Mtu wa kwanza kuumbwa (Adamu) hakuwa mwanaume

Mwanzo 2:21 "Bwana Mungu Akamletea Adamu Usingizi Mzito, Naye Akalala; Kisha ....................... Mstari Wa 22 " Na Ule Ubavu Alioutwaa Katika Adamu Bwana Mungu Akaufanya Mwanamke, Akamleta Kwa Adamu"
Soma Mwanzo 2:18-25 Ukipata Muda.
Mtoa mada akisoma hapa ataelewa
 
Mleta mada, hapa kuna jambo ambalo kwa hali ya kawaida ni ngumu sana kuliamini na wengi ukiwambia watakuona kama mwendawazimu lakini huo ndio ukweli wenyewe.
Kwamba siku ya kwanza mwanadamu kuumbwa aliumbwa akiwa na mchanganyiko wa jinsia mbili ndani ya mwili mmoja.

Kwasababu;
1: Mungu akasema na tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu.
Kauli hii INA utata mwingi sana kwa mtu makini mfano atajiuliza Mungu ni mmoja sasa hawa aliokuwa anashauriana nao hapo walikuwa ni kina nani hadi aseme kwa sura na mfano kwetu. Tuliache hilo kwasababu sio mada husika.
Kwamujibu wa kauli hii ndipo ikapelekea mtu kuumbwa.mwanzo 1,26.(shauri la kuumbwa kwa mwanadamu)

Katika mstari wa 27. katika sura hiyo ya kwanza inatoa uthibitisho wa kuumbwa kwa huyo mtu.
Basi Mungu akamuumba mtu kwa sura na mfano wake, mwanamke na mwanamume,akawabariki.
Hapa tunapata uthibitisho kuwa kweli mtu huyo aliumbwa ila sasa kuna utofauti wa kijinsia baina ya watu hao.

Baada ya kuwaumba hao watu sasa, mstari 28 unazungumzia maagizo walio pewa hao watu.
- wazae waongozeke, wakaijaze nchi.
Kwamaelezo ya mistari hiyo mitatu tumepata shauri la kuumbwa kwa MTU(mmoja) , utekelezwaji wa shauri (hapa tunaona sasa watu wapo wawili mke na mume) na Maagizo waliopewa. Haya ni Maelezo ya jumla kuhusu uumbaji wa mwanadamu.

Sasa tunakuja kudadavua jinsi walivyoumbwa.
- Tunaona kuwa Mungu alichukua mavumbi ya nchi akafinyanga akamfanya Adamu.
-Mungu akampulizia pumzi ya uhai Adamu akawa nafsi hai.
Hapa tunaona Adamu amekamilika kuumbwa tayari Lakini Mungu bado akasema tena.
-si vema MTU huyu awe pekeake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae. Mwanzo 2, 18-20

(Kwa maana hiyo,mtu aliyekusudiwa kuumbwa alikuwa tayari kesha umbwa ila tatizo alikuwa katika umoja, sasa linakuja shauri la kutengeneza Mwingine).
Haya sasa tuangalie huyu mwingine alipatikanaje.

-Adamu akapewa usingizi mzito, na sehemu ya ubavu wake ikatwaliwa na kuumbwa mtu.mke Ambae ni Hawa.
Hiyo ni kwa mujibu wa mwanzo 2 2,21-22.

Sasa uthibitisho wa kwamba mtu huyu alikuwaje kabla ya Mungu hajamtenganisha tunaupata katika Sura ya tano ya kitabu cha mwanzo,

Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu.siku ile Mungu alipoumba mtu kwa sura na mfano wake alimfanya; (zingatia ni MTU sio watu) mwanaume na mwanamke, aliwaumba, akawabariki akawaita jina LAO ADAM, siku ile walipoumbwa. Mwanzo 5,1-2.
Hapo utaona kuwa yule MTU wa kwanza kuumbwa aliitwa ADAM kabla ya kutenganishwa. Inamaana MTU huyu alikuwa ni wawili katika mmoja. Ndipo hapo andiko linasema kuwa akawaita jina lao Adam yaani hapa ni kwa umoja wao kwakuwa walikuwa ndani ya mwili na umbo moja.
Baadaye Mungu akaja kuwatenganisha na hapa sasa ndipo tunapata jina lingine linalobeba nafsi ya KE ambalo ni hawa.
Kwahiyo basi ni uthibitisho tosha kuwa ndani ya Adam (MTU wa kwanza) kulikuwa na ME na KE.

2; Tunaona katika Uumbaji wa MTU wa kwanza Adam Mungu alitumia mavumbi ya nchi kuumba na mtu akawa kama sanamu tu lakini alipompulizia Pumzi ya uhai maandiko yanasema huyo MTU (Adam)akawa nafsi hai.
Lakini katika uumbaji wa mtu wa pili Mungu hakuchukua tena Mavumbi ya nchi bali aliludi pale kwenye ubavu wa MTU wa kwanza Adam, kwanini??? Je hakuwa na uwezo huo tena???
Hapana jibu hapa ni kwamba hakuwa na sababu ya kufanya hivyo kwa kuwa tayari nafsi KE ameshaimba pamoja na ME alachokifanya yeye ni kuenda tu kutenganisha ili Kila nafsi na jinsia iwe na mwili wake.
 
Mleta mada, hapa kuna jambo ambalo kwa hali ya kawaida ni ngumu sana kuliamini na wengi ukiwambia watakuona kama mwendawazimu lakini huo ndio ukweli wenyewe.
Kwamba siku ya kwanza mwanadamu kuumbwa aliumbwa akiwa na mchanganyiko wa jinsia mbili ndani ya mwili mmoja.

Kwasababu;
1: Mungu akasema na tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu.
Kauli hii INA utata mwingi sana kwa mtu makini mfano atajiuliza Mungu ni mmoja sasa hawa aliokuwa anashauriana nao hapo walikuwa ni kina nana hadi aseme kwa sura na mfano kwetu. Tuliache hilo kwasababu sio mada husika.
Kwaujibu wa kauli hii ndipo ikapelekea mtu kuumbwa.mwanzo 1,26.(shauri la kuumbwa kwa mwanadamu)

Katika mstari wa 27. katika sura hiyo ya kwanza inatoa uthibitisho wa kuumwa kwa huyo mtu.
Basi Mungu akamuumba mtu kwa sura na mfano wake, mwanamke na mwanameme,akawabariki.
Hapa tunapata uthibitisho kuwa kweli mtu huyo aliumbwa ila sasa kuna utofauti wa kijinsia baina ya watu hao.

Baaya kuwaumba hao watu sasa, mstari 28 unazungumzia maagizo walio pewa hao watu.
- wazae waongozeke, wakaijaze nchi.
Kwaaelezo ya mistari hiyo mitatu tumepata shauri la kuumbwa kwa MTU(mmoja) , utekelezwaji wa shauri (hapa tunaona sasa watu wapo wawili mke na mume) na Maagizo waliopewa. Haya ni Maelezo ya jumla kuhusu uumbaji wa mwanadamu.

Sasa tunakuja kudadavua jinsi walivyoumbwa.
- Tunaona kuwa Mungu alichukua mavumbi ya nchi akafinya akamfanya Adamu.
-Mungu akampulizia pumzi ya uhai Adamu akawa nafsi hai.
Hapa tunaona Adamu amekilika kuumbwa tayari Lakini Mungu bado akasema tena.
-si vema MTU huyu awe pekeake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae. Mwanzo 2, 18-20

(Kwa maana hiyo,tu aliyekusudiwa kuumbwa alikuwa tayari kesha umbwa ila tatizo alikuwa katika umoja, sasa linakuja shauri la kutengeneza Mwingine).
Haya sasa tuangalie huyu mwingine alipatikanaje.

-Adamu akapewa usingizi mzito, na sehemu ya ubavu wake ikatwaliwa na kuualimuumbu.mke Ambae ni Hawa.
Hiyo ni kwa mujibu wa mwanzo 2 21-22.

Sasa uthibitisho wa kwamba mtu huyu alikuwaje kabla ya Mungu hajamtenganisha tunaupata katika Sura ya tano ya kitabu cha mwanzo,

Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu.siku ile Mungu alipoumba mtu kwa sura na mfano wake alimfanya; (zingatia ni MTU sio watu) mwanaume na mwanamke, aliwaumba, akawabariki akawaita jina LAO ADAM, siku ile walipoumbwa. Mwanzo 5,1-2.
Hapo utaona kuwa yule MTU wa kwanza kuumbwa aliitwa ADAM kabla ya kutenganishwa. Inamaana MTU huyu alikuwa ni wawili katika mmoja. Ndipo hapo andiko linasema kuwa akawaita jina lao Adam yaani hapa ni kwa umoja wao kwakuwa walikuwa ndani ya mwili na umbo moja.
Baadaye Mungu akaja kuwatenganisha na hapa sasa ndipo tunapata jina lingine linalobeba nafsi ya KE ambalo ni hawa.
Kwahiyo basi ni uthibitisho tosha kuwa ndani ya Adam (MTU wa kwanza) kulikuwa na ME na KE.

2; Tunaona katika Uumbaji wa MTU wa kwanza Adam Mungu alitumia mavumbi ya nchi kuumba na mtu akawa kama sanamu tu lakini alipompulizia Pumzi ya uhai maandiko yanasema huyo MTU (Adam)akawa nafsi hai.
Lakini katika uumbaji wa mtu wa pili Mungu hakuchukua tena Mavumbi ya nchi bali aliludi pale kwenye ubavo wa MTU wa kwanza Adam, kwanini??? Je hakuwa na uwezo huo tena???
Hapana jibu hapa ni kwamba hakuwa na sababu ya kufanya hivyo kwa kuwa tayari nafsi KE ameshaimba pamoja na ME alachokifanya yeye ni kuenda tu kutenganisha ili Kila nafsi na jinsia iwe na mwili wake.
Asante umefafanua acha waje wengine kutupa zaid
 
Naombeni jina halisi LA MUNGU NI NANI GOD,MUNGU,YEHOVA,N.K KWANINI AWE NA MAJINA TOFAUTI MWENYE KUJUA JINA TU NANI
 
Kati ya majitu mapumbavuuu hili jamaa nalo ni miongoni mwayo! Huo ujinga wenu mnaolishwa na Ellen G. White na kujidai kudadavua Biblia hauwasaidii hakika. Huwa nachukia sana jitu linapojitokeza na kwenda kunyofoa kijimstari kimoja tu kwenye Biblia na linajidai linaijua kwa undani. Hii tabia mnayo sana nyie Wasabato masalia, kwa nini hujaendelea kwenye mistari inayosema "Mungu akaona si vyema mtu huyu awe peke yake, akamtia usingizi mzito akamnyofoa ubavu wake na kumfanya msaidizi wake ambaye Adam alimwita mwanamke?" Soma hapa chini wewe Zombie na usirudie kututia majaribuni sisi, "huwa hatujaribiwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii"

MWANZO 2:21-25
21 Kwa hiyo Yehova Mungu akamletea huyo mwanamume usingizi mzito, na alipokuwa akilala, akachukua ubavu wake mmoja na kisha akafunika nyama mahali pake. 22 Na Yehova Mungu akaufanya ubavu ambao alikuwa ameuchukua kutoka kwa mwanamume kuwa mwanamke na kumleta kwa huyo mwanamume.

23 Ndipo huyo mwanamume akasema:

“Mwishowe huyu ni mfupa
wa mifupa yangu
Na nyama
ya nyama yangu.

Huyu ataitwa Mwanamke,
Kwa sababu huyu
alitolewa katika mwanamume.”
24 Hiyo ndiyo sababu mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja. 25 Na wote wawili walikuwa uchi, huyo mwanamume na mke wake, lakini hawakuona haya.

Kwa hiyo soma hiyo mistari uelewe, usipende kusoma Biblia kiji-mstari kimoja na kujidai kwamba unaifahamu!

Duh, una hasira!! Mkuu huyu Ellen G White amehusikaje hapa?

Pia hawa Wasabati masalia ndo wanachokiamini?

Unadhani hao wasabato na huyo Ellen wao?

Najua wao hutusema vibaya lakini sidhani kama ni busara kumhusisha kila mwenye mtazamo tofauti na wao!

Nashauri tu!
 
Kwa mujibu wa Quran, Adam(radhi za Allah ziwe juu yake) ndio alikuwa wa kwanza kuumbwa, na baadae akafata Hawa(radhi za Allah ziwe juu yake) , ambaye aliumbwa kutoka kwenye upande wa ubavu wa Adam, hayo mengine ya kwako.
 
U have a point.
Nakushauri pia usiamini vitabu hivyo ila soma kama vitabu vingine kwa lengo la kujufunza tu mana kuna masomo mengi ya mapenzi, siasa,uchumi nk.
kwa kawaida huwa sina utaratibu wa kujibu kwenye mitandao hoja juu ya dini/biblia. ingelikuwa tupo pamoja ningekupa ufafanuzi mzuri zaidi na huku tukipitia biblia yenyewe kitabu baada ya kitabu. hata hivyo nitajaribu kukuelekeza kidogo kwa kadiri ya ufahamu wangu.
Binadamu kamili ana vitu viwili, ana roho na ana mwili. Mstari huo wa mwanzo 27 unaongelea uumbwaji wa roho za hao wawili lakini uumbaji wa mwili ulifanyika baadae na aliyeumbwa kwanza alikuwa Adamu. sura ya 2 mstari wa 18 na kuendelea unaonyesha uumbwaji wa huyo wa pili, ambaye ni mwanamke.
 
Kimsingi napenda kujifunza,kama huto jali nipe ruhusa niku pm alafu tuangalie namna gani tunaweza kuonana ili unipe chakula cha ubongo.
Nipo Dar.
 
Kati ya majitu mapumbavuuu hili jamaa nalo ni miongoni mwayo! Huo ujinga wenu mnaolishwa na Ellen G. White na kujidai kudadavua Biblia hauwasaidii hakika. Huwa nachukia sana jitu linapojitokeza na kwenda kunyofoa kijimstari kimoja tu kwenye Biblia na linajidai linaijua kwa undani. Hii tabia mnayo sana nyie Wasabato masalia, kwa nini hujaendelea kwenye mistari inayosema "Mungu akaona si vyema mtu huyu awe peke yake, akamtia usingizi mzito akamnyofoa ubavu wake na kumfanya msaidizi wake ambaye Adam alimwita mwanamke?" Soma hapa chini wewe Zombie na usirudie kututia majaribuni sisi, "huwa hatujaribiwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii"

MWANZO 2:21-25
21 Kwa hiyo Yehova Mungu akamletea huyo mwanamume usingizi mzito, na alipokuwa akilala, akachukua ubavu wake mmoja na kisha akafunika nyama mahali pake. 22 Na Yehova Mungu akaufanya ubavu ambao alikuwa ameuchukua kutoka kwa mwanamume kuwa mwanamke na kumleta kwa huyo mwanamume.

23 Ndipo huyo mwanamume akasema:

“Mwishowe huyu ni mfupa
wa mifupa yangu
Na nyama
ya nyama yangu.

Huyu ataitwa Mwanamke,
Kwa sababu huyu
alitolewa katika mwanamume.”
24 Hiyo ndiyo sababu mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja. 25 Na wote wawili walikuwa uchi, huyo mwanamume na mke wake, lakini hawakuona haya.

Kwa hiyo soma hiyo mistari uelewe, usipende kusoma Biblia kiji-mstari kimoja na kujidai kwamba unaifahamu!
Hapana, kwanza umehukumu visivyo. Anaweza hata asiwe msabato lakini upeo wa kuitafuta kweli na kuongeza maarifa juu ya kumjua Mungu na kuzijua kanuni zake zikamfikisha huko. Mimi si mfuasi wa sabato, na labda siko kokote, lakini kweli hii mara nyingi huwa inanijia.

Kwanza ni kanuni ya uumbaji wa kimbingu kuumba ktk ukamilifu wote, Adam alikamilika baada tu ya kuumbwa.

Siku moja ya Mungu ni sawa na miaka elfu ya kidunia, Adam aliishi miaka mingi tu pasi kuwa na Eva na yote ni ktk ukamilifu wake.

Kibiolojia, mwanaume ana homoni zote za kike, na kinyume chake pia. Ila lililo kuu, mwanamme au mwanamke hawazaliwi na jinsia hizo, bali huzipata baada tu ya kutimiza miaka kadhaa, balehe.

Mwisho, wewe mwenyewe umeonesha hapo juu kwamba, Hawa ametoka kwa Adam, kwahiyo Adamu wa awali alikuwa ni jumuiko la Hawa wa sasa na Adamu wa sasa, alikuwa ni jumuiko la mwanaume na mwanamke kwa pamoja. Huwa najiuliza, ni nini mantiki ya mwanaume kuwa na vimatiti kifuani.
 
Ukakasi wangu upo kwa wanaosema mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa mwanaume,mana maandiko yanaonyesha ni mwanamke na mwanaume na wala si mwanaume tu.
Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nita mfanyia msaidizi wa kufanana naye. Hiyo ni mwanzo 18 ukienda ule mstari wa 21 unasema, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake, na ule ubavu alioutwa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu. Adamu akasema, sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi akaitwa mwanamke kwa maana ametwaliwa katika mwanaume.
 
Kati ya majitu mapumbavuuu hili jamaa nalo ni miongoni mwayo! Huo ujinga wenu mnaolishwa na Ellen G. White na kujidai kudadavua Biblia hauwasaidii hakika. Huwa nachukia sana jitu linapojitokeza na kwenda kunyofoa kijimstari kimoja tu kwenye Biblia na linajidai linaijua kwa undani. Hii tabia mnayo sana nyie Wasabato masalia, kwa nini hujaendelea kwenye mistari inayosema "Mungu akaona si vyema mtu huyu awe peke yake, akamtia usingizi mzito akamnyofoa ubavu wake na kumfanya msaidizi wake ambaye Adam alimwita mwanamke?" Soma hapa chini wewe Zombie na usirudie kututia majaribuni sisi, "huwa hatujaribiwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii"

MWANZO 2:21-25
21 Kwa hiyo Yehova Mungu akamletea huyo mwanamume usingizi mzito, na alipokuwa akilala, akachukua ubavu wake mmoja na kisha akafunika nyama mahali pake. 22 Na Yehova Mungu akaufanya ubavu ambao alikuwa ameuchukua kutoka kwa mwanamume kuwa mwanamke na kumleta kwa huyo mwanamume.

23 Ndipo huyo mwanamume akasema:

“Mwishowe huyu ni mfupa
wa mifupa yangu
Na nyama
ya nyama yangu.

Huyu ataitwa Mwanamke,
Kwa sababu huyu
alitolewa katika mwanamume.”
24 Hiyo ndiyo sababu mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja. 25 Na wote wawili walikuwa uchi, huyo mwanamume na mke wake, lakini hawakuona haya.

Kwa hiyo soma hiyo mistari uelewe, usipende kusoma Biblia kiji-mstari kimoja na kujidai kwamba unaifahamu!
Umenukuu maandiko vizur sana kwa lengo LA kujifunza zaidi Lakini napata mashaka na Akili yako na unajionesha ni kwa Jinsi gani una IQ ndogo Sasa kulikuwa na haja gani utoe povu lote hilo ktk kumuelewesha MTU?? Nabii E.G White anahusika nini na huu Uzi au una bifu na huyu nabii wa Mungu??? Ni kitabu gani cha Mama white Kinachopinga Adamu siyo Mwanamme? Na Hakuanza yeye kuumbwa??? Lete hicho kitabu Jambo Jingine kwa Jinsi ulivyo Mpumbavu Umeingiza Swala LA Wasabato ktk Hoja yako sasa Usabato Umeingiaje ktk huu mjadala?? Na umejuaje kwamba mleta Uzi ni Mwadventista Msabato au Msabato masalia?? Kwa hiyo kama wale wanaomuamini Ellen G white ni wajinga Ahsante wanaweza kuelewa na kubadilika Lakini wewe ni Mpumbavu unaedandia mada bila kufikiri na kujifunza
 
Yaani kiufupi wa kwanza kuumbwa ni mimi na wewe (mume na mke)..then na sisi tukaumba mtu mwingine watoto.na wao wakaumba mwingine ambao ni wajukuu,nakadhalika.nje na hivyo ndo mana utaletewa hadithi nyingi zisizo na ushahidi maalumu zaidi ya story
 
Umenukuu maandiko vizur sana kwa lengo LA kujifunza zaidi Lakini napata mashaka na Akili yako na unajionesha ni kwa Jinsi gani una IQ ndogo Sasa kulikuwa na haja gani utoe povu lote hilo ktk kumuelewesha MTU?? Nabii E.G White anahusika nini na huu Uzi au una bifu na huyu nabii wa Mungu??? Ni kitabu gani cha Mama white Kinachopinga Adamu siyo Mwanamme? Na Hakuanza yeye kuumbwa??? Lete hicho kitabu Jambo Jingine kwa Jinsi ulivyo Mpumbavu Umeingiza Swala LA Wasabato ktk Hoja yako sasa Usabato Umeingiaje ktk huu mjadala?? Na umejuaje kwamba mleta Uzi ni Mwadventista Msabato au Msabato masalia?? Kwa hiyo kama wale wanaomuamini Ellen G white ni wajinga Ahsante wanaweza kuelewa na kubadilika Lakini wewe ni Mpumbavu unaedandia mada bila kufikiri na kujifunza
We kahaba ulilazimishwa kunisoma? Unajuaje mleta mada siyo mtani wa jadi? Nyoko sana wewe!!
 
Ndugu mtoa mada, kama adamu na hawa wote walikuwa na jinsia moja, wangezaanaje hata kuijaza nchi?. Nina wasiwasi na wewe huenda tayari umeangukia katika kundi la ndoa ya jinsia moja ambayo muasisi wake ni yule anayeonekana katika alama ya jicho kwenye pyramid ambayo haijaisha .
 
Mkuu biblia ukiisoma utagundua ina mapungufu mengi hata 70% sema wafia dini zilizoletwa na meli kutumia tu "Imani" hivyo kamwe hawaoni mapungufu hata ukiwaonesha wazi wazi wanaishia tu kupaniki
Brother, mapungufu unayo wewe, mwenyewe katika kufafanua. Biblia haisomwi kama gazeti, uliza usaidiwe kama huelewi usiseme mapungufu.
 
Back
Top Bottom