Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 8,855
- 21,347
Wanaangamizwa*ati na yeye ana watu wake, hao aliowakusanya wamletee pesa ajenge hoteli. kweli watu wanaaangamia kwa kukosa maarifa.
Wanaangamizwa*ati na yeye ana watu wake, hao aliowakusanya wamletee pesa ajenge hoteli. kweli watu wanaaangamia kwa kukosa maarifa.
Ishu ni kwamba anafanya hivyo ili apate security toka kwa hao ccm.. ikitokea ghafla 2025 upinzani ukashika dola utaona atakavyo badili gia angani..Palipo na mzoga ndipo hukusanyika tai.... CCM ni mzoga na akina Mwamposa ndio tai wenyewe! Sijawai ona mnyakyusa mpumbavu na hayawani kama yeye. Muda ni hakimu wa yote.
MamaSamia2025 Lucas Mwashambwa ChoiceVariableTAPELI MWAMBOSSA anatoa MAAGIZO kwa manyumbu yake.
Cc: Nyani Ngabu min -me mshamba_hachekwi Lamomy mimiamadiwenani
Huyu ni mchonganishi sana. soon atatokea shehe naye ataelekeza watu wapigie cuf. atakuja mchungaji ambaye hamkubali mwamposa atataka aongee kumkosoa na kuelekeza watu wampigie fulani, analeta fujo tu, shida ni shule na exposure. ukipata pesa za kitapeli wakati hukutarajia unajiona kama mkuuubwa. yaani yeye ndiye wa kuamulia watanzania hatima zao? hadi wasomi kabisa wanapokea maelekezo toka kwa huyu mnyakyusa tapeli wa dini?
wapentekoste najua wote wanapinga mafundisho ya mwamposa, wakatoliki wanapinga mafundisho yake, walutheran kadhalika. vipi hao nao wakijiunga wakatoa misimamo na maelekezo? yaani yeye kukusanya vile watu anaamini amekusanya watanzania wote? na vipi dini ya kiislam nao wakianza hivyo kuelekeza watu wapigie kuwa yule wanayemtaka? huyu anawaharibia though yeye anafikiri anawasaidia ccm.
Hana cha miujiza yoyoye zaidi ya viinimacho tu na kucheza na akili ndogo za wanadamu. "Miujiza"yake ina maswali na hatathubutu umuulize.Mimi namsubiri siku moja aende hospitali ya Mubimbili na kuwafanyia wagonjwa miujiza na kupona. Ila siyo hao wa mchongo wanaoenda kujitangaza ili kuvutia wajinga wengine.
Ccm na serikali yake vina laaana.AKitokea Shehe au Mchungaji akihamasisha watu wao wakipigie kura chama fulani tofauti na sisiemu ,kesho yake DPP na PoliCCM wanaenda kufungia msikiti na kanisa kwa uchochezi na kesi ya ugaidi au ya uhujumu uchumi juu.
Opposition watambue kwamba sisiemu haiwezi kuondolewa kwa kupiga kura hata siku moja.....Kwasasa sisiemu ni kama wakoloni watumie mbinu alizotumia nyerere kujipatia uhuru ,wamarekani wamemshauri Mu7 2026 asigombee urais ,na hivyo hivyo opposition waende kimataifa kwa wazungu ili waishauri sisiemu iachie madaraka maana kikawaida hawataondoka kwenye sanduku la kura.
HahahaaHana cha miujiza yoyoye zaidi ya viinimacho tu na kucheza na akili ndogo za wanadamu. "Miujiza"yake ina maswali na hatathubutu umuulize.
Zambia 1 sio nyakyusa hio hata kiboko ni Mkongo huyo ni Mzambia akifanya fyoloko anarudishwa mpakani pale aende kwaohuyu mnyakyusa
Sio Mazembe huyo ni Mzambia alielowea Mbeya akauzauza mafuta sheli kidogo pale mpakaniHuyu TP tu
Ova
Ni yesu mtenda miujiza, sema ameeeeNani kamtuma kuja kusema maneno haya