Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 13,201
- 28,762
Kuliko Mzee Mbowe?Huyu jamaa ni kweli anakubalika sana kitaa
Aliwananga kuwa ni wafukuzia ruzuku tuHata CHADEMA tu hawamuamini hata kidogo.
Kwakuwa yuko against chama chakoLabda nyumbani kwako unapokaa na kushindaaa kibarazani ukipiga umbeya na udakuu.
Sana tuKuliko Mzee Mbowe?
Hujatulia mwanangu😂Mh.Advocate ni hendsome wale Black American 😍
Umegeuka na kuja na hekaya za sizitaki mbichi hizi ajuza!Sikushangai, huelewi maana ya Republic.
Hata huko TLS kapewa kwa makusudio maalum.
Wajinga ndiyo waliwao.
Kwanza elewa kwanini Tanzania ni Repbic na siyo Democratic, mengine itakuwa myepesi sana kuyaelewa.Umegeuka na kuja na hekaya za sizitaki mbichi hizi ajuza!
Makusudio yapi hayo [hebu yataje]
Nani mnufaika wa makusudio hayo?
Nani ametoa ruhusa hayo makusudio yatekelezwe?
Kwanza elewa kwanini Tanzania ni Repbic na
Kwahiyo Tanzania sio "democratic"siyo Democratic,
Repbic ❌mengine itakuwa myepesi sana kuyaelewa.
Hujajibu swali ajuza.Unataka kusoma form six ilhali hata darasa la nne hujafika?
Mshaanza kumuwangiaMh.Advocate ni hendsome wale Black American 😍
Akigombea ni kweli anaweza kushinda kwa kupata Kura nyingi zaidi ya mgombea wa Ccm, lakini KAMWE hataweza kutangazwa kuwa ndiye mshindi wa Uchaguzi.
Uongo...kampeni za wapinzani zinapaswa kuonyesha kuwa wanakwenda kushinda.
..wapinzani ktk chaguzi nyingi huwa wanafanya kampeni za kuunga-unga.
..wanachotakiwa ni kwenda " bandika-bandua " na Ccm kwa namna wanavyofanya kampeni.
..mara zote Ccm hufanya kampeni kubwa zaidi kuliko wapinzani kwasababu ya kuwa na FEDHA nyingi, na vifaa bora vya kampeni.
..nasisitiza kwamba wapinzani wakiweza kufanya kampeni kubwa kuliko Ccm, na kufika maeneo mengi zaidi, uwezekano wa kushinda upo.
Uongo.
CCM kushinda Uchaguzi au kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania.