Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,620
- 5,513
Bila shaka anaishi kwa shemejimwenzetu wewe naona kwenu mna sukari
Bila shaka anaishi kwa shemejimwenzetu wewe naona kwenu mna sukari
Nipae anganiiii......Tintin tin tnintitiii, Alfajiri upepo wa bahari umenijia nikaona nyota ya kwanza ya mashariki, kuishi visiwani mama kuna utamu wake Unguja ,Pemba na Zanzibar ni visiwa vya kwetu eee, tilitilliiii siku nitafika pemba mimi sutaambali * 2 nitembeze sehemu zote hadi mwishooo kuishi visiwani mama kuna utamu wake Unguja, Pemba, Zanzibar visiwa vya kwetu eee marashiii ya pembaaaaa Zanzibarrrrrrrr,wallah sitabaki naenda pemba Ndege naruka uuuuhhh, Nasikia ni kuzuriii jioni kuna upepo eti unanukia marashi ya karafuuuu ....
Haogopeki sasa akiwa mwenyekiti ndo.......Halafu nyie CHADEMA mbona mnapiga sana kelele ili Magufuli asiwe mwenyekiti wa CCM? Mnaogopa nini?
Huyu mzee akiongea simsikii nasikia mgurumo tuMmoja kati ya waasisi wa CCM Mzee Ibrahim Kaduma ameunga mkono hoja ya Rais kutokuwa Mwenyekiti wa Chama.
Hayo yalijiri jana akichangia katika muadhara wa Kigoda cha Mwalimu.
Akichambua kwa hoja Mzee huyo alisisitiza kuwa ni muda muafaka sasa kuwa na Mgawanyo wa Majukumu.
Wanafiki utawaona tu hasa wakibanwa hutafuta hata visingizio visivyofikirika,kwanza hata anachokizungumza hakieleweki ananguruma tu .Kwa nini aseme leo wakati miaka yote alikuwa kimya labda ni jipu.
Hahahahahahahahah sawa kabisaNipae anganiiii......
Nipae anganiii nikatue mbali juu kwa juu nione nikatue pemba ooh pemba zanzibar ,nasema sitabki naenda pemba ndege naruka ndiii nasika ni kuzuriii jioni kuna upepoo upepoo unanukia marashi ya karafuuuNipae anganiiii......