Watoto hawawezi kufanana kabisa, usione vibaya Kwa Hilo Kila mmoja mfinyange Kwa jinsi alivyo usilazimishe wafanane. Wengine hizo tabia unazotaka basi zimejificha inasubiriwa situation Fulani itokee ndo ziibuliwe, walee kiume maana mtoto anakimbizwa na jogoo anakimbia siyo poa kabisa, nikikumbuka miaka hiyo tulivyo lelewa sisi nacheka tu malezi ya Sasa yalivyo.