Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mimi nadhani wote ni malaya mnaoingia huko. Mtu hawezi kujileta tu bila wewee kumchokoza. Mimi nadhani kama hunania mbaya hakuna mtu atakae kuomba. Mimi nadhani malaya mkubwa ni weee mwanaume unaeanza kujiongelesha tena unaanza kumuelekeza mwenzako jinsi ya kufanya umalaya. Wanaume wa badoo ni malaya sana. Hakuna mwenye afadhali.
 
Ndiko nyapu iliko nadhamani, huko kwenu si mnahonga sukari tu nusu kilo tayari umepata nyapu, au kwenda kumsaidia kulima shambani.

Kumbe na wewe ni yule mwanaume wa Dar unaeshindia chips na kujidai NYAPU ghali!
Sio Ghali mzee ni kwamba dem anaona bora akupe kwa ghali maana unamchafua tuu... Njoo kwetu dem akiingia ataki kutoka.
Ila sio kwa silesi 2 za mkate na chips yai yenye tomato man... #Hahahaa
 
Nilijiunga huko na kujitoa baada ya siku nne, wasomi wengi wanauza nyuch huko. Mbaya zaidi niliunstall app lkn meseji kupitia email yangu zinazidi kutililika eti nanihii anataka kuchati na wewe!!! Mazafak
HAHAHA NANIHI ANATAKA KU CHAT NA WEWE MAZAFANTA HAHAHA
 
Kumbe na wewe ni yule mwanaume wa Dar unaeshindia chips na kujidai NYAPU ghali!
Sio Ghali mzee ni kwamba dem anaona bora akupe kwa ghali maana unamchafua tuu... Njoo kwetu dem akiingia ataki kutoka.
Ila sio kwa silesi 2 za mkate na chips yai yenye tomato man... #Hahahaa
Mimi sababu nina familia gharama za chipis siziwezi, ila usibeze mla chipsi Mlo mmoja wa Chips inagharimu huko kwenu ni mlo wa siku mzima wa familia, mfano: Chipsi mishikaki mitatu na soda moja chipsi mishikaki mitatu Tsh. 4500 +soda Tsh. 700 jumla Tsh.5200 chips nyama mbuzi nyama Tsh.4,000 + chipsi = na Tsh. 5500. Chipsi Tsh.3500 hadi 5500, Msibeze mla chipsi maana mlo wake wa siku kwangu ni siku mbili.
 
Mbona rahisi tu mkuu, jiunge, andika jinsia ya watu unaowataka na miaka yao kwa uwiano,mfano kuanzia 18 hadi unayotaka mwenyewe, ruhusu huo mtandao usome eneo ulilopo ili ukuletee warembo walio karibu na wewe.

NJia ya kwanza rahisi ni kulike kila picha ya mrembo aliekuvutia, akilike back mnaweza chat na mkahamia kwenye whatsapp na meseji za kawaida baada ya kubadilishana namba za simu.

NJia ya pili unalipia kiasi flani kwa muda flani hapo unapewa haki ya kumtumia meseji yeyote unaemtaka, akijib mkachat mkakubaliana mnatoka kwenye mtandao mnahamia kitandani.



Uwiiiiiiiiii kweli hii mitandao ni shida khaaaa
Duuuh hakika ni shida kabisa
 
Back
Top Bottom