Kuelekea 2025 Mwabukusi akigombea Urais 2025 anamshinda Rais Samia. Hata raia wa kawaida wanamkubali achana na Mawakili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,181
4,660
Ishu kubwa jamaa anaonekana kwenye jamii kama mtu mwenye uchungu na rasilimali za umma.

Ndo maana hata raia wa kawaida wanamtakia awe kiongozi wao. Hata 2025 atashinda urais ikiwa hakutakuwa na wizi wa kura.

Dp world ilishamchafua Rais Samia.
1000029634.jpg
 
Picha linaanza mwamba atakaa 3 years sio mwaka mmoja

Hatunywi sumu hatujinyongiiii🤣🤣.......... mbele kwa mbele........
 
Mwambukusi akiwa rais Nchi itapiga hatua ya maendeleo Kwa kasi sana.2025 twende na mwambukusi ili tumuzuie huyu muuza maliasili zetu hovyo.
 
Leo wakati naswali swala ya asubuhi nilimuambia mungu wangu naomba unipe kile ulichonikadiria nikiwa tumboni kwa mama yangu
 
Kwamba raia ndio anachagua Rais ? Ungemuuliza the President that was Never be... Maalim Seif ndio utajua kwamba yanayoendelea ni maigizo ya gharama kubwa sana...
 
Sikushangai, huelewi maana ya Republic.

Hata huko TLS kapewa kwa makusudio maalum.

Wajinga ndiyo waliwao.
Nani kampa zaid ya Mungu, kura si zimepigwa? Wwe ndio unwapa watu makusudio? mbn mnapenda sana kujifanya hamnazo..
 

Kuna mtu jana ameniambia Mwabukusi ni Magufuli anayejua sheria na kuziheshimu.
 
Back
Top Bottom