Mumewe atembea na msichana wa kazi na kupangisha nae chumba mtaa wa pili

my dear I can not generalize but a good number of us tupo vile. Issue ni pale mnapokuwa Na differences Na mama akatamka kuwa niachie wanangu, we always feel bad and one might turn to disown them. This is a naked truth and do not forget the inferiority that prevailed in the said family, it's is for a man to be in the same situation my dear

I do still say , I do understand but it will never remove the nightmare he left to his wife .. Thanks..
 
Pole kwa Rafiki yako na wewe pia.
Nimegundua hili kwenye bandiko laki
1. Baadhi ya Wanawake wanadhani kwamba ukimfadhili mwanaume basi utamfanya kulipa fadhila kwa yeye kukupenda na kuwa mwamimifu kwako. Ni kosa kubwa Sana maana haipo hivyo..."there is no price tag for loyalty"

2. Ni wachache tu ambao mnajifunza hatari ya wadada wa kazi. Ndoa kadhaa za watu ninawafahamu zimevunjika kwa sababu ya wadada wa kazi, siwalaumu wadada wa kazi moja kwa moja lakini nao ni "target" ya wengi kutembea na waume za waajiri wao. Kuweni makini mtaendelea kulia mpaka lini?

3. Maisha yanapaswa kuendelea, asijione mkosaji yawezekana alifanya jitihada zake zote ili ndoa yake idumu. Si wakati wa kujilaumu, aanze maisha upya najua haiwezi kuwa rahisi , itachukua muda lakini kipi muhimu kuendelea kulia au kuendelea na maisha yake ili kuweka mustakabali mwema kwa ajili yake, familia yake na kwa mtoto wake.
 
Pole sana aisee. ila kuna kauli moja niliisikia sehemu inasema hivi" K moja inachosha". Maana wanaume wengi si wote akisha ila K kwa miaka kadhaa mapenzi yanapungua na anachoka pia. Ndio haya mambo ya kuwa fukutua ma HG yanapoanza.
 
Back
Top Bottom