DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kukosa ajira ni swala moja na kupata stahiki zako wakati umepata ajira ni swala jingine kama siyo muhimu basi litolewe uone kama kutakuwa na malalamiko
Si uache kazi? Kwanini ung'ang'anie kudhulumiwa? Au nenda mahakamani kadai haki yako. Miaka MITATU unadai haki yako JF? Mjinga kabisa!!!
 
Pole ndugu,ajira ni aina ya kazi ihusishayo kutumikishwa na kisha kuliwa ujira.Kwa ushauri tu ni kwamba,haki yako idai lakini kuwa makini kwani kumdai sana mwajiri atakuona wewe ni 'cock up' na hivyo unyenyekevu ndiyo silaha ya kuwa mtumwa mzuri.Ukiona unapwaya kwenye unyenyekevu basi jione huna maisha marefu kazini hivyo jipange.
 
Ushauri mzuri sana
 
Dogo tulia hela yako tumeitumia ila usiulize tumeitumiaje
 
Hao watakuzungusha mkuu! Nenda ngazi za juu! Hiyo ni haki yako usikubali iishe kirahisi hivyo! Kama upo chini ya Tamisemi nenda kwa mamlaka za juu! Swala lako litashugulikiwa chap! Pesa ya kujikimu wengine wanapata wiki mbili baada ya kuingia kazini, na hata kama ni kuchelewa haitakiwi izidi miezi 6! Zaidi ya hapo umepigwa ( dont negotiate with robbers) chukua hatua!
 
Ushauri mzuri nitaufanyia kazi
 
Sh ngapi kwani......sisi wafanya wafanyabiashara tukuchangi kijana mwenzetu
 
Ni pesa unayotakiwa kulipwa baada ya kuajiriwa ili uweze kucover gharama za nauli kutoka ulipokuwepo hadi kituo cha kazi pia kuweza kukusaidia maisha pindi unapokuwa unasubiri mshahara
Ni sh ngap
 
Kama kunawanafunzi wa Kike kula utamuu mpaka utakapohisi imeishaa. Ila kama wewe ni Ke ukigawa utamu kwa wanafunzi utapiga hasala maradufuu🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom