anasema nyumba ya ukweni ilikuwa mbovu now imepigwa rangi na imekuwa ya kishua kuanzia ndani mpaka nje, je kuna boss mwengine katokea na kumwaga kibunda katika familia?
Maana kijana bado anajiuliza maswali mengi sana bila ya kuoata majibu.
Leo anasema alienda ukweni anaona mpaka interior vitu kubadilika flat tv inch 55 samsung OG, fridge na masofa ya bei sana kayakuta ndani mpaka akashindwa kukaa akaamua kuondoka.
Nyumba imepigwa frensi ya garama na wameweka ulinzi wa umeme. Hii inampa kijana wasiwasi sana maana hii familia anaijua mda mrefu sana. Maana ilikuwa ya singel mama na mama ni mtu mzima.
Ushauri:
Mimi nimemshauri kijana ajiweke bize na kazi zake sana, awe bize na maisha yake sana, asimfikilie sana uyo binti na ajipange kwa lolote litakalo kuja mbele yako.
Ila inasikitisha sana hili jambo nguvu yote alii tumia kijana angejiwekea mwenyewe nadhani angekuwa mbali sana kwa sasa.
Mtoto wa kike hasomeshwi anasomeswa na familia yake tu. Ange jitaidi kumpa huduma za kawaida kama mtu na mtu wake tu sio kupitiliza kiasi hicho mpaka kapewa chumba ukweni 😂😂
Kwa hapa tu jinsi hili tukio kwa mimi nnavyo liona kijana kapigwa na kitu kizito itabidi ajipange sana kisaikologia maana litamtesa nasa. Na asipokuwa makini ataishia jera.
Wito
Vijana furahia maisha yako maana yakienda ayarudi. Achana na habari za mahaba niuwe mwisho wake ni mbaya sana. Wadada wa sasa macho yote yapo katika pochi lako tu akuna jengine zaidi ya pesa. PESA PESA
Maoni yenu wadau wa JF kwa kijana wetu maana ndo nguvu kazi hii ya kesho
#usisomeshe mtoto wa mtu