Mwanamke anamkumbuka mwanaume yupi zaidi maishani mwake?

Mwanamke anapenda sana kulindwa. ulinzi ni pamoja na uhakika wa kuishi yaani vitu kama pesa, nyumba, gari. ..
mengine yatapatikana hata kwa siri.
ofcource si kwamba mwanamme awe impotent nooo! ukimtoa mwanamke kwenye hali mbaya kusema kweli hakusahau labda kichaa au uwe msumari kwake. wangapi wametoa bikra na sasa wamepotezewa
 
PESA, PESA, PESA, looooh! hizo Pesa ni kitu tu na tunazitumia ili kueza kuishi lakini hatuishi sababu ya pesa.
Tunaeza pia kuishi vizuri kwa upendo hata bila kuwa na pesa lakini unaeza kuwa na mipesa mingiiiiiii na ukashindwa kuishi kwa amani, upendo na furaha nafsini mwako.

Ok, falsafa inatufundisha kuwa kitu pekee kinachofanya binadamu aishi vizuri ni upendo(AGAPE LOVE) simaanishi hiyo emotional love inayoendeshwa na tamaa/hisia tu za kimwili hapana tafadhari.


Hii ndiyo sababu watu wengi wenye fikra pevu duniani hasa wanaoishi Scandinavian countries wanapenda sana kusaidia wahitaji zaidi ya kitu kingine chochote kile na hakika nani asiyejua wale watu nchi zao zimeendelea sana wanaongoza kwa kuishi vizuri na maisha bora yenye furaha?.
Ni nani hajui hilo, ni nani huyo?


Hivyo binadamu mwenye akili timilifu awe mwanaume au mwanamke hata kwenye mapenzi ni hivyohivyo huwa anamkumbuka zaidi yule anayempenda zaidi yani yuko naye katika shida na taabu.
Utakutana na mtu awe ni mpenzi wako au lah yeye anakupa tu pesa tena kila unapohitaji lakini siku umezidiwa kwa ugojwa kwa mfano na upo naye na wewe washindwa hata kuongea kwa makali ya huo ugonjwa sasa yule nyamihela na mihela yake atakupa pesa kama kawaida na kukuambia wewe si unahitaji pesa mie nawahi sehemu hapa niko bize kidogo.
Uko kwenye hali mbaya na umepoteza fahamu utafanyaje na hayo mahela kama siyo kifo huku unajiona.

PESA SIO KITU CHOCHOTE MBELE YA UTU.

Wengi wameangamia na wanaendelea kuangamia sababu ya kupenda sana pesa, "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa."

Someni falsafa na saikolojia mtaelewa vizuri sana mambo haya lakini kama unafikiri karibu hata hapa huezi nielewa we utaendelea kung'ang'ana pesa pesa shauri yako utakufa wewe..
 
Anamkumbuka Zaid Aliyemfikisha Kilelen Km Hajakutana na alie mfunika!
kwel wanawake wa siku hz wameweka pesa mbele lkn nakuapia km humridhish kwa bed lazima atatafuta wa kumfikisha awe ex ama next!pamoja na kumhonga kote unakomuhonga at some point atamiss mchezo mzuri na utatumia hzo hzo pesa zako kuupata!
 
Back
Top Bottom