Mungu yupo, na anatenda kazi

Iyola99

Member
May 16, 2022
63
320
Habari marafiki, naomba ku-share nanyi kuhusu huu mkasa wangu namna gani niliteswa na nguvu za giza pasipo Mimi kufahamu.

Mwaka 2010 wakati namaliza elimu yangu ya secondari pale Mugabe Sinza madukani nilikuwa napitia wakati mgumu Ila sikuwa najua kwamba kilichonisumbua ni ushirikina.

Kwanza Mara kwa Mara nilikuwa naota ndoto mbaya mno baadhi ya ndoto hizo ni Kama kuota Ela shilingi 5,10,50, 20 na shilingi 100. Tena nikiwa naokota nyingi Sana barabarani ktk mchanga kiasi ktk ndoto nikawa najiona nina fedha nyingi mno za sarafu zenye thamani hizo. Nilipomaliza secondary Mambo yakazidi nikawa naota naporomoka kutoka katika mlima mrefu sana kwa Kasi ya umeme na pia kuota nakimbizwa na mbwa kung'atwa na mbwa weusi kufukuzwa na mtu mweupe mwenye midevu ya mvi akiwa kavaa kanzu huku mkononi ameshika kivuli changu.

Nikawa naota naomba omba Ila ninaowaomba ni wale omba omba wa barabarani viwete walemavu nk na pesa nilikuwa naomba ni 50 nao huninyima na watu wanaopita mabarabara huninyima na kuwapa wale ombaomba wengine.

Mara naota natembea gafla napotea naanza kurudi nyuma njia nisiyoijua nk nk nk.

Huku ktk uhalisia wa kawaida maisha yalinikung'uta mno japo nilifeli form four lakin sikupata MWELEKEO wa Nini Cha kufanya ili kusonga na maisha mbele, hali ikaendelea na nikaanza kuugua gafla.

Nikakonda mno yaani ikifika saa 7 mchana nasikia harufu ya udi na naanza kuzidiwa sana hadi muda wa saa 7 upite ndipo nakaa sawa na ikifika saa 8 usiku naanza kuumwa kuanzia miguuni kunakuwa kama kwa baridi sana nk.

Nilikuwa natumia dawa za malaria kimya mwisho nikamshilikisha mama ndipo Safar ya kwa waganga ikaanza rasmi.

Nikazunguka kwa msaada wa mzazi wangu Dar, Tanga, Madibila ,Iringa ,Morogoro nk bila mafanikio huku Hali yangu ikiwa very serious.

Nikaanza kuona vitu vya ajabu mfano nikikaa nahisi kitu kimepit nyuma yngu like kivuli kwa kasi ,sometime nikaanza kuskia saut y Kama naitwa kutokea chumban napolala, Ila saut nazozifaham Mara nikaanz kuskia watu wakiimba maskion mwangu saut zakike nisizozijua nikawa usiku naskia michanga au jiwe juu y bati pia ndoto za kutisha azikukoma ndoto za kuingiliw , kuona live Kama nimelala na mtu anaetisha usiku nk Na atmae nikachanganyikiwa rasmi.

Wazazi walinipambania mno mno madawa y kunywa kujifusha kuoga kunuiza nk ndio ilikuw Kama chakula kwangu Yani nililia uku nikikonda Sana na kuumwa mno hosp pale Amana na kinondoni hosp waliniambia Sina tatizo Ila Nina u.t.i tu

Nikaanzishiwa dawa kutibu u.t.i, badae wazee wakanipelek kwa mganga morogoro chamwino mskitini Yule mzee akanitoa vitu kibao sehemu mbalmbal z mwil nikapat nafuu kiduchu Sana lakini Cha ajabu ilikuw ikifika tu mwisho mwa mwezi ndio nazidiwa hoi hoi.

Nilishauliwa kwenda kanisani nakataa nakasilika nanuna kabisa siamini niliwaambia Ivo kuwa siamini maombi.
Badae Dada angu mtoto wa mama mkubwa akaj nyumbn kuniona baad y kuambiwa naumwa Sana na Hali mbaya, alivokuja akaniambia Yola utake ustake lazima uokoke nikamsonya nikamlukia nikamkaba nikamwambia ntakuua endelea kunishobokea siku iyo ilikuw taflani japo nipo hoi lakini nilikuw na nguvu mno za kupigana nikielezwa Mambo y kanisa napatwa na hasira Kali.

Dada yangu akujali alilala chumba kingine na asubui nikanyanyuliw kinguvu kwamba leo tunakwenda kanisani. Nikapakiw kweny gar Safar ikaanza kutok nyumbn adi kanisani kwa nabii suguye kule kivule-matembele ya pili. Tukafika nikashikwa mkono kinguvu lakini Mimi toka nikanyage mahali pale skupat utulivu nilikuw najiskia kichefuchefu Sana na kizunguzungu, Dada angu akanipandish juu golofani tukakaa Ila nilipokaa tu nikamwambia natak kutapika akaniambia tapik apa APA nikaon si sawa nikamwambia nitoe nje nikatapike akanitoa kule kichefuchefu kikataa nilipoona nafuu tukalud ndani ile kuzam tu ndani kikapanda ata skukalibia kiti changu nikatapika mapovu mapovu ivi kikatulia

Suguye akaingia ibada ikaanza ikafkia stage ya maombezi nilizidiwa wakanibeba mzobe mzobe adi kule mbele y madhabau nikawa natapika Sana mapovu lakini pale mbele niliweza kuona mende wengi kidogo wananikimbia mbele yangu nikawa nawakazia macho ila nikawa sioni wanapopotelea uku nikiwa naendelea kutapika .

Basi ibada ikaisha tukaludi nyumbn nikajiskia mwepes Sana na kwa Mara y kwanza toka 2010 nikaweza kulala vzr bila ndoto mbaya zozote asubui nikajiis mpya nanguvu Ila bado vichefu chefu vilinisumbua basi Dada angu akaniambia jmos Kuna ibada jmos nikamwamsha dada nikamwbia twende tukaenda ao adi kanisani ...Hali ikawa ile ile tapika tapika Safar hii skupelekwa mbele pale pale nilipokaa nikaanz kuona mende wakinikimbia kwa mbele yangu mende wengi wale wadogo wadogo wale nilishangaa nikamgeukia Dada nikamuliza ivi umu kanisani Kuna mende?

Kwa mnaolijua kanisa la wrm kivule -matembele y pili kwa nabii suguye mtakuwa na majibu pale mende zinatoka wapi? Na mbona niliziona Mimi tu dada angu alisema hakuna mende mbele yangu

Basi mwisho dada akalud kwake namm nikaendelea kwenda na kwenda nk na nikapona kabisa ndoto zangu zikabadilika nikaanza kuota ndoto za watu wanalia na kuniomba msamaha wakidai wanakufa

Nilikuw naota nasex na mwanaume Safar hii baad y kwenda kanisani nikamuota Yule mwanaume amefungwa ktk chumba alafu akawashwa Moto na kuungua uku akilia akiomba msaada nk

Nikawa naota nafukuzwa na watu maporini misituni wakiniambia kwa ukali toka toka ww sio mwenzetu toka zako uku wakinikimbiza Sana kwamba awanitaki

Mala nikaota kule tanga nilipoendag na mzazi wangu kule nikaota pale Kuna Mbuyu mkubwa Sana alaf Kuna mwanamke ananiamrisha kukaa chini y ule Mbuyu lakin Yule aliekuw ananisaidia kuwaua wale waliokuw wananiomb msamaha akatokea akampiga akamuua Yule mama aliekuw anatak nikae pale kweny Mbuyu alafu akaniambia marufuku kukanyagwa huku nenda kanisani nenda kanisani nenda kanisani Kama unatak mtoto kazi ndoa nenda kanisani adi nikashtuka.

Mala nikaota Yule mtu alokuw ananisaidia kuua wale watesi wangu nilimuona akiwa mbele yngu anachonga balabala ikanyooka lakini katikati y barabara kulikuw na mwembe mkubwaaa Sana akanigeukia akaniambia Yola ngoja balabala niipitishe uku uku afu ninyooshe mbele huu mti nitakuja siku ingine na greda kuukata ili niuchimbe adi mizizi nikamjibu sawa nikashtuka.

Mambo pia yalininyoookea hamna mifano Yani nikawa naota napanda nafik juu kilelen bila kupolomoka Tena kwa Kasi ya radi.

ATA mtaan nikapemdwa mno mno na watu nikashangaaa Sana Sana nikapata mchumba akaja nyumbn akafanya taratibu nk, nikapat ujauzito bila shida Yani. Nikawa naota naua majoka makubwa Sana wakat wa ujauzito nk nikawa naota ndoto za USHINDI na kusulubu watesi wangu.

Nilivojifungua mzazi wangu akasema tukamfunge mtoto dawa kwa mganga chanika ili wenye macho mabaya wasimfanyie vibaya akanitisha namimi nikaingia mkenge nikakubali nikaenda na mtoto pale chanika magengeni akafungwa dawa Kama kifungo kitambaa cheus kiunoni na mkononi Akika skujua Kama nimejichimbia shimo mwenyew na kudumbukia umo.

Mungu wangu akaniacha mala nikachukia kanisa Tena na Hali ikaanza kurudi taratibu na Yule mtu ktk ndoto aliekuw akiwaua wabay wangu adi wananiomba radhi sjapat kumuona Tena adi naandika hii story yangu, nauchukia usiku umekuw usiku wa mauza uza na malue lue kwangu kazi nikapoteza nilikuw nafanya kazi st kizito hosp mikumi as a nurse assistant (medical attendant) Tena nilisoma baad y kupona Yale Mambo y uchawi na mwanaume niliezaa nae ndie alinisomesha chuo mkoani iringa na kufanikiw kupat Kaz pale hosp y mishen st kizito mwaka 2015 mtoto nilizaa 2019.

Kwasasa Sina kazi ,Hali ngum kwangu,mandoto mabaya ,kujiskia vibaya vibaya ,Nina mtoto anamiak 3 Sasa na Mimi na baba mtoto tumeachana 2020 tumefanikiwa kujenga nyumba kivule -matembele y pili alinunua uko ili Mimi niwe karibu na kanisa lakini tumeachana na yeye yupo iringa Mimi nikabeba kilichochangu nikaludi kwa wazazi uku nyumba ikibaki haina MTU Wala mpangaji mpk leo MDA huu na kiufupi ni ngumu kukudiana ndugu walijitaidi kuweka suluu lakin naskitika imeshindikana kabisa pia napatwa na depression Sana sometime .napanic ATA kwa mzee wangu kwasababu chimbiko la matatizo yote ni yeye uko kwao nampenda Sana my mom Ila kunamda najuta kuzaliwa ktk yeye amenipa tabu toka mdogo.

Na Sasa kila nikijalibu kutak kwenda kanisani nashindwa najiskia mzito Sana na nakwama Sana fedha niliwek Nia y kwenda kanisani.

Naomba msaada wa kuwekwa ktk maombi ili nipate REHEMA NA kibali Tena cha msamaha wa dhambi ya kukimbilia kwa mganga ni my mom simlaumu Sana ndio maana dhambi imenidondokea kwasababu nilionywa.

Plz Yani niweke ktk maombi nami natubu dhambi .ya kumuacha Mungu alienitoa misri , hakika MUNGU YUPO NA ANATENDA KAZI.

Asante.
 
Dada pole sana kwa unayopitia, dunia inachanga moto nyingi sana. Ila yakupasa kutambua Mungu wetu ni mwingi wa rehema, na fadhila.

Isaya 43: 25-26 anasema "Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako. Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako."

Aijalishi umeanguka mara ngapi, Mungu wetu kupitia Roho wake Mtakatifu anaona unayopitia na anasubiri umwite aje akutoe hapo ulipo. Atakusamehe makosa yako wala hatazikumbuka amesema hivyo na maneno yake huwa hayabadiliki.

Soma na Zaburi 51itakusaidia.

Chakufanya uwe unasema tu, Roho Mtakatifu nisaidie (Warumi 8: 26)

Ubarikiwe
 
Siku TANZANIA Ikifika uchumi mithili ya Canada/Japan kwa mujibu wa Imf/Worldbank...na field ya saikolojia/neuroscience ikawa pana na yenye kueleweka vyema kwa wengi na yenye tafiti nzito katika mazingira yetu,Mungu wa biblia/quran n.k atayeyuka kama barafu ndani ya joto kali la maiduguri.
 
Siku TANZANIA Ikifika uchumi mithili ya canada/japan kwa mujibu wa imf/worldbank...na field ya saikolojia ikawa pana na yenye kueleweka vyema kwa wengi na yenye tafiti nzito katika mazingira yetu,Mungu wa biblia/quran n.k atayeyuka kama barafu ndani ya joto kali la maidiguri.
Unahisi na wao hawamjui huyo Mungu unayemkejeli. Walikuwapo kina Pharao wenye shingo ngumu ya kutomtambua ukuu wake. Ila mwisho wa siku walikirii ukuu wake, sembuse wewe.

Ipo siku maishani mwako atajidhihirisha na utaubiri neno lake.
 
Usikubali kuwa failed heroism...!lazima kukabiliana kwa hali na mali,mazingira ya dunia tatu umaskini na elimu ndogo vinatuadhibu na kukutesa sana raia.
Hiyo dunia ya kwanza unayohisi awamwamini Muumba, hujawahi hata kukanyaga wala hujawahi kukaa na kusoma historia yao na jinsi wanavyo ishi. Zaidi ya kuona kwenye movie na kutengeneza tafsiri yako au pengine kusikia kutoka kwa watu wachache
 
Siku TANZANIA Ikifika uchumi mithili ya Canada/Japan kwa mujibu wa Imf/Worldbank...na field ya saikolojia ikawa pana na yenye kueleweka vyema kwa wengi na yenye tafiti nzito katika mazingira yetu,Mungu wa biblia/quran n.k atayeyuka kama barafu ndani ya joto kali la maiduguri.
100% failure Human intelligence is finite kilicho andikwa hapo Elimu ya kuta nne haiwezi kusolve hata waje wenye akili namna gani.

Unachokiona Physically kiliumbwa spiritually

Quantum physics even Biology now wanasema vinategemea Spiritual Intel.

Bruce Lipton, Joe Dispenza, Beau Lotto list itaenda huko, wote Hawa wameweka sayansi chini
 
Siku TANZANIA Ikifika uchumi mithili ya Canada/Japan kwa mujibu wa Imf/Worldbank...na field ya saikolojia ikawa pana na yenye kueleweka vyema kwa wengi na yenye tafiti nzito katika mazingira yetu,Mungu wa biblia/quran n.k atayeyuka kama barafu ndani ya joto kali la maiduguri.
Facts
 
Unahisi na wao hawamjui huyo Mungu unayemkejeli. Walikuwapo kina Pharao wenye shingo ngumu ya kutomtambua ukuu wake. Ila mwisho wa siku walikirii ukuu wake, sembuse wewe.

Ipo siku maishani mwako atajidhihirisha na utaubiri neno lake.
YOU'll become a believer when you are desperate for GODS HELPS... HAHAHA "like-There are no agnostic/atheist/sceptic in foxholes"....naona unanibwatukia na mahubiri uchwara na vitisho vya rejareja.

Hadithi/ngano za farao ndani ya biblia/quran zinakuwewesesha sana mwanakondoo wa mungu,Pole sana bwana mdogo/mkubwa...ACHANA NA VITABU HOVYO & TAKATAKA BIBLE & QURAN.
 
YOU'll become a believer when you are desperate for GODS HELPS... HAHAHA "like-There are no agnostic/atheist/sceptic in foxholes"....naona unanibwatukia na mahubiri uchwara na vitisho vya rejareja. Hadithi/ngano za farao ndani ya biblia/quran zinakuwewesesha sana mwanakondoo wa mungu,Pole sana bwana mdogo/mkubwa...ACHANA NA VITABU HOVYO & TAKATAKA BIBLE & QURAN.
We nae Mjinga TU wewe ulaya umekanyanga ?
 
Siku TANZANIA Ikifika uchumi mithili ya Canada/Japan kwa mujibu wa Imf/Worldbank...na field ya saikolojia/neuroscience ikawa pana na yenye kueleweka vyema kwa wengi na yenye tafiti nzito katika mazingira yetu,Mungu wa biblia/quran n.k atayeyuka kama barafu ndani ya joto kali la maiduguri.
Wewe ni fala
 
YOU'll become a believer when you are desperate for GODS HELPS... HAHAHA "like-There are no agnostic/atheist/sceptic in foxholes"....naona unanibwatukia na mahubiri uchwara na vitisho vya rejareja. Hadithi/ngano za farao ndani ya biblia/quran zinakuwewesesha sana mwanakondoo wa mungu,Pole sana bwana mdogo/mkubwa...ACHANA NA VITABU HOVYO & TAKATAKA BIBLE & QURAN.
Kwa UJINGA ulionao upo SAHIHI kusema hivi, wala sikupingi.
 
Habari marafiki, naomba ku-share nanyi kuhusu huu mkasa wangu namna gani niliteswa na nguvu za giza pasipo Mimi kufahamu .

Mwaka 2010 wakati namaliza elimu yangu ya secondari pale Mugabe Sinza madukani nilikuwa napitia wakati mgumu Ila sikuwa najua kwamba kilichonisumbua ni ushirikina

Kwanza Mara kwa Mara nilikuwa naota ndoto mbaya mno baadhi ya ndoto hizo ni Kama kuota Ela shilingi 5,10,50, 20 na shilingi 100. Tena nikiwa naokota nyingi Sana barabarani ktk mchanga kiasi ktk ndoto nikawa najiona nina fedha nyingi mno za sarafu zenye thamani hizo. Nilipomaliza secondary Mambo yakazidi nikawa naota naporomoka kutoka katika mlima mrefu sana kwa Kasi ya umeme na pia kuota nakimbizwa na mbwa kung'atwa na mbwa weusi kufukuzwa na mtu mweupe mwenye midevu ya mvi akiwa kavaa kanzu huku mkononi ameshika kivuli changu

Nikawa naota naomba omba Ila ninaowaomba ni wale omba omba wa barabarani viwete walemavu nk na pesa nilikuwa naomba ni 50 nao huninyima na watu wanaopita mabarabara huninyima na kuwapa wale ombaomba wengine

Mara naota natembea gafla napotea naanza kurudi nyuma njia nisiyoijua nk nk nk

Huku ktk uhalisia wa kawaida maisha yalinikung'uta mno japo nilifeli form four lakin sikupata MWELEKEO wa Nini Cha kufanya ili kusonga na maisha mbele, hali ikaendelea na nikaanza kuugua gafla

Nikakonda mno yaani ikifika saa 7 mchana nasikia harufu ya udi na naanza kuzidiwa sana hadi muda wa saa 7 upite ndipo nakaa sawa na ikifika saa 8 usiku naanza kuumwa kuanzia miguuni kunakuwa kama kwa baridi sana nk

Nilikuwa natumia dawa za malaria kimya mwisho nikamshilikisha mama ndipo Safar ya kwa waganga ikaanza rasmi.

Nikazunguka kwa msaada wa mzazi wangu Dar, Tanga, Madibila ,Iringa ,Morogoro nk bila mafanikio huku Hali yangu ikiwa very serious

Nikaanza kuona vitu vya ajabu mfano nikikaa nahisi kitu kimepit nyuma yngu like kivuli kwa kasi ,sometime nikaanza kuskia saut y Kama naitwa kutokea chumban napolala, Ila saut nazozifaham Mara nikaanz kuskia watu wakiimba maskion mwangu saut zakike nisizozijua nikawa usiku naskia michanga au jiwe juu y bati pia ndoto za kutisha azikukoma ndoto za kuingiliw , kuona live Kama nimelala na mtu anaetisha usiku nk Na atmae nikachanganyikiwa rasmi.

Wazazi walinipambania mno mno madawa y kunywa kujifusha kuoga kunuiza nk ndio ilikuw Kama chakula kwangu Yani ....nililia uku nikikonda Sana na kuumwa mno hosp pale Amana na kinondoni hosp waliniambia Sina tatizo Ila Nina u.t.i tu

Nikaanzishiwa dawa kutibu u.t.i, badae wazee wakanipelek kwa mganga morogoro chamwino mskitini Yule mzee akanitoa vitu kibao sehemu mbalmbal z mwil nikapat nafuu kiduchu Sana lakini Cha ajabu ilikuw ikifika tu mwisho mwa mwezi ndio nazidiwa hoi hoi

Nilishauliwa kwenda kanisani nakataa nakasilika nanuna kabisa siamini niliwaambia Ivo kuwa siamini maombi.
Badae Dada angu mtoto wa mama mkubwa akaj nyumbn kuniona baad y kuambiwa naumwa Sana na Hali mbaya ...alivokuj akaniambia Yola utake ustake lazima uokoke nikamsonya nikamlukia nikamkaba nikamwambia ntakuua endelea kunishobokea siku iyo ilikuw taflani japo nipo hoi lakini nilikuw na nguvu mno za kupigana nikielezwa Mambo y kanisa napatwa na hasira Kali.

Dada yangu akujali alilala chumba kingine na asubui nikanyanyuliw kinguvu kwamba leo tunakwenda kanisani. Nikapakiw kweny gar Safar ikaanza kutok nyumbn adi kanisani kwa nabii suguye kule kivule-matembele ya pili. Tukafika nikashikwa mkono kinguvu lakini Mimi toka nikanyage mahali pale skupat utulivu nilikuw najiskia kichefuchefu Sana na kizunguzungu, Dada angu akanipandish juu golofani tukakaa Ila nilipokaa tu nikamwambia natak kutapika akaniambia tapik apa APA nikaon si sawa nikamwambia nitoe nje nikatapike akanitoa kule kichefuchefu kikataa nilipoona nafuu tukalud ndani ile kuzam tu ndani kikapanda ata skukalibia kiti changu nikatapika mapovu mapovu ivi kikatulia

Suguye akaingia ibada ikaanza ikafkia stage ya maombezi nilizidiwa wakanibeba mzobe mzobe adi kule mbele y madhabau nikawa natapika Sana mapovu lakini pale mbele niliweza kuona mende wengi kidogo wananikimbia mbele yangu nikawa nawakazia macho ila nikawa sioni wanapopotelea uku nikiwa naendelea kutapika .

Basi ibada ikaisha tukaludi nyumbn nikajiskia mwepes Sana na kwa Mara y kwanza toka 2010 nikaweza kulala vzr bila ndoto mbaya zozote asubui nikajiis mpya nanguvu Ila bado vichefu chefu vilinisumbua basi Dada angu akaniambia jmos Kuna ibada jmos nikamwamsha dada nikamwbia twende tukaenda ao adi kanisani ...Hali ikawa ile ile tapika tapika Safar hii skupelekwa mbele pale pale nilipokaa nikaanz kuona mende wakinikimbia kwa mbele yangu mende wengi wale wadogo wadogo wale nilishangaa nikamgeukia Dada nikamuliza ivi umu kanisani Kuna mende???

Kwa mnaolijua kanisa la wrm kivule -matembele y pili kwa nabii suguye mtakuwa na majibu pale mende zinatoka wapi? Na mbona niliziona Mimi tu dada angu alisema hakuna mende mbele yangu

Basi mwisho dada akalud kwake namm nikaendelea kwenda na kwenda nk na nikapona kabisa ndoto zangu zikabadilika nikaanza kuota ndoto za watu wanalia na kuniomba msamaha wakidai wanakufa

Nilikuw naota nasex na mwanaume Safar hii baad y kwenda kanisani nikamuota Yule mwanaume amefungwa ktk chumba alafu akawashwa Moto na kuungua uku akilia akiomba msaada nk

Nikawa naota nafukuzwa na watu maporini misituni wakiniambia kwa ukali toka toka ww sio mwenzetu toka zako uku wakinikimbiza Sana kwamba awanitaki

Mala nikaota kule tanga nilipoendag na mzazi wangu kule nikaota pale Kuna Mbuyu mkubwa Sana alaf Kuna mwanamke ananiamrisha kukaa chini y ule Mbuyu lakin Yule aliekuw ananisaidia kuwaua wale waliokuw wananiomb msamaha akatokea akampiga akamuua Yule mama aliekuw anatak nikae pale kweny Mbuyu alafu akaniambia marufuku kukanyagwa huku nenda kanisani nenda kanisani nenda kanisani Kama unatak mtoto kazi ndoa nenda kanisani adi nikashtuka

Mala nikaota Yule mtu alokuw ananisaidia kuua wale watesi wangu nilimuona akiwa mbele yngu anachonga balabala ikanyooka lakini katikati y barabara kulikuw na mwembe mkubwaaa Sana akanigeukia akaniambia Yola ngoja balabala niipitishe uku uku afu ninyooshe mbele huu mti nitakuja siku ingine na greda kuukata ili niuchimbe adi mizizi nikamjibu sawa nikashtuka.

Mambo pia yalininyoookea hamna mifano Yani nikawa naota napanda nafik juu kilelen bila kupolomoka Tena kwa Kasi ya radi ...

ATA mtaan nikapemdwa mno mno na watu nikashangaaa Sana Sana nikapata mchumba akaja nyumbn akafanya taratibu nk, nikapat ujauzito bila shida Yani. Nikawa naota naua majoka makubwa Sana wakat wa ujauzito nk nikawa naota ndoto za USHINDI na kusulubu watesi wangu.

Nilivojifungua mzazi wangu akasema tukamfunge mtoto dawa kwa mganga chanika ili wenye macho mabaya wasimfanyie vibaya akanitisha namimi nikaingia mkenge nikakubali nikaenda na mtoto pale chanika magengeni akafungwa dawa Kama kifungo kitambaa cheus kiunoni na mkononi
Akika skujua Kama nimejichimbia shimo mwenyew na kudumbukia umo ....

Mungu wangu akaniacha mala nikachukia kanisa Tena na Hali ikaanza kurudi taratibu na Yule mtu ktk ndoto aliekuw akiwaua wabay wangu adi wananiomba radhi sjapat kumuona Tena adi naandika hii story yangu, nauchukia usiku umekuw usiku wa mauza uza na malue lue kwangu kazi nikapoteza nilikuw nafanya kazi st kizito hosp mikumi as a nurse assistant (medical attendant) Tena nilisoma baad y kupona Yale Mambo y uchawi na mwanaume niliezaa nae ndie alinisomesha chuo mkoani iringa na kufanikiw kupat Kaz pale hosp y mishen st kizito mwaka 2015 mtoto nilizaa 2019.

Kwasasa Sina kazi ,Hali ngum kwangu,mandoto mabaya ,kujiskia vibaya vibaya ,Nina mtoto anamiak 3 Sasa na Mimi na baba mtoto tumeachana 2020 tumefanikiwa kujenga nyumba kivule -matembele y pili alinunua uko ili Mimi niwe karibu na kanisa lakini tumeachana na yeye yupo iringa Mimi nikabeba kilichochangu nikaludi kwa wazazi uku nyumba ikibaki haina MTU Wala mpangaji mpk leo MDA huu na kiufupi ni ngumu kukudiana ndugu walijitaidi kuweka suluu lakin naskitika imeshindikana kabisa pia napatwa na depression Sana sometime .napanic ATA kwa mzee wangu kwasababu chimbiko la matatizo yote ni yeye uko kwao nampenda Sana my mom Ila kunamda najuta kuzaliwa ktk yeye amenipa tabu toka mdogo

Na Sasa kila nikijalibu kutak kwenda kanisani nashindwa najiskia mzito Sana na nakwama Sana fedha niliwek Nia y kwenda kanisani.

Naomba msaada wa kuwekwa ktk maombi ili nipate REHEMA NA kibali Tena Cha msamaha wa dhambi ya kukimbilia kwa mganga ni my mom simlaumu Sana ndio maana dhambi imenidondokea kwasababu nilionywa.

Plz Yani niweke ktk maombi nami natubu dhambi .ya kumuacha Mungu alienitoa misri , hakika MUNGU YUPO NA ANATENDA KAZI .

Asante.
We na huyo Suguye wako wote ni matapeli
 
Habari marafiki, naomba ku-share nanyi kuhusu huu mkasa wangu namna gani niliteswa na nguvu za giza pasipo Mimi kufahamu.

Mwaka 2010 wakati namaliza elimu yangu ya secondari pale Mugabe Sinza madukani nilikuwa napitia wakati mgumu Ila sikuwa najua kwamba kilichonisumbua ni ushirikina.

Kwanza Mara kwa Mara nilikuwa naota ndoto mbaya mno baadhi ya ndoto hizo ni Kama kuota Ela shilingi 5,10,50, 20 na shilingi 100. Tena nikiwa naokota nyingi Sana barabarani ktk mchanga kiasi ktk ndoto nikawa najiona nina fedha nyingi mno za sarafu zenye thamani hizo. Nilipomaliza secondary Mambo yakazidi nikawa naota naporomoka kutoka katika mlima mrefu sana kwa Kasi ya umeme na pia kuota nakimbizwa na mbwa kung'atwa na mbwa weusi kufukuzwa na mtu mweupe mwenye midevu ya mvi akiwa kavaa kanzu huku mkononi ameshika kivuli changu.

Nikawa naota naomba omba Ila ninaowaomba ni wale omba omba wa barabarani viwete walemavu nk na pesa nilikuwa naomba ni 50 nao huninyima na watu wanaopita mabarabara huninyima na kuwapa wale ombaomba wengine.

Mara naota natembea gafla napotea naanza kurudi nyuma njia nisiyoijua nk nk nk.

Huku ktk uhalisia wa kawaida maisha yalinikung'uta mno japo nilifeli form four lakin sikupata MWELEKEO wa Nini Cha kufanya ili kusonga na maisha mbele, hali ikaendelea na nikaanza kuugua gafla.

Nikakonda mno yaani ikifika saa 7 mchana nasikia harufu ya udi na naanza kuzidiwa sana hadi muda wa saa 7 upite ndipo nakaa sawa na ikifika saa 8 usiku naanza kuumwa kuanzia miguuni kunakuwa kama kwa baridi sana nk.

Nilikuwa natumia dawa za malaria kimya mwisho nikamshilikisha mama ndipo Safar ya kwa waganga ikaanza rasmi.

Nikazunguka kwa msaada wa mzazi wangu Dar, Tanga, Madibila ,Iringa ,Morogoro nk bila mafanikio huku Hali yangu ikiwa very serious.

Nikaanza kuona vitu vya ajabu mfano nikikaa nahisi kitu kimepit nyuma yngu like kivuli kwa kasi ,sometime nikaanza kuskia saut y Kama naitwa kutokea chumban napolala, Ila saut nazozifaham Mara nikaanz kuskia watu wakiimba maskion mwangu saut zakike nisizozijua nikawa usiku naskia michanga au jiwe juu y bati pia ndoto za kutisha azikukoma ndoto za kuingiliw , kuona live Kama nimelala na mtu anaetisha usiku nk Na atmae nikachanganyikiwa rasmi.

Wazazi walinipambania mno mno madawa y kunywa kujifusha kuoga kunuiza nk ndio ilikuw Kama chakula kwangu Yani nililia uku nikikonda Sana na kuumwa mno hosp pale Amana na kinondoni hosp waliniambia Sina tatizo Ila Nina u.t.i tu

Nikaanzishiwa dawa kutibu u.t.i, badae wazee wakanipelek kwa mganga morogoro chamwino mskitini Yule mzee akanitoa vitu kibao sehemu mbalmbal z mwil nikapat nafuu kiduchu Sana lakini Cha ajabu ilikuw ikifika tu mwisho mwa mwezi ndio nazidiwa hoi hoi.

Nilishauliwa kwenda kanisani nakataa nakasilika nanuna kabisa siamini niliwaambia Ivo kuwa siamini maombi.
Badae Dada angu mtoto wa mama mkubwa akaj nyumbn kuniona baad y kuambiwa naumwa Sana na Hali mbaya, alivokuja akaniambia Yola utake ustake lazima uokoke nikamsonya nikamlukia nikamkaba nikamwambia ntakuua endelea kunishobokea siku iyo ilikuw taflani japo nipo hoi lakini nilikuw na nguvu mno za kupigana nikielezwa Mambo y kanisa napatwa na hasira Kali.

Dada yangu akujali alilala chumba kingine na asubui nikanyanyuliw kinguvu kwamba leo tunakwenda kanisani. Nikapakiw kweny gar Safar ikaanza kutok nyumbn adi kanisani kwa nabii suguye kule kivule-matembele ya pili. Tukafika nikashikwa mkono kinguvu lakini Mimi toka nikanyage mahali pale skupat utulivu nilikuw najiskia kichefuchefu Sana na kizunguzungu, Dada angu akanipandish juu golofani tukakaa Ila nilipokaa tu nikamwambia natak kutapika akaniambia tapik apa APA nikaon si sawa nikamwambia nitoe nje nikatapike akanitoa kule kichefuchefu kikataa nilipoona nafuu tukalud ndani ile kuzam tu ndani kikapanda ata skukalibia kiti changu nikatapika mapovu mapovu ivi kikatulia

Suguye akaingia ibada ikaanza ikafkia stage ya maombezi nilizidiwa wakanibeba mzobe mzobe adi kule mbele y madhabau nikawa natapika Sana mapovu lakini pale mbele niliweza kuona mende wengi kidogo wananikimbia mbele yangu nikawa nawakazia macho ila nikawa sioni wanapopotelea uku nikiwa naendelea kutapika .

Basi ibada ikaisha tukaludi nyumbn nikajiskia mwepes Sana na kwa Mara y kwanza toka 2010 nikaweza kulala vzr bila ndoto mbaya zozote asubui nikajiis mpya nanguvu Ila bado vichefu chefu vilinisumbua basi Dada angu akaniambia jmos Kuna ibada jmos nikamwamsha dada nikamwbia twende tukaenda ao adi kanisani ...Hali ikawa ile ile tapika tapika Safar hii skupelekwa mbele pale pale nilipokaa nikaanz kuona mende wakinikimbia kwa mbele yangu mende wengi wale wadogo wadogo wale nilishangaa nikamgeukia Dada nikamuliza ivi umu kanisani Kuna mende?

Kwa mnaolijua kanisa la wrm kivule -matembele y pili kwa nabii suguye mtakuwa na majibu pale mende zinatoka wapi? Na mbona niliziona Mimi tu dada angu alisema hakuna mende mbele yangu

Basi mwisho dada akalud kwake namm nikaendelea kwenda na kwenda nk na nikapona kabisa ndoto zangu zikabadilika nikaanza kuota ndoto za watu wanalia na kuniomba msamaha wakidai wanakufa

Nilikuw naota nasex na mwanaume Safar hii baad y kwenda kanisani nikamuota Yule mwanaume amefungwa ktk chumba alafu akawashwa Moto na kuungua uku akilia akiomba msaada nk

Nikawa naota nafukuzwa na watu maporini misituni wakiniambia kwa ukali toka toka ww sio mwenzetu toka zako uku wakinikimbiza Sana kwamba awanitaki

Mala nikaota kule tanga nilipoendag na mzazi wangu kule nikaota pale Kuna Mbuyu mkubwa Sana alaf Kuna mwanamke ananiamrisha kukaa chini y ule Mbuyu lakin Yule aliekuw ananisaidia kuwaua wale waliokuw wananiomb msamaha akatokea akampiga akamuua Yule mama aliekuw anatak nikae pale kweny Mbuyu alafu akaniambia marufuku kukanyagwa huku nenda kanisani nenda kanisani nenda kanisani Kama unatak mtoto kazi ndoa nenda kanisani adi nikashtuka.

Mala nikaota Yule mtu alokuw ananisaidia kuua wale watesi wangu nilimuona akiwa mbele yngu anachonga balabala ikanyooka lakini katikati y barabara kulikuw na mwembe mkubwaaa Sana akanigeukia akaniambia Yola ngoja balabala niipitishe uku uku afu ninyooshe mbele huu mti nitakuja siku ingine na greda kuukata ili niuchimbe adi mizizi nikamjibu sawa nikashtuka.

Mambo pia yalininyoookea hamna mifano Yani nikawa naota napanda nafik juu kilelen bila kupolomoka Tena kwa Kasi ya radi.

ATA mtaan nikapemdwa mno mno na watu nikashangaaa Sana Sana nikapata mchumba akaja nyumbn akafanya taratibu nk, nikapat ujauzito bila shida Yani. Nikawa naota naua majoka makubwa Sana wakat wa ujauzito nk nikawa naota ndoto za USHINDI na kusulubu watesi wangu.

Nilivojifungua mzazi wangu akasema tukamfunge mtoto dawa kwa mganga chanika ili wenye macho mabaya wasimfanyie vibaya akanitisha namimi nikaingia mkenge nikakubali nikaenda na mtoto pale chanika magengeni akafungwa dawa Kama kifungo kitambaa cheus kiunoni na mkononi Akika skujua Kama nimejichimbia shimo mwenyew na kudumbukia umo.

Mungu wangu akaniacha mala nikachukia kanisa Tena na Hali ikaanza kurudi taratibu na Yule mtu ktk ndoto aliekuw akiwaua wabay wangu adi wananiomba radhi sjapat kumuona Tena adi naandika hii story yangu, nauchukia usiku umekuw usiku wa mauza uza na malue lue kwangu kazi nikapoteza nilikuw nafanya kazi st kizito hosp mikumi as a nurse assistant (medical attendant) Tena nilisoma baad y kupona Yale Mambo y uchawi na mwanaume niliezaa nae ndie alinisomesha chuo mkoani iringa na kufanikiw kupat Kaz pale hosp y mishen st kizito mwaka 2015 mtoto nilizaa 2019.

Kwasasa Sina kazi ,Hali ngum kwangu,mandoto mabaya ,kujiskia vibaya vibaya ,Nina mtoto anamiak 3 Sasa na Mimi na baba mtoto tumeachana 2020 tumefanikiwa kujenga nyumba kivule -matembele y pili alinunua uko ili Mimi niwe karibu na kanisa lakini tumeachana na yeye yupo iringa Mimi nikabeba kilichochangu nikaludi kwa wazazi uku nyumba ikibaki haina MTU Wala mpangaji mpk leo MDA huu na kiufupi ni ngumu kukudiana ndugu walijitaidi kuweka suluu lakin naskitika imeshindikana kabisa pia napatwa na depression Sana sometime .napanic ATA kwa mzee wangu kwasababu chimbiko la matatizo yote ni yeye uko kwao nampenda Sana my mom Ila kunamda najuta kuzaliwa ktk yeye amenipa tabu toka mdogo.

Na Sasa kila nikijalibu kutak kwenda kanisani nashindwa najiskia mzito Sana na nakwama Sana fedha niliwek Nia y kwenda kanisani.

Naomba msaada wa kuwekwa ktk maombi ili nipate REHEMA NA kibali Tena cha msamaha wa dhambi ya kukimbilia kwa mganga ni my mom simlaumu Sana ndio maana dhambi imenidondokea kwasababu nilionywa.

Plz Yani niweke ktk maombi nami natubu dhambi .ya kumuacha Mungu alienitoa misri , hakika MUNGU YUPO NA ANATENDA KAZI.

Asante.
@Bujibuji Simba Nyamaume njoo huku
 
Pole sana. Kwanza tubu kwa Yesu Kristo na halafu ondoa ile dawa kwenye mwili wa mtoto kata hicho kitambaa cheusi ukichome moto huku ukisali. Endelea kwenda kanisani kuomba Mungu atakusamehe na kukutudishia mema yake.
 
Hawa manabii na mitume ni matapeli sana,huyu nabii suguye kucha zangu na nywele hapati labda za wajinga
20220728_151954.jpg
 
Back
Top Bottom