zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
UWT wamemaliza kazi yao,lakini wao sio Mungu,Sasa Tumwombe Mzee Wa misukule Au GWAJIMA aingilie kati kwa Maombi.
we ni daktari zaid ya daktari aliyetoa majibu ya vipimo??Yule ni ugonjwa tu,hakuna cha kupewa sumu wala nini.Ugua pole Mwakyembe
Jamani samahanini,kuuliza sio ujinga.LTK ndo nini?
View attachment 38692
Hapa akiwa na Mkuu wa Kaya baada ya kumtembelea nyumbani kwake Yesterday! Cheki mikono yake!
Asante kwa kutuletea picha ya mwaka juzi wakati Kikwete ameenda Kyela kufungua tawi la SACCOS.
Imesemwa Freemasins wao wanaamini ni lazime watawale na atakayepinga utawala wao watamuondoa na RA ni freemason, hii sasa inaelekea kuthibitisha.