Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,777
- 17,013
Tundu Lisu?????Huku tunakopeleka sasa kwa mwendo huu nahisi iko siku kuna mwanasiasa anaweza kupigwa risasi hadharani
Tundu Lisu?????Huku tunakopeleka sasa kwa mwendo huu nahisi iko siku kuna mwanasiasa anaweza kupigwa risasi hadharani
Na atavuna alichopanda , Mungu hataniwiKwenye huu uzi watu walisympathize na Mwakyembe, lakini yeye ajabu leo hana chembe ya Sympathy kwa Azory Gwanda. So sad
Soon?the centre cannot hold....things falls apart......hii inchi soon italipuka.....
mungu atulinde.....