Tengenezeni kwanza mazingira ya AMANI mtaipata amaniTunataka amani, pesa tutatafuta wenyewe!
Pole mzeeMy late wife
Aliyemtoa bikra gan Kwan yaa mbele au backta coz wa backta ndio wahongaji wa pesa ndefu
nilitaka kushangaa umrkuwa ke toka lini ila umejibu kama ke uwe makiniMi male jamaa!
namkumbuka yule alikuwa ananipa pesa bila kuuliza uliza sema nilimuacha alikuwa na wivu sana halafu hapendi nipate kabia
Hapana aisee ulizidi....sasakama mtu anakuhudumia kwaniniasikuonee wivu
Afu na huyo mwanamke ni mfupi au mrefuUnaulizia mwanamke wa kizungu au wa kiafrica
Lkn mkuu wametoka wengine pazito jumba zuri magari anachagua mwenyewe kwa nn aolewe?Mwanamke anapenda sana kulindwa. ulinzi ni pamoja na uhakika wa kuishi yaani vitu kama pesa, nyumba, gari. ..
mengine yatapatikana hata kwa siri.
ofcource si kwamba mwanamme awe impotent nooo! ukimtoa mwanamke kwenye hali mbaya kusema kweli hakusahau labda kichaa au uwe msumari kwake. wangapi wametoa bikra na sasa wamepotezewa