mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,936
- 5,300
Kwa lissu walijitokeza wapiga mayowee hivihivi kua hawata mchagua lisu,kilichotokea ni aibu yao.
Tunao ijua kawe tuna wasubiria 2020,2010 walisingizia kua Angel kiziga hakua chaguo la wana ccm wa jimbo la kawe,2015 wakamleta chaguo la kippi warioba nae alipigwa bila huruma.
Utakuta kuna mtu yuko jimbo la bumbuli alafu anasema hatuta mchagua halima mdeee.