Mungu yupo, na anatenda kazi

Habari marafiki, naomba ku-share nanyi kuhusu huu mkasa wangu namna gani niliteswa na nguvu za giza pasipo Mimi kufahamu.

Mwaka 2010 wakati namaliza elimu yangu ya secondari pale Mugabe Sinza madukani nilikuwa napitia wakati mgumu Ila sikuwa najua kwamba kilichonisumbua ni ushirikina.

Kwanza Mara kwa Mara nilikuwa naota ndoto mbaya mno baadhi ya ndoto hizo ni Kama kuota Ela shilingi 5,10,50, 20 na shilingi 100. Tena nikiwa naokota nyingi Sana barabarani ktk mchanga kiasi ktk ndoto nikawa najiona nina fedha nyingi mno za sarafu zenye thamani hizo. Nilipomaliza secondary Mambo yakazidi nikawa naota naporomoka kutoka katika mlima mrefu sana kwa Kasi ya umeme na pia kuota nakimbizwa na mbwa kung'atwa na mbwa weusi kufukuzwa na mtu mweupe mwenye midevu ya mvi akiwa kavaa kanzu huku mkononi ameshika kivuli changu.

Nikawa naota naomba omba Ila ninaowaomba ni wale omba omba wa barabarani viwete walemavu nk na pesa nilikuwa naomba ni 50 nao huninyima na watu wanaopita mabarabara huninyima na kuwapa wale ombaomba wengine.

Mara naota natembea gafla napotea naanza kurudi nyuma njia nisiyoijua nk nk nk.

Huku ktk uhalisia wa kawaida maisha yalinikung'uta mno japo nilifeli form four lakin sikupata MWELEKEO wa Nini Cha kufanya ili kusonga na maisha mbele, hali ikaendelea na nikaanza kuugua gafla.

Nikakonda mno yaani ikifika saa 7 mchana nasikia harufu ya udi na naanza kuzidiwa sana hadi muda wa saa 7 upite ndipo nakaa sawa na ikifika saa 8 usiku naanza kuumwa kuanzia miguuni kunakuwa kama kwa baridi sana nk.

Nilikuwa natumia dawa za malaria kimya mwisho nikamshilikisha mama ndipo Safar ya kwa waganga ikaanza rasmi.

Nikazunguka kwa msaada wa mzazi wangu Dar, Tanga, Madibila ,Iringa ,Morogoro nk bila mafanikio huku Hali yangu ikiwa very serious.

Nikaanza kuona vitu vya ajabu mfano nikikaa nahisi kitu kimepit nyuma yngu like kivuli kwa kasi ,sometime nikaanza kuskia saut y Kama naitwa kutokea chumban napolala, Ila saut nazozifaham Mara nikaanz kuskia watu wakiimba maskion mwangu saut zakike nisizozijua nikawa usiku naskia michanga au jiwe juu y bati pia ndoto za kutisha azikukoma ndoto za kuingiliw , kuona live Kama nimelala na mtu anaetisha usiku nk Na atmae nikachanganyikiwa rasmi.

Wazazi walinipambania mno mno madawa y kunywa kujifusha kuoga kunuiza nk ndio ilikuw Kama chakula kwangu Yani nililia uku nikikonda Sana na kuumwa mno hosp pale Amana na kinondoni hosp waliniambia Sina tatizo Ila Nina u.t.i tu

Nikaanzishiwa dawa kutibu u.t.i, badae wazee wakanipelek kwa mganga morogoro chamwino mskitini Yule mzee akanitoa vitu kibao sehemu mbalmbal z mwil nikapat nafuu kiduchu Sana lakini Cha ajabu ilikuw ikifika tu mwisho mwa mwezi ndio nazidiwa hoi hoi.

Nilishauliwa kwenda kanisani nakataa nakasilika nanuna kabisa siamini niliwaambia Ivo kuwa siamini maombi.
Badae Dada angu mtoto wa mama mkubwa akaj nyumbn kuniona baad y kuambiwa naumwa Sana na Hali mbaya, alivokuja akaniambia Yola utake ustake lazima uokoke nikamsonya nikamlukia nikamkaba nikamwambia ntakuua endelea kunishobokea siku iyo ilikuw taflani japo nipo hoi lakini nilikuw na nguvu mno za kupigana nikielezwa Mambo y kanisa napatwa na hasira Kali.

Dada yangu akujali alilala chumba kingine na asubui nikanyanyuliw kinguvu kwamba leo tunakwenda kanisani. Nikapakiw kweny gar Safar ikaanza kutok nyumbn adi kanisani kwa nabii suguye kule kivule-matembele ya pili. Tukafika nikashikwa mkono kinguvu lakini Mimi toka nikanyage mahali pale skupat utulivu nilikuw najiskia kichefuchefu Sana na kizunguzungu, Dada angu akanipandish juu golofani tukakaa Ila nilipokaa tu nikamwambia natak kutapika akaniambia tapik apa APA nikaon si sawa nikamwambia nitoe nje nikatapike akanitoa kule kichefuchefu kikataa nilipoona nafuu tukalud ndani ile kuzam tu ndani kikapanda ata skukalibia kiti changu nikatapika mapovu mapovu ivi kikatulia

Suguye akaingia ibada ikaanza ikafkia stage ya maombezi nilizidiwa wakanibeba mzobe mzobe adi kule mbele y madhabau nikawa natapika Sana mapovu lakini pale mbele niliweza kuona mende wengi kidogo wananikimbia mbele yangu nikawa nawakazia macho ila nikawa sioni wanapopotelea uku nikiwa naendelea kutapika .

Basi ibada ikaisha tukaludi nyumbn nikajiskia mwepes Sana na kwa Mara y kwanza toka 2010 nikaweza kulala vzr bila ndoto mbaya zozote asubui nikajiis mpya nanguvu Ila bado vichefu chefu vilinisumbua basi Dada angu akaniambia jmos Kuna ibada jmos nikamwamsha dada nikamwbia twende tukaenda ao adi kanisani ...Hali ikawa ile ile tapika tapika Safar hii skupelekwa mbele pale pale nilipokaa nikaanz kuona mende wakinikimbia kwa mbele yangu mende wengi wale wadogo wadogo wale nilishangaa nikamgeukia Dada nikamuliza ivi umu kanisani Kuna mende?

Kwa mnaolijua kanisa la wrm kivule -matembele y pili kwa nabii suguye mtakuwa na majibu pale mende zinatoka wapi? Na mbona niliziona Mimi tu dada angu alisema hakuna mende mbele yangu

Basi mwisho dada akalud kwake namm nikaendelea kwenda na kwenda nk na nikapona kabisa ndoto zangu zikabadilika nikaanza kuota ndoto za watu wanalia na kuniomba msamaha wakidai wanakufa

Nilikuw naota nasex na mwanaume Safar hii baad y kwenda kanisani nikamuota Yule mwanaume amefungwa ktk chumba alafu akawashwa Moto na kuungua uku akilia akiomba msaada nk

Nikawa naota nafukuzwa na watu maporini misituni wakiniambia kwa ukali toka toka ww sio mwenzetu toka zako uku wakinikimbiza Sana kwamba awanitaki

Mala nikaota kule tanga nilipoendag na mzazi wangu kule nikaota pale Kuna Mbuyu mkubwa Sana alaf Kuna mwanamke ananiamrisha kukaa chini y ule Mbuyu lakin Yule aliekuw ananisaidia kuwaua wale waliokuw wananiomb msamaha akatokea akampiga akamuua Yule mama aliekuw anatak nikae pale kweny Mbuyu alafu akaniambia marufuku kukanyagwa huku nenda kanisani nenda kanisani nenda kanisani Kama unatak mtoto kazi ndoa nenda kanisani adi nikashtuka.

Mala nikaota Yule mtu alokuw ananisaidia kuua wale watesi wangu nilimuona akiwa mbele yngu anachonga balabala ikanyooka lakini katikati y barabara kulikuw na mwembe mkubwaaa Sana akanigeukia akaniambia Yola ngoja balabala niipitishe uku uku afu ninyooshe mbele huu mti nitakuja siku ingine na greda kuukata ili niuchimbe adi mizizi nikamjibu sawa nikashtuka.

Mambo pia yalininyoookea hamna mifano Yani nikawa naota napanda nafik juu kilelen bila kupolomoka Tena kwa Kasi ya radi.

ATA mtaan nikapemdwa mno mno na watu nikashangaaa Sana Sana nikapata mchumba akaja nyumbn akafanya taratibu nk, nikapat ujauzito bila shida Yani. Nikawa naota naua majoka makubwa Sana wakat wa ujauzito nk nikawa naota ndoto za USHINDI na kusulubu watesi wangu.

Nilivojifungua mzazi wangu akasema tukamfunge mtoto dawa kwa mganga chanika ili wenye macho mabaya wasimfanyie vibaya akanitisha namimi nikaingia mkenge nikakubali nikaenda na mtoto pale chanika magengeni akafungwa dawa Kama kifungo kitambaa cheus kiunoni na mkononi Akika skujua Kama nimejichimbia shimo mwenyew na kudumbukia umo.

Mungu wangu akaniacha mala nikachukia kanisa Tena na Hali ikaanza kurudi taratibu na Yule mtu ktk ndoto aliekuw akiwaua wabay wangu adi wananiomba radhi sjapat kumuona Tena adi naandika hii story yangu, nauchukia usiku umekuw usiku wa mauza uza na malue lue kwangu kazi nikapoteza nilikuw nafanya kazi st kizito hosp mikumi as a nurse assistant (medical attendant) Tena nilisoma baad y kupona Yale Mambo y uchawi na mwanaume niliezaa nae ndie alinisomesha chuo mkoani iringa na kufanikiw kupat Kaz pale hosp y mishen st kizito mwaka 2015 mtoto nilizaa 2019.

Kwasasa Sina kazi ,Hali ngum kwangu,mandoto mabaya ,kujiskia vibaya vibaya ,Nina mtoto anamiak 3 Sasa na Mimi na baba mtoto tumeachana 2020 tumefanikiwa kujenga nyumba kivule -matembele y pili alinunua uko ili Mimi niwe karibu na kanisa lakini tumeachana na yeye yupo iringa Mimi nikabeba kilichochangu nikaludi kwa wazazi uku nyumba ikibaki haina MTU Wala mpangaji mpk leo MDA huu na kiufupi ni ngumu kukudiana ndugu walijitaidi kuweka suluu lakin naskitika imeshindikana kabisa pia napatwa na depression Sana sometime .napanic ATA kwa mzee wangu kwasababu chimbiko la matatizo yote ni yeye uko kwao nampenda Sana my mom Ila kunamda najuta kuzaliwa ktk yeye amenipa tabu toka mdogo.

Na Sasa kila nikijalibu kutak kwenda kanisani nashindwa najiskia mzito Sana na nakwama Sana fedha niliwek Nia y kwenda kanisani.

Naomba msaada wa kuwekwa ktk maombi ili nipate REHEMA NA kibali Tena cha msamaha wa dhambi ya kukimbilia kwa mganga ni my mom simlaumu Sana ndio maana dhambi imenidondokea kwasababu nilionywa.

Plz Yani niweke ktk maombi nami natubu dhambi .ya kumuacha Mungu alienitoa misri , hakika MUNGU YUPO NA ANATENDA KAZI.

Asante.
Wacha tabia ya kula pesa za watu usiowajua mara 1!
 
Utafanikiwa vipi ilihali unakula (pesa) majasho ya watu?
Cjui hata huko kanisani unafataga nn!!
Hovyoo kabisa!
Na bado ndo utachanganyikiwa kabisa!
 
Huyu ndo alikula nauli yako?
Eeeh stor yake imenisikitusha kumbe kamba
 
Siku TANZANIA Ikifika uchumi mithili ya Canada/Japan kwa mujibu wa Imf/Worldbank...na field ya saikolojia/neuroscience ikawa pana na yenye kueleweka vyema kwa wengi na yenye tafiti nzito katika mazingira yetu,Mungu wa biblia/quran n.k atayeyuka kama barafu ndani ya joto kali la maiduguri.
Alisina aliyekuwa atheist sasa hivi ni mkristu.

Neuroscience kwani inamipaka kama una hela? Dunia ya kwanza ina akina Tyson wamebadili dini, kisingizio hawapati Amani baadaye kaishia kuishi na bangi ndio apate usingizi.
 
Usikubali kuwa failed heroism...!lazima kukabiliana kwa hali na mali,mazingira ya dunia tatu umaskini na elimu ndogo vinatuadhibu na kututesa sana raia.
Kuna vitu mnadhani ni rahisi. Si huwa mnaenda dunia ya kwanza mnakuwa vichaa.

Mkomunist wa Korea ya kiduku na njaa zake kama zetu ambaye Mungu wake ni kiongozi mkuu wa chama. Alipata kichaa alipotua Korea kusini. Nchi hakuan mboga moja mezani...na kila msosi una mapishi mengi katika meza moja,magari options kibao,TV options kibao,unachagua mwenyewe sio serikali I alichaguliwa. Jamaa alipata kichaa.

Yote hayo yamaletwa na ustaara nchi mbili zilichagua.
 
Habari marafiki, naomba ku-share nanyi kuhusu huu mkasa wangu namna gani niliteswa na nguvu za giza pasipo Mimi kufahamu.

Mwaka 2010 wakati namaliza elimu yangu ya secondari pale Mugabe Sinza madukani nilikuwa napitia wakati mgumu Ila sikuwa najua kwamba kilichonisumbua ni ushirikina.

Kwanza Mara kwa Mara nilikuwa naota ndoto mbaya mno baadhi ya ndoto hizo ni Kama kuota Ela shilingi 5,10,50, 20 na shilingi 100. Tena nikiwa naokota nyingi Sana barabarani ktk mchanga kiasi ktk ndoto nikawa najiona nina fedha nyingi mno za sarafu zenye thamani hizo. Nilipomaliza secondary Mambo yakazidi nikawa naota naporomoka kutoka katika mlima mrefu sana kwa Kasi ya umeme na pia kuota nakimbizwa na mbwa kung'atwa na mbwa weusi kufukuzwa na mtu mweupe mwenye midevu ya mvi akiwa kavaa kanzu huku mkononi ameshika kivuli changu.

Nikawa naota naomba omba Ila ninaowaomba ni wale omba omba wa barabarani viwete walemavu nk na pesa nilikuwa naomba ni 50 nao huninyima na watu wanaopita mabarabara huninyima na kuwapa wale ombaomba wengine.

Mara naota natembea gafla napotea naanza kurudi nyuma njia nisiyoijua nk nk nk.

Huku ktk uhalisia wa kawaida maisha yalinikung'uta mno japo nilifeli form four lakin sikupata MWELEKEO wa Nini Cha kufanya ili kusonga na maisha mbele, hali ikaendelea na nikaanza kuugua gafla.

Nikakonda mno yaani ikifika saa 7 mchana nasikia harufu ya udi na naanza kuzidiwa sana hadi muda wa saa 7 upite ndipo nakaa sawa na ikifika saa 8 usiku naanza kuumwa kuanzia miguuni kunakuwa kama kwa baridi sana nk.

Nilikuwa natumia dawa za malaria kimya mwisho nikamshilikisha mama ndipo Safar ya kwa waganga ikaanza rasmi.

Nikazunguka kwa msaada wa mzazi wangu Dar, Tanga, Madibila ,Iringa ,Morogoro nk bila mafanikio huku Hali yangu ikiwa very serious.

Nikaanza kuona vitu vya ajabu mfano nikikaa nahisi kitu kimepit nyuma yngu like kivuli kwa kasi ,sometime nikaanza kuskia saut y Kama naitwa kutokea chumban napolala, Ila saut nazozifaham Mara nikaanz kuskia watu wakiimba maskion mwangu saut zakike nisizozijua nikawa usiku naskia michanga au jiwe juu y bati pia ndoto za kutisha azikukoma ndoto za kuingiliw , kuona live Kama nimelala na mtu anaetisha usiku nk Na atmae nikachanganyikiwa rasmi.

Wazazi walinipambania mno mno madawa y kunywa kujifusha kuoga kunuiza nk ndio ilikuw Kama chakula kwangu Yani nililia uku nikikonda Sana na kuumwa mno hosp pale Amana na kinondoni hosp waliniambia Sina tatizo Ila Nina u.t.i tu

Nikaanzishiwa dawa kutibu u.t.i, badae wazee wakanipelek kwa mganga morogoro chamwino mskitini Yule mzee akanitoa vitu kibao sehemu mbalmbal z mwil nikapat nafuu kiduchu Sana lakini Cha ajabu ilikuw ikifika tu mwisho mwa mwezi ndio nazidiwa hoi hoi.

Nilishauliwa kwenda kanisani nakataa nakasilika nanuna kabisa siamini niliwaambia Ivo kuwa siamini maombi.
Badae Dada angu mtoto wa mama mkubwa akaj nyumbn kuniona baad y kuambiwa naumwa Sana na Hali mbaya, alivokuja akaniambia Yola utake ustake lazima uokoke nikamsonya nikamlukia nikamkaba nikamwambia ntakuua endelea kunishobokea siku iyo ilikuw taflani japo nipo hoi lakini nilikuw na nguvu mno za kupigana nikielezwa Mambo y kanisa napatwa na hasira Kali.

Dada yangu akujali alilala chumba kingine na asubui nikanyanyuliw kinguvu kwamba leo tunakwenda kanisani. Nikapakiw kweny gar Safar ikaanza kutok nyumbn adi kanisani kwa nabii suguye kule kivule-matembele ya pili. Tukafika nikashikwa mkono kinguvu lakini Mimi toka nikanyage mahali pale skupat utulivu nilikuw najiskia kichefuchefu Sana na kizunguzungu, Dada angu akanipandish juu golofani tukakaa Ila nilipokaa tu nikamwambia natak kutapika akaniambia tapik apa APA nikaon si sawa nikamwambia nitoe nje nikatapike akanitoa kule kichefuchefu kikataa nilipoona nafuu tukalud ndani ile kuzam tu ndani kikapanda ata skukalibia kiti changu nikatapika mapovu mapovu ivi kikatulia

Suguye akaingia ibada ikaanza ikafkia stage ya maombezi nilizidiwa wakanibeba mzobe mzobe adi kule mbele y madhabau nikawa natapika Sana mapovu lakini pale mbele niliweza kuona mende wengi kidogo wananikimbia mbele yangu nikawa nawakazia macho ila nikawa sioni wanapopotelea uku nikiwa naendelea kutapika .

Basi ibada ikaisha tukaludi nyumbn nikajiskia mwepes Sana na kwa Mara y kwanza toka 2010 nikaweza kulala vzr bila ndoto mbaya zozote asubui nikajiis mpya nanguvu Ila bado vichefu chefu vilinisumbua basi Dada angu akaniambia jmos Kuna ibada jmos nikamwamsha dada nikamwbia twende tukaenda ao adi kanisani ...Hali ikawa ile ile tapika tapika Safar hii skupelekwa mbele pale pale nilipokaa nikaanz kuona mende wakinikimbia kwa mbele yangu mende wengi wale wadogo wadogo wale nilishangaa nikamgeukia Dada nikamuliza ivi umu kanisani Kuna mende?

Kwa mnaolijua kanisa la wrm kivule -matembele y pili kwa nabii suguye mtakuwa na majibu pale mende zinatoka wapi? Na mbona niliziona Mimi tu dada angu alisema hakuna mende mbele yangu

Basi mwisho dada akalud kwake namm nikaendelea kwenda na kwenda nk na nikapona kabisa ndoto zangu zikabadilika nikaanza kuota ndoto za watu wanalia na kuniomba msamaha wakidai wanakufa

Nilikuw naota nasex na mwanaume Safar hii baad y kwenda kanisani nikamuota Yule mwanaume amefungwa ktk chumba alafu akawashwa Moto na kuungua uku akilia akiomba msaada nk

Nikawa naota nafukuzwa na watu maporini misituni wakiniambia kwa ukali toka toka ww sio mwenzetu toka zako uku wakinikimbiza Sana kwamba awanitaki

Mala nikaota kule tanga nilipoendag na mzazi wangu kule nikaota pale Kuna Mbuyu mkubwa Sana alaf Kuna mwanamke ananiamrisha kukaa chini y ule Mbuyu lakin Yule aliekuw ananisaidia kuwaua wale waliokuw wananiomb msamaha akatokea akampiga akamuua Yule mama aliekuw anatak nikae pale kweny Mbuyu alafu akaniambia marufuku kukanyagwa huku nenda kanisani nenda kanisani nenda kanisani Kama unatak mtoto kazi ndoa nenda kanisani adi nikashtuka.

Mala nikaota Yule mtu alokuw ananisaidia kuua wale watesi wangu nilimuona akiwa mbele yngu anachonga balabala ikanyooka lakini katikati y barabara kulikuw na mwembe mkubwaaa Sana akanigeukia akaniambia Yola ngoja balabala niipitishe uku uku afu ninyooshe mbele huu mti nitakuja siku ingine na greda kuukata ili niuchimbe adi mizizi nikamjibu sawa nikashtuka.

Mambo pia yalininyoookea hamna mifano Yani nikawa naota napanda nafik juu kilelen bila kupolomoka Tena kwa Kasi ya radi.

ATA mtaan nikapemdwa mno mno na watu nikashangaaa Sana Sana nikapata mchumba akaja nyumbn akafanya taratibu nk, nikapat ujauzito bila shida Yani. Nikawa naota naua majoka makubwa Sana wakat wa ujauzito nk nikawa naota ndoto za USHINDI na kusulubu watesi wangu.

Nilivojifungua mzazi wangu akasema tukamfunge mtoto dawa kwa mganga chanika ili wenye macho mabaya wasimfanyie vibaya akanitisha namimi nikaingia mkenge nikakubali nikaenda na mtoto pale chanika magengeni akafungwa dawa Kama kifungo kitambaa cheus kiunoni na mkononi Akika skujua Kama nimejichimbia shimo mwenyew na kudumbukia umo.

Mungu wangu akaniacha mala nikachukia kanisa Tena na Hali ikaanza kurudi taratibu na Yule mtu ktk ndoto aliekuw akiwaua wabay wangu adi wananiomba radhi sjapat kumuona Tena adi naandika hii story yangu, nauchukia usiku umekuw usiku wa mauza uza na malue lue kwangu kazi nikapoteza nilikuw nafanya kazi st kizito hosp mikumi as a nurse assistant (medical attendant) Tena nilisoma baad y kupona Yale Mambo y uchawi na mwanaume niliezaa nae ndie alinisomesha chuo mkoani iringa na kufanikiw kupat Kaz pale hosp y mishen st kizito mwaka 2015 mtoto nilizaa 2019.

Kwasasa Sina kazi ,Hali ngum kwangu,mandoto mabaya ,kujiskia vibaya vibaya ,Nina mtoto anamiak 3 Sasa na Mimi na baba mtoto tumeachana 2020 tumefanikiwa kujenga nyumba kivule -matembele y pili alinunua uko ili Mimi niwe karibu na kanisa lakini tumeachana na yeye yupo iringa Mimi nikabeba kilichochangu nikaludi kwa wazazi uku nyumba ikibaki haina MTU Wala mpangaji mpk leo MDA huu na kiufupi ni ngumu kukudiana ndugu walijitaidi kuweka suluu lakin naskitika imeshindikana kabisa pia napatwa na depression Sana sometime .napanic ATA kwa mzee wangu kwasababu chimbiko la matatizo yote ni yeye uko kwao nampenda Sana my mom Ila kunamda najuta kuzaliwa ktk yeye amenipa tabu toka mdogo.

Na Sasa kila nikijalibu kutak kwenda kanisani nashindwa najiskia mzito Sana na nakwama Sana fedha niliwek Nia y kwenda kanisani.

Naomba msaada wa kuwekwa ktk maombi ili nipate REHEMA NA kibali Tena cha msamaha wa dhambi ya kukimbilia kwa mganga ni my mom simlaumu Sana ndio maana dhambi imenidondokea kwasababu nilionywa.

Plz Yani niweke ktk maombi nami natubu dhambi .ya kumuacha Mungu alienitoa misri , hakika MUNGU YUPO NA ANATENDA KAZI.

Asante.
Kwanza rekebisha R na L zako halafu ndio Mungu atakuonekania. La si hivyo, kazi ipo.
 
Siku TANZANIA Ikifika uchumi mithili ya Canada/Japan kwa mujibu wa Imf/Worldbank...na field ya saikolojia/neuroscience ikawa pana na yenye kueleweka vyema kwa wengi na yenye tafiti nzito katika mazingira yetu,Mungu wa biblia/quran n.k atayeyuka kama barafu ndani ya joto kali la maiduguri.
If you think like that,it will take all of your life believing that we are stupid, our living God is Evey where,hata huko Canada Watu wanamtafuta Mungu kwa bidii kubwa, what I would like to advise you is get out of that cave that you are hiding in, believing that money can buy happiness and joy.
The main problem of most Tanganyikan is sincere stupidity and conscientious ignorance, wavivu wa kufikiri!
 
100% failure Human intelligence is finite kilicho andikwa hapo Elimu ya kuta nne haiwezi kusolve hata waje wenye akili namna gani.

Unachokiona Physically kiliumbwa spiritually

Quantum physics even Biology now wanasema vinategemea Spiritual Intel.

Bruce Lipton, Joe Dispenza, Beau Lotto list itaenda huko, wote Hawa wameweka sayansi chini
Kama nakuelewa vile! Souls are non physical human creation of God,inaanzia rohoni kuja mwilini then to the environment
 
YOU'll become a believer when you are desperate for GODS HELPS... HAHAHA "like-There are no agnostic/atheist/sceptic in foxholes"....naona unanibwatukia na mahubiri uchwara na vitisho vya rejareja.

Hadithi/ngano za farao ndani ya biblia/quran zinakuwewesesha sana mwanakondoo wa mungu,Pole sana bwana mdogo/mkubwa...ACHANA NA VITABU HOVYO & TAKATAKA BIBLE & QURAN.
Acha kiburi Cha uzima, there's everlasting GOD, period!
 
Amina, japo sijasoma yote ubarikiwe kwa kushuhudia uwepo wa Mungu ktk maisha yako na Mungu akupe hitaji la moyo wako...

Ni kweli Mungu yupo nami kwa nguvu zote nashuhudia yupo na amekuwa mwema sana maishani mwangu hadi naona kbs ananipendelea na si kwa sababu mi ni mwema hpn mimi sio mtu mwema ila kwa sababu Mungu ni mwema amenitendea mema mengi sana namshukuru sana kwa kweli mi ni mtu ninae kosea sana Ila kimiujiza Mungu ananisaidia naepuka matokeo mabaya ya uzembe wangu hata yakinipata nikapoteza ananipa tena hamna nilichomuomba Mungu hlf sikukipata nasema tena hakuna kwa kweli japo vipo nilivyoona kama ameninyima baadae niligundua ni somo mfano enzi hizo shuleni tukiwa ktk foleni ya kupasi ili tuende kanisani umeme ulikatika rafiki yangu tuarira mmbaga sasa ni marehemu akamuomba Mungu umeme urudi ili apasi nguo yake pale pale umeme ulirudi na alipomaliza ulikatika tena nami nikamuomba ila haukurudi ikanibidi kwenda hivyo hivyo bila kupasi ila baadae nilipata somo kutokana na mkasa huo... Japo huko nyuma alishanitendea tukio la kufanana na hilo nilikuwa nasoma hadi usiku sana Ila siku hiyo nikawa napata msukumo toka ndani ukinitaka niache nilale ila kwa akili za kitoto bila kujua it's an inspiration from God nikafanya kuomba kama ni msukumo wako Mungu nilale basi naomba umeme ukatike na ulikatika ndani ya dk zile zile nikalala ni vingi hata vile vya kawaida kbs

Mungu ni vingi amenipa namshukuru sana japo najua kuna somo anataka nilipate Ila nazidi kumuomba anirudishe ktk njia yake maana sasa nimezama duniani sana, usisite kumuomba Mungu Kwa moyo wako atakutendea we muombe tu atafanya usiingize akili za kibinadamu kwamba hili haliwezekani we amini ye akisema liwe linakuwa kikubwa iwe kwa utukufu wake usijiangalie ww au wengine wanalichukuliaje ila muombe na usimpangie njia atatenda
Ni kweli mkuu Mungu atatubariki sana.kuna vitu tunapoteza kwa uzembe wetu ila anakupa maranyingine tena kizuri zaid ulichokipoteza.mfn mm nilipoteza kaz iv karibun na nimepta kaz nzr tu ila nikikaa chini nikifikilia ule mchakato naona kabsa mm ni box naend kupga intv english ya kubuma buma tu ila nilipokuwa kule ndan cjui nilitoa confidence wap had General Manager akasema(This guy for my part is good) alikuwa anaulza maswal corn hybrid production nikiwaza nyuma mtu alieniconnect ni mtu tulipotezana takriban miaka 7 niliktana nae 88 tukabadlshn no cku nafukuzwa kaz nikamwambia.Yeye nae anafny kaz kwenye kampn la kilimo akaniambia nikisikia nafas ntakuconnct week aijaisha akaniconnct na iyo intv..Nakitizama mchakato wote Naona kabisa Mungu ndo kanisaidia.
 
Sahihib
Siku TANZANIA Ikifika uchumi mithili ya Canada/Japan kwa mujibu wa Imf/Worldbank...na field ya saikolojia/neuroscience ikawa pana na yenye kueleweka vyema kwa wengi na yenye tafiti nzito katika mazingira yetu,Mungu wa biblia/quran n.k atayeyuka kama barafu ndani ya joto kali la maiduguri.
Sahihi sana
 
Back
Top Bottom