Kuelekea 2025 Mwabukusi akigombea Urais 2025 anamshinda Rais Samia. Hata raia wa kawaida wanamkubali achana na Mawakili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sikushangai, huelewi maana ya Republic.

Hata huko TLS kapewa kwa makusudio maalum.

Wajinga ndiyo waliwao.
Umegeuka na kuja na hekaya za sizitaki mbichi hizi ajuza!

Makusudio yapi hayo [hebu yataje]

Nani mnufaika wa makusudio hayo?

Nani ametoa ruhusa hayo makusudio yatekelezwe?
 
Umegeuka na kuja na hekaya za sizitaki mbichi hizi ajuza!

Makusudio yapi hayo [hebu yataje]

Nani mnufaika wa makusudio hayo?

Nani ametoa ruhusa hayo makusudio yatekelezwe?
Kwanza elewa kwanini Tanzania ni Repbic na siyo Democratic, mengine itakuwa myepesi sana kuyaelewa.

Unataka kusoma form six ilhali hata darasa la nne hujafika?
 
Kwanza elewa kwanini Tanzania ni Repbic na

siyo Democratic,
Kwahiyo Tanzania sio "democratic"

Ni Authoritarian??

Ni Monarchy???

Mbona unatoka nje ya mada yako kwa kuzidi kuchanganya vitu na maswali niliyokuuliza hujajibu bado?

Hebu jibu hayo halafu tuhamie mada nyingine.
mengine itakuwa myepesi sana kuyaelewa.
Repbic ❌

Republic ✔️

Myepesi ❌

Mepesi ✔️

Hivi Canada ulipelekwa kwa kodi za wananchi kusomea ujinga??
Unataka kusoma form six ilhali hata darasa la nne hujafika?
Hujajibu swali ajuza.

Mbona unatapatapa .?

Wewe ndio umesema yapo makusudio , nami nimeuliza katika maswali yangu kupitia hayo "makusudio"?
 
Akigombea ni kweli anaweza kushinda kwa kupata Kura nyingi zaidi ya mgombea wa Ccm, lakini KAMWE hataweza kutangazwa kuwa ndiye mshindi wa Uchaguzi.

..kampeni za wapinzani zinapaswa kuonyesha kuwa wamedhamiria kushinda.

..wapinzani ktk chaguzi nyingi huwa wanafanya kampeni za kuunga-unga.

..wanachotakiwa ni kwenda " bandika-bandua " na Ccm ktk namna wanavyofanya kampeni.

..mara zote Ccm hufanya kampeni kubwa zaidi kuliko wapinzani kwasababu ya kuwa na FEDHA nyingi, na vifaa bora vya kampeni.

..nasisitiza kwamba wapinzani wakiweza kufanya kampeni kubwa kuliko Ccm, na kufika maeneo mengi zaidi, uwezekano wa kushinda upo.
 
..kampeni za wapinzani zinapaswa kuonyesha kuwa wanakwenda kushinda.

..wapinzani ktk chaguzi nyingi huwa wanafanya kampeni za kuunga-unga.

..wanachotakiwa ni kwenda " bandika-bandua " na Ccm kwa namna wanavyofanya kampeni.

..mara zote Ccm hufanya kampeni kubwa zaidi kuliko wapinzani kwasababu ya kuwa na FEDHA nyingi, na vifaa bora vya kampeni.

..nasisitiza kwamba wapinzani wakiweza kufanya kampeni kubwa kuliko Ccm, na kufika maeneo mengi zaidi, uwezekano wa kushinda upo.
Uongo.

CCM kushinda Uchaguzi au kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania.
 
Uongo.

CCM kushinda Uchaguzi au kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania.

..sisemi kwamba Ccm hawaibi Kura.

..lakini ukweli lazima usemwe kwamba kampeni za Ccm ziko " more oiled " kuliko kampeni za wapinzani.
 
Back
Top Bottom