Mwaka 2020 ni wa maamuzi magumu kwa jimbo la Kawe

..naheshimu maoni yako.

..lakini sisi wengine we are tired na uonevu wanaofanyiwa wabunge wa upinzani bungeni.

..kwa hiyo vurugu anazofanya Mh.Mdee ni justified.
Tunataka petition kisheria ya kumuondoa Halima.
Kwa sasa vote of no confidence is more than obvious.
 
Ukweli mchungu chadema wakitaka kuweka mgombea Halima wasimrudishe kawe jimbo litakuwa wazi kwa Makonda, Mutta Rwakatare, Angela Kizigha, Hata Dada yetu Sofia mjema atafaa sana
 
Halima ana matatizo ya attitude,ego pia. Wanawake wengi walipo chadema amegombana nao bila sababu za msingi haswa viongozi wenzie wa chini. Nadhani Bhangi anazovuta na kina gosbert zinampeleka resi.
 
Mkuu wewe hukai jimbo la Kawe, wewe ni wale tunawaita bendera hufuata upepo. Nyinyi ndio mnaodeki barabara wakati wa kampeni.

Nalisikitia jimbo la Kawe kwa sababu linanihusu, nahisi aina fulani ya ukakasi kila nikiona kituko baada ya kituko cha huyu dada.
Mkuu hammuwezi Halima, hata agombee nani kawe, labda agombee mama Maria nyerere ndio kidogo tunaweza kufikiria kidogo.tutamchagua mpaka aombe mwenyewe kupumzika
 
Nadhani ni wa maamuzi kwa kila eneo lililoshindwa kufikia matarijio kwa ngazi zote za uongozi bila kujali uvyama. Yeyote aliyekosa kudeliver,aondolewe kwa sanduku la kura.
 
Ninaishi mbezibeach afrikana, sikubaliani kabisa na uonevu dhahiri wanaofanyiwa wabunge wa upinzani na uongozi wa Spika/naibu Spika.
Kimsingi 2020 Mimi binafsi pamoja na familia yangu yote hatutakipigia kura chama cha majambazi
 
Mkuu nalisikitikia jimbo la Kawe, jinsi linavyopoteza heshima kwa kuwa na mbunge asiyejielewa.
Tusimlaumu mbunge wa kawe tuwalaumu zaidi wananchi wake kwa kuguwa mbunge wa mapambio na asiyejiheshimu zaidi ya kulewa sifa za kijinga lkn hio ndo Tanzania yetu wengi wetu hupenda kushabikia mambo ya kipuuzi na kubeza mambo ya maendeleo
 
Kwanza mwondoe bashite halafu ndo tuongee habari nyingine. Au ulitaka kumchagua ndungai?
 
Halima Mdee komaa nao wanataka kuweka bunge la chama kimoja haiwezekani hataaa.....na 2020 najua chama kitapasuka na mtusi wetu atajuta kuwajua watanzania masikini!! Nchi imeenda mrama na imeenda kombo
 
Mkuu wewe hukai jimbo la Kawe, wewe ni wale tunawaita bendera hufuata upepo. Nyinyi ndio mnaodeki barabara wakati wa kampeni.

Nalisikitia jimbo la Kawe kwa sababu linanihusu, nahisi aina fulani ya ukakasi kila nikiona kituko baada ya kituko cha huyu dada.
Muda wa kampeni bado wewe kubwa J!!!mwambie aliyekutuma ameingia pori!unafikiri sisi ni wajinga wa kudanganya kama wewe?mwambie aliyekutuma akagombee kwao huko kwa wafugaji na sio kawe!hatuongozwi na hatutaongozwa na watu washamba washamba sisi
 
Ninaishi mbezibeach afrikana, sikubaliani kabisa na uonevu dhahiri wanaofanyiwa wabunge wa upinzani na uongozi wa Spika/naibu Spika.
Kimsingi 2020 Mimi binafsi pamoja na familia yangu yote hatutakipigia kura chama cha majambazi
Kila siku aonewe Halima Mdee peke yake!!. Ni suala la mtu kuwa na attitude mbovu. Na ajirekebishe kwani idadi ya wanaochoshwa na utoto inazidi kuongezeka.
 
Muda wa kampeni bado wewe kubwa J!!!mwambie aliyekutuma ameingia pori!unafikiri sisi ni wajinga wa kudanganya kama wewe?mwambie aliyekutuma akagombee kwao huko kwa wafugaji na sio kawe!hatuongozwi na hatutaongozwa na watu washamba washamba sisi
Wewe mwenyewe unaweza kuwa mshamba kuliko huyo unayemzungumzia.
 
Back
Top Bottom