kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,696
- 20,627
Sisomagi izo hadithi mimiKasome biblia agano jipya kitabu cha matendo

No 2
Au nitoe sababu?
SawaShem twende sawa
Taja namba
Ukimaliza uje huku MHESHIMIWA RAISI NAOMBA UNICHAGUE NA MIMI BASI ...SINA AJIRA MWAKA WA 6 SASA
Ni swali rahisi tu wala usijifanye hauelewi
Wewe kama Mwanaume (Kidume/ Rijali)
Ungependa uoe Mwanamke was aina Gani Kati ya hawa 3?!
1. Mwanamke mpole, sio bikra, mnyenyekevu, mkimya, ukimtukana hajibu, akikuona unakuja anakukimbilia kukupokea mzigo uliobeba, anampenda Mungu, mtulivu, Introvert, kila ukimpa idea anasema ndio bwana upo sawa bwana, hachangii maendeleo anakuachia kila kitu ufanye Wewe, changamoto za maisha zikija anakukimbilia Wewe, elimu chuo kikuu
2. Mwanamke Mjanja, aggressive, sio bikra, fighter, mchapakazi, changamoto za maisha zikija anazimaliza mwenyewe alafu anakupa mrejesho, anachangia maendeleo mwanzo mwisho, sio mpole (mwongeaji), ana akili (smart), anampenda Mungu, elimu chuo kikuu
3. Mkimya, sio mwongeaji, ana bikra, changamoto za maisha zikija anachangia ila 70% anakuachia mume, ndio bwana madizaini, elimu chuo kikuu
4. SICHAGUI HATA M1 UTAKAEMCHAGUA
Kuwa mkweli Mwanamke yupi Kati ya hao 3 utamuwowa?!
Au wewe chaguo lako ni no 4?!
nishaajiriwa na babyBasi Njoo huku tuombe ajira MHESHIMIWA RAISI NAOMBA UNICHAGUE NA MIMI BASI ...SINA AJIRA MWAKA WA 6 SASA
DuuhNi swali rahisi tu wala usijifanye hauelewi
Wewe kama Mwanaume (Kidume/ Rijali)
Ungependa uoe Mwanamke was aina Gani Kati ya hawa 3?!
1. Mwanamke mpole, sio bikra, mnyenyekevu, mkimya, ukimtukana hajibu, akikuona unakuja anakukimbilia kukupokea mzigo uliobeba, anampenda Mungu, mtulivu, Introvert, kila ukimpa idea anasema ndio bwana upo sawa bwana, hachangii maendeleo anakuachia kila kitu ufanye Wewe, changamoto za maisha zikija anakukimbilia Wewe, elimu chuo kikuu
2. Mwanamke Mjanja, aggressive, sio bikra, fighter, mchapakazi, changamoto za maisha zikija anazimaliza mwenyewe alafu anakupa mrejesho, anachangia maendeleo mwanzo mwisho, sio mpole (mwongeaji), ana akili (smart), anampenda Mungu, elimu chuo kikuu
3. Mkimya, sio mwongeaji, ana bikra, changamoto za maisha zikija anachangia ila 70% anakuachia mume, ndio bwana madizaini, elimu chuo kikuu
4. SICHAGUI HATA M1 UTAKAEMCHAGUA
Kuwa mkweli Mwanamke yupi Kati ya hao 3 utamuwowa?!
Au wewe chaguo lako ni no 4?!
labda umuumbe wewe sasa!Mwenye ' Mbunye ' ambayo nikichungulia kutokea Tegeta Nyuki naiona kwa mbali Mbagala Kizuiani.
HATAREEKidogo anayekaribia no 4
WE KWANI NI BIKRA MPAKA UTAFUTE BIKRA?Bikra Kwanza mambo mengine yafuate bila hiyo mwanamke Siwezi kumuamini
Tisher sanaNick minaj