labda maku ya housegirl inamumunya dushe kama pipi .... mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuKwani huyo house girl ana maku gani na huyo dada ana maku gani?
Nataka nijue tu... Eti mke alichukua na gari yake ?!Baadhi ya wanaume ni shida tupu yaani unaweza ua mtu hivihivi maana ni afadhali kufungwa jela hata miaka mia kuliko kuvumilia kumuona bado anaishi.
Yamemkuta mdada family friend wetu , huyu dada namfahamu toka tukiwa wadogo kweli ana tabia nzuri mpole asie na mambo mengi ni msomi na ana kazi yake nzuri tu . kwenye mapenzi wakapendana na mkaka dreva tax wakaoana miaka sita sasa na wamejaliwa watoto wawili,
Baada ya kuoana kwa vile mdada alikuwa na kazi nzuri anafanya airport akamununulia mkaka gari ili aachane na kumfanyia mtu mwingine kazi aendeshe gari lao.na pia mdada akafungua grocery msimamizi mkuu mume wake.Mwanaume kawa royal maisha mazuri.
Hivi karibuni ndoa yao ikaanza kuyumba ndo bibie kanishirikisha kwamba anahisi mumewe anatoka kimapenzi na house girl wake maana house girl siku hizi hamueshimu kama zamani, mi nikamwambia usiwaze vibaya labda housegirl ana mambo yake tu si unajua tena hawa ni wakuwabembeleza na ukizingatia una mtoto mdogo.na akaniambia pia hela ya grocery hajui zinaenda wapi kila akimuuliza mumewe vipi anadai biashara hakuna ila vitu vinaisha,akimuuliza mbona sasa vitu vinapungua na unasema hujauza wakati hapa center nzuri ya biashara anamjibu nimekunywa mimi. grocery mwaka tu mtaji mwanaume kaufilisi ikabidi wafunge.
Hee! Jana bibie si kawafumania kweli housegirl na mume. jamani mdada wa watu kachoka uwiii ni kulia tu halafu mume wake anamwambia ndo hivyo fanya chochote utachoamua kufanya!!.
Nyumba walokuwa wanaishi ya kupanga alipangishiwa mdada kazini so wanaishi hapo na mume ili awe karibu na kazi ,ndo mdada kumwambia mume aondoke atoe kila kilicho chake asepe maana hapo kwake,Mume katoa vitu vyake huwezi amini si mwanaume kaondoka na mfanyakazi wakaenda mtaa wa pili kupangisha na mfanyakazi uwiiiiiii jamani!. mdada ananiomba ushauri nimesikia kutetemeka nimemwambia amuue tu huyu mwanaume Afanye tu namna amkabe koo uwiiiiii maana hii haivumiliki kumuacha kuona akiwa hai huyo mwanaume wakiishi pamoja na mfanyakazi ,uwiii mi ningeua kwa mikono yangu kabisa.Mungu anisamehe.ni nini hichiii????!!!.
wanaume mnataka nini??? kwanini mnasababishia wanawake matatizo jamani tena mama watoto wako hadi kufikia hatua ya kumdharau kiasi cha kutembea na mfanyakazi wa ndani kwake kabisa???? si bora basi ungetafuta mwanamke huko nje???? Hata kama mwanamke ana kosa ila ni vyema angemwambia au basi afadhali mara mia angetoka kutembea na mwanamke mwingine huko nje basi na sio housemaid wake
Na kwa huyu dada kusema labda mdada kamuachia housegirl amuhudumie mumewe hapana,huyu dada namjua anajituma sana na ni mtu anayepinga sana housegirl kumuhudumia mume.
Wanaume nini kinawasumbua?? kwanini kama unajua ukiingia kwenye ndoa huwezi kutulia usiache kabisa kuoa????.
Anaona ni kama kumuua mende na ndalaKuua unakuchukuliaje Emoj??
Anaona ni kama kumuua mende na ndala
Halafu kwa kitu alichofanyiwa mwingine..dah.[/QUOTE
Hajamshauri kitu sahihi
Ndio hapa uone wakati mwingine tunaomba ushauri watu ambao hawana hekima ya kibinadamu katika kupambanua mambo na kuona impact ya anachokishauri baadae
Huwezi jua ya chumbani. Inawezekana rafiki yako anamnyima utamu jamaa, au anampa kwa mashariti.Baadhi ya wanaume ni shida tupu yaani unaweza ua mtu hivihivi maana ni afadhali kufungwa jela hata miaka mia kuliko kuvumilia kumuona bado anaishi.
Yamemkuta mdada family friend wetu , huyu dada namfahamu toka tukiwa wadogo kweli ana tabia nzuri mpole asie na mambo mengi ni msomi na ana kazi yake nzuri tu . kwenye mapenzi wakapendana na mkaka dreva tax wakaoana miaka sita sasa na wamejaliwa watoto wawili,
Baada ya kuoana kwa vile mdada alikuwa na kazi nzuri anafanya airport akamununulia mkaka gari ili aachane na kumfanyia mtu mwingine kazi aendeshe gari lao.na pia mdada akafungua grocery msimamizi mkuu mume wake.Mwanaume kawa royal maisha mazuri.
Hivi karibuni ndoa yao ikaanza kuyumba ndo bibie kanishirikisha kwamba anahisi mumewe anatoka kimapenzi na house girl wake maana house girl siku hizi hamueshimu kama zamani, mi nikamwambia usiwaze vibaya labda housegirl ana mambo yake tu si unajua tena hawa ni wakuwabembeleza na ukizingatia una mtoto mdogo.na akaniambia pia hela ya grocery hajui zinaenda wapi kila akimuuliza mumewe vipi anadai biashara hakuna ila vitu vinaisha,akimuuliza mbona sasa vitu vinapungua na unasema hujauza wakati hapa center nzuri ya biashara anamjibu nimekunywa mimi. grocery mwaka tu mtaji mwanaume kaufilisi ikabidi wafunge.
Hee! Jana bibie si kawafumania kweli housegirl na mume. jamani mdada wa watu kachoka uwiii ni kulia tu halafu mume wake anamwambia ndo hivyo fanya chochote utachoamua kufanya!!.
Nyumba walokuwa wanaishi ya kupanga alipangishiwa mdada kazini so wanaishi hapo na mume ili awe karibu na kazi ,ndo mdada kumwambia mume aondoke atoe kila kilicho chake asepe maana hapo kwake,Mume katoa vitu vyake huwezi amini si mwanaume kaondoka na mfanyakazi wakaenda mtaa wa pili kupangisha na mfanyakazi uwiiiiiii jamani!. mdada ananiomba ushauri nimesikia kutetemeka nimemwambia amuue tu huyu mwanaume Afanye tu namna amkabe koo uwiiiiii maana hii haivumiliki kumuacha kuona akiwa hai huyo mwanaume wakiishi pamoja na mfanyakazi ,uwiii mi ningeua kwa mikono yangu kabisa.Mungu anisamehe.ni nini hichiii????!!!.
wanaume mnataka nini??? kwanini mnasababishia wanawake matatizo jamani tena mama watoto wako hadi kufikia hatua ya kumdharau kiasi cha kutembea na mfanyakazi wa ndani kwake kabisa???? si bora basi ungetafuta mwanamke huko nje???? Hata kama mwanamke ana kosa ila ni vyema angemwambia au basi afadhali mara mia angetoka kutembea na mwanamke mwingine huko nje basi na sio housemaid wake
Na kwa huyu dada kusema labda mdada kamuachia housegirl amuhudumie mumewe hapana,huyu dada namjua anajituma sana na ni mtu anayepinga sana housegirl kumuhudumia mume.
Wanaume nini kinawasumbua?? kwanini kama unajua ukiingia kwenye ndoa huwezi kutulia usiache kabisa kuoa????.
Jela inakuhusu.nilishawah kufikiria kuua pia...!!
Sawasawa baba mchungaji. Ila nanyi muache Kula kondoo wenu.ndo maana nikasema wachungaji tuliobaki tuna kazi sana!!we mtu anajiapiza kuua utafikiri yeye hajawahi kumkosea Mungu!!aachane naye maombi yetu yanatosha!
kondoo wengine nao wanajitafutiaga matatizo...we unaona kondoo kaja halafu kanona mkia...utafanyaje sasa!Sawasawa baba mchungaji. Ila nanyi muache Kula kondoo wenu.
Wanawake bhana!
1. "Akamwambia atoe vitu vyake asepe."
2. "Mume akatoa vitu vyake, akasepa na house girl na kupanga mtaa wa pili."
3. "Aliposikia hivyo, akaumia sana na ananiomba ushauri afanye nini?!"
Umemsepesha wewe mwenyewe, unatulilia sisi tukusaidie nini?! Ungekuwa na akili ungemsepesha house girl ukaanza moja na mumeo! Ndoa si kitu rahisi.
na akifa kesho kwa mfano nani atalea watoto?Yani wewe Una roho mbaya ndo Ushauri gani wakumpa mwenzako, akifungwa huko keko na wale watoto nani atalea?? yani wanawake wengine akili zetu tunaziweka kwa wanaumeee tuu, yani tunaona wanaume ndo kila kitu, sasa sikiliza kamshauri huyo dada kwanza aache kulia na amshkuru Mungu kwa kumuonyeshea hilo, amegundua hilo mapema pengine huyo dada wa kazi angeweza kuja kumuwekea sumu yeye na wanawe wakafa akajifaidia mume na vijimali alivyovihangaikia mwenyewe,..Mwambie akili yake iangalie kazi zake na mali zake na amuombe Mungu amsimamie, Sasa mwanaume kama huyo wamlilia pia jamani, ndio inauma lakin anatakiwa asimame imara, na wewe acha kumshauri ujinga ati aue kisa nini?? akishafungwa segerea ndo utapata faida gani? wewe na yeye? Tena kipindi hichi unapaswa uwe nae karibu jitahidi kutoka toka nae kila weekend mbadilishe mazingira chukua watoto wake na yeye mtoke toke kwa sana, asahau kabsaa hilo jana dume na amuachie mungu, Huyo mwanaume atarudi mikono nyuma.