Mkalukungone mwamba
Member
- Aug 29, 2022
- 75
- 149
Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye
Twende kazi wadau na maoni yenu
Twende kazi wadau na maoni yenu
mapenzi yana washika dau, ndoa ni tasisi kama ilivyo tasisi ya uraisi, namba moja kabisa ni wazazi wa pande zote mbiliMapenzi ni ya watu wawili, mtu wa tatu ni shetani
Sahihi kabisaMpaka wazazi wanamkataa jua kuna mahali umeshakosea.
Mara chache sana hutokea wazazi kukataa mtu bila sababu ya msingi.
Tena bora mama pekee akatae ila ukishaona baba amekataa ujue kuna kitu kizito ameona utaenda kupigwa
siyo lazima, mara nyingi inakuwa hawapendi kwa vile labda hukuwashirikisha tangu awali, au kabila tafauti, dini tafauti, kipato tafauti - vingi ni visababu visivyokuwa na mashiko ila ni khuluka ya binadamu tu.Mpaka wazazi wanamkataa jua kuna mahali umeshakosea.
Mara chache sana hutokea wazazi kukataa mtu bila sababu ya msingi.
Tena bora mama pekee akatae ila ukishaona baba amekataa ujue kuna kitu kizito ameona utaenda kupigwa
Kama kuna mtu anayeongezeka hapo basi hayo siyo mapenzi tena ni biashara, ndio maana NDOA nyingi hazidumu kutokana na msukumo WA watu wa nje. NDOA siyo biasharamapenzi yana washika dau, ndoa ni tasisi kama ilivyo tasisi ya uraisi, namba moja kabisa ni wazazi wa pande zote mbili
tujifunze kutoka watu wa zamani