Kuelekea 2025 Mtu kama huyu anawezaje kusimamia uchaguzi CHADEMA wakapata haki yao?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
19,761
37,193
Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki?

Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama vingine?

Sasa leo mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida Bi Ester Anania Chaula, anagombea ubunge wa Afrika ya Mashariki kupitia CCM

IMG-20240901-WA0015.jpg

Sasa mtu kama huyu akisimamia uchaguzi CHADEMA watatoboa kweli?

Pia soma:Wakurugenzi kusimamia uchaguzi, tume ya uchaguzi kuendelea na muundo ule ule hakuna uchaguzi huru na haki
 
View attachment 3084587

Yaani maana yake, wapinzani watake wasitake, ni lazima CCM ipitishwe Kwa kura za wizi😎
 
Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki?

Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama vingine?

Sasa leo mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida Bi Ester Anania Chaula, anagombea ubunge wa Afrika ya Mashariki kupitia CCM

View attachment 3084587
Sasa mtu kama huyu akisimamia uchaguzi CHADEMA watatoboa kweli?

Pia soma:Wakurugenzi kusimamia uchaguzi, tume ya uchaguzi kuendelea na muundo ule ule hakuna uchaguzi huru na haki
Majaji wengi ni waganga njaa Tu, Umesahau Marehemu Jaji Ramadhan alichukua fomu ya Kugombea Uraisi kwa ticket ya CCM?? Imagine Jaji Mkuu Mstaafu kumbe alikua mwana CCM
 
Mahakama ilisema hamna shida, wanatakiwa "waape" tu inatosha kuwafanya wawe fair.

Mkuu wa wilaya ya Loliondo Bw. Marko Henry Ng'umbi akila kiapo cha utumishi kwa umma wenye uadilifu

1725231044918.png

January 31st, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Longido nchini Tanzania, Mhe. Marko Henry Ng'umbi Leo tarehe 31/01/2023 amekula kiapo katika hafla fupi ya kuwaapisha wakuu wa Wilaya wateule wa Mkoa wa Arusha.

Hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambapo wakuu wa Wilaya zote saba za Arusha, Arumeru na Longido wameapishwa na kula kiapo cha maadiili.

Mhe. Marko Henry Ng'umbi aliteuliwa kuwa DC kwa mara ya kwanza tarehe 25 January 2023 na mheshimiwa rais kama taarifa ya Ikulu :

Mkeka wa Wakuu wa Wilaya huu hapa​

Na Mwandishi Wetu January 25, 2023
raissss-780x470.jpg

Rais Samia Suluhu Hassan na mwenyekiti wa CCM Taifa.

Rais ameafanya uteuzi wa Wakuu wapya wa Wilaya 37.

Taarifa iliyotolewa leo Januari 25, 2023 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, bi. Zuhura Yunus.
 
Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki?

Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama vingine?

Sasa leo mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida Bi Ester Anania Chaula, anagombea ubunge wa Afrika ya Mashariki kupitia CCM

View attachment 3084587
Sasa mtu kama huyu akisimamia uchaguzi CHADEMA watatoboa kweli?

Pia soma:Wakurugenzi kusimamia uchaguzi, tume ya uchaguzi kuendelea na muundo ule ule hakuna uchaguzi huru na haki
Sasa Majaji wenyewe si wanatokana na utukufu wa humo humo ccm?
 
Kwanini CHADEMA pekee? Kwanini usizungumzie vyama vya Upinzani kwa ujumla?

Hata akisimamia Uchaguzi Mbowe au Lissu, kama katiba ni hiihii ya Majaji wote mpaka jaji Mkuu kuteuliwa na Rais hamna kitu

Kama Tume ya Uchaguzi ni hii hii, Sahau mabadiliko

Haya ni malalamiko tuliyozoea kuyasikia miaka nenda rudi, hakuna kipya
 
Hii nchi iko shaghala baghala tu, inaenda kama haina kichwa. Wananchi wengi hawajielewi. Sababu wananchi ndiyo mtaruhusu, viongozi wawachezee kama wadoli, ama wawaheshimu kama binadamu na haki zenu zote. So huu ujinga wa uchaguzi, utakoma pale tutakapoamua vinginevyo.
Swali muhimu ni "tutaamua" lini?
Maana hata dalili tu hazionekani. Nini hasa kinachelewesha maamuzi haya?
 
Hao chadema wenyewe mbona hata kwenye chaguzi zao za ndani mbona hawakuwa fair to each other? Au wewe hukusikia mizengwe ya wazi iliyofanywa kwenye chaguzi za wenyeviti wa Kanda, hususani kanda ya nyasa?
 
Back
Top Bottom