KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
Nimegundua na wapinzani wa CCM hawapendi JPM awe M/Kiti, sababu wanajua atakuja kufanya mabadiliko, Chama kitakua cha kisasa, kitajitegemea kweli kweli, hakitakua na makando kando, hivyo mwisho wa siku upinzani utakosa Hoja ya kuisema CCM..
JPM go go go tulinadi na tulieleza Mabadiliko ya kweli na Magufuli, Na mwanga tunauona
Mimi kama mpinzani namuombea magu awe mwenyekiti wa ccm ili akifumue mpaka moyo wake ccm auweke nje hili ife kifo cha mende adharani