Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Jamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa,siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana,nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
mimi nina miaka miwili nipo huko mbona sijaona hao malaya,haiwezekani mtu unachokoza watu huko alafu ukiombwa hela unakimbilia huku kulalamika,yaani hawezi kukuomba kama hakuna series flan ya maongezi.
 
Jichunguze sana,kama hupati demu huko,sasa kule kuna nini zaidi ya kuchati na unknown person?
 
59d877573fecd09b40c853dde57130d9.jpg
Akili za wanawake wa badoo ni kama huyu
 
kwa kweli ule mtandao umenishinda.huko kuna mambo hayafai kabisa, Na mtandao mwingine ni ,,HI CHAT.hainaga adabu kabisa hii mitandao.Kama mwenzi wako yupo huko.muangalie Mara 3tatu
 
Nani kakwambia mauza uza ya US yapo New York???

**** mji unaitwa new Orleans acha kabisa huko ni hatari

Hahahahahaaha mkuu angalia typing errors itakuletea matatizo makubwa..... unaona badala ya kuandika 'kuna' umeandika cha ajabu hadi jf ikaogopa
 
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa,siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana,nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
we ushajitoa,?!
 
Back
Top Bottom