Teknocrat JF-Expert Member Oct 20, 2018 4,393 10,072 Dec 1, 2024 #121 dini zimewafanya watu weusi kuwa wajinga wa duniani kutwa kucha ni kusoma na kukariri njozi zilizoandikwa miaka maelfu iliyopita
dini zimewafanya watu weusi kuwa wajinga wa duniani kutwa kucha ni kusoma na kukariri njozi zilizoandikwa miaka maelfu iliyopita
K kibobori mahoro JF-Expert Member Dec 12, 2022 6,807 9,918 Dec 1, 2024 #123 Tuseme chochote chenye uhai kikifa kinaenda wapi?