Mtoto wangu wa pili kamzidi kaka yake ujasiri, ujanja, uwajibikaji. Hii ni kawaida?

Watoto hawawezi kufanana kabisa, usione vibaya Kwa Hilo Kila mmoja mfinyange Kwa jinsi alivyo usilazimishe wafanane. Wengine hizo tabia unazotaka basi zimejificha inasubiriwa situation Fulani itokee ndo ziibuliwe, walee kiume maana mtoto anakimbizwa na jogoo anakimbia siyo poa kabisa, nikikumbuka miaka hiyo tulivyo lelewa sisi nacheka tu malezi ya Sasa yalivyo.
 
Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa

Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita

Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.

Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi

Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.

Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.

Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake

Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji

Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Watoto hawafanani kila mtu ana ukuaji wake hata kama ni wa mzazi mmoja.

Kwa jinsi ulivyowafuatanisha darasa la 7 na 6. Ni dhahiri mtoto wa 1 hakupata malezi mazuri akiwa mdogo nafasi yake ilichukuliwa na wa pili katika umri mdogo ambao alihitaji kujengewa misingi imara na wazazi. Yeye alianza kujitegemea na kumlea mdogo wake wakati mdogo.
Kila akijaribu ataambiwa amekosea, atatelekezwa, ataachishwa ziwa mapema n.k hivi vitu mtu anakua navyo.

Kosa ni lako na kama umeweza kumsema mitandaoni mtoto wako wq darasa la 7. Inakuaje ukiwa nyumbani naye? Umemvunja moyo mara ngapi? Umemgombeza mara ngapi? Umemuita mzembe mara ngapi? Unadhani haijaharibu ukuaji wake?

Wa kubadilika ni wewe na sio mtoto. Ujampa ujasiri mtoto unataka autoe wapi? Mmempora utoto wake akiwa mdogo halafu unakuja kumlaumu mitandaoni.....

Anyway ngoja niishie hapo.
 
Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa

Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita

Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.

Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi

Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.

Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.

Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake

Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji

Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Mimi na mdogo angu tumepishana tumboni miezi sita.

Yaan Mimi na miezi sita ndio ujauzito wake unatungwa.

Mdogo angu ni mtundu Sanaa na alikuaga ananivimbia na kiasili Mimi nilimuonea huruma sikuaga nampigia.

Udogoni iliwai KUPELEKWA KESI NA WALIMU WANGU WA CHEKECHEA KUA SICHANGAMKI NA SICHEZI NA WENZANGU.

Mimi tangu udogoni nilikua sipendi FUJO mtu mpole, mwelevu na humble down to the Earth

So ni kawaida Sana hayo kutokea kwenye utulivu NDIPO FIKRA MPYA HUZALIWA.
 
Line ya mwisho ya andiko lako ndio limebeba utofauti mkubwa kati ya hao wanao wawili, dogo wa pili ni debe tupu hivyo lzm liwe na purukushani za hapa na pale😂

Inshort watoto wengi wenye akili waga sio watundu watundu. Pia kama mzazi inabidi utambue Kila kiumbe ktk Dunia hii kimeumbwa kwa upekee wake hivyo ni muhimu kuheshimu na kutambua Kila hatua ya mtu.
Mimi udogoni mpaka leo mpaka hii mtu akiniangalia anajua kua Mimi ni mstaarabu na a well behaved person. Sijuagi mpaka Leo kutamka au kutukana Yale matusi mazito mazito.

Tabia za watoto wake Hawa wawili ni kama tabia ya Mimi na mdogo angu ambae tumepishana tumboni miezi sita..I mean ujauzito wake ulitunga Mimi nikiwa na miezi sita.

Mimi hata mtaani sikua najulikana Kama ni mtoto wa Ile familia maana nilikua ni mtu nisie zurula zurula sikua mtembezi pia sikua na show off..maana tuko form three mzee katununulia pikipiki za kuchezea zile WATCO dogo alikua maarufu maana alikua anakimbiza Sana pikipiki mtaani.
Naendesha gari Ila Mimi sina hobby ya kuendesha magari napenda zaidi niendeshwe, sipendi kelele,fujo, ugomvi, vurugu na tangu udogoni ilikua ukitaka kujua kua Mimi ni mkorofi nionee au nichokoze to the maximum utaona ukorofi wangu.

Nina sura ya upole hata ukiniangalia TU unauona uo upole nilisha samehewa na walimu nilipo waangalia TU '' wakasema huyu KIJANA ni innocent ""😊😊😊 mwenyewe Ila Sasa ukinikorofisha ni noma.
 
Nisamehe mkuu nilitaka niandike uzi kukudis kwanini unanicheka kila komenti kumbe unaweza kasirika ukanitembezea makonde
 
Huyo wa kwanza wakati kaka yake akiwa mjanzito hakupa upendo wa kutosha kutoka kwako, ulikuwa mkali kwa mama yake na ulikuwa na maneno makali sana
 
Nina wadogo zangu wawili mapacha ambao kusema kweli ni polar opposites
Hiyo mtoto wako wakwanza inaonesha ni introvert , likizo mpeleke hata kwa mjomba wake akakae huko; kwa malalamiko haya usipojivunza kuipokea hulka yake miaka inavyozidi kwenda ataanza kupata hisia humpendi
Cha ajabu katika malezi huyo wa pili atakuja kuwa pasua kichwa (unafurahia sahizi utakuja kulia baadae)
 
Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa

Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita

Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.

Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi

Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.

Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.

Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake

Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji

Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Yaaani unaongelea watu wawili tofauti introvert na extrovert sasa hawawezi fanana ila nakuhakikishia huyo wa kwanza ndio mwenye akili sana kuliko second born..
 
Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa

Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita

Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.

Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi

Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.

Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.

Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake

Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji

Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Uchangamfu, maarifa na ujanja sio tu kuwahi kuzaliwa. Kila mtu ana upekee wa aina yake. Kikubwa watoto wako wote wawe na akili ya kawaida au zaidi.
 
Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa

Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita

Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.

Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi

Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.

Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.

Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake

Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji

Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Ujanja,ujasiri na/uwajibikaji havina uhusiano na umri wa mtu.Age ain't nothing but a mere number.Hayo maneno alituambia "Zuchu" miaka ya "sitaini " kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar tukiwa tunaangalia ngoma ya msusumio pale Bwejuu.
 
Mimi udogoni mpaka leo mpaka hii mtu akiniangalia anajua kua Mimi ni mstaarabu na a well behaved person. Sijuagi mpaka Leo kutamka au kutukana Yale matusi mazito mazito.

Tabia za watoto wake Hawa wawili ni kama tabia ya Mimi na mdogo angu ambae tumepishana tumboni miezi sita..I mean ujauzito wake ulitunga Mimi nikiwa na miezi sita.

Mimi hata mtaani sikua najulikana Kama ni mtoto wa Ile familia maana nilikua ni mtu nisie zurula zurula sikua mtembezi pia sikua na show off..maana tuko form three mzee katununulia pikipiki za kuchezea zile WATCO dogo alikua maarufu maana alikua anakimbiza Sana pikipiki mtaani.
Naendesha gari Ila Mimi sina hobby ya kuendesha magari napenda zaidi niendeshwe, sipendi kelele,fujo, ugomvi, vurugu na tangu udogoni ilikua ukitaka kujua kua Mimi ni mkorofi nionee au nichokoze to the maximum utaona ukorofi wangu.

Nina sura ya upole hata ukiniangalia TU unauona uo upole nilisha samehewa na walimu nilipo waangalia TU '' wakasema huyu KIJANA ni innocent ""😊😊😊 mwenyewe Ila Sasa ukinikorofisha ni noma.
We sema kweli 😋
 
Naendelea vizuri ila nimepatwa na mtetemeko mkali nikikawia kupata maji kidogo .
Hivyo nimejipa huu mwezi na unaokuja kutafakari mustakabali wa mimi na pombe nikiwa naendelea kunywa ili nikiwaza kusitisha .
Kaka bado napambana hakuna kitu kigumu kama uraibu
Unaendeleajee mkuu, umeacha kupiga mtungi.. unaendeleajee lakini ndugu yangu.
 
Naona una choleric na sanguine ndani ya familia!!
Muscular individuals sio much cognitive kuliko non muscular Individuals!!

"Mungu sio maskini Hadi aumbe viumbe vinavyofanana " Kwa utajiri wake lazima aumbe tofauti tofauti na Wana umuhimu wa tofauti tofauti!!
 
Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa

Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita

Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.

Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi

Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.

Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.

Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake

Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji

Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Paragraph ya mwisho inaweza kukupa majibu vizuri tu, si lazma watoto wote wafanane, kila mmoja anakuja na talanta yake usilazimishe mtoto awe vile unavyotaka wewe.

Vumbuzi nyingi au mambo mengi makubwa duniani yamefanywa na watu ambao walikuwa wala hawahangaiki kutafuta ujasiri wala public attention bali mambo waliyoyafanya ndio yaliyosababisha watu wawatafute wenyewe na kupelekea kujulikana. So usihangaike na huyo first born wako, ana kitu alichojaaliwa na Mwenyezi Mungu ambacho ni tofauti na huyo wa pili anapoendelea kukua basi kitajidhihirisha chenyewe. Wewe wakuze katika maadili mema tu
 
Back
Top Bottom