Mwakyembe augua ghafla Bungeni

Iunganishwe na Chenge, Star TV na uchawi wa kisasa na nyingine zinazofanana ili kuweka mtiririko fasaha
 
Taarifa Ni Kwamba Jana Baada Ya Bunge Kufungwa Jioni Mbunge Moja Aliomba Aingie Achukuwe Kitu Alichosahau Ndani. Camera Za Bunge Zilimnasa Ananyunyiza Dawa Kwenye Viti Vya Watu Na Moja Ya Viti Kilikuwa Ni Cha Mwakyembe. Mimi Sisemi Ndiyo Maana Kaanguka Lakini Mambo Hayo Huwezi Kuyapuuza.


Duhhhhh.....JF imetoka mbali sana. What a memory.....kipindi hicho mwakyembe akiitwa shujaa WA taifa..hahahahahahshaaha
 
Mwakyembe wa kipindi hicho sio huyu wa Leo. Sura yake halisi ilianza kujulikana baada ya JK kumpa u waziri. Msinihoji sana!!
 
Back
Top Bottom